Israel yapanga kumalizia hasira zake kwa watoto, wakina mama na walemavu huko Rafah

Vita vya kisasa ni mbaya sana.sehemu ya kupigwa inalengwa kutoka hata kilomita 6000.
Israel mpaka Iran ni zaidi ya kilomita 1000 na bado Iran imeweza kupiga ndege na njia ya kurukia ndege.
Akitaka anaipiga mpaka nyumba ya Netanyahu.
Kwa kujua uwezo wa Iran ambao mwanzo ilikuwa ni wa kudhania,Israel imeamua kuufyata.
Hasira zake anapeleka kwa wanyonge wa kipalestina.
 
Siku zote kupitia baadhi ya wachambuzi husema kuwa USA keshapiga mataifa makubwa ya kiislam na anammendea Iran. Wakati vita ya HAMAS na Israel imeanza USA alipeleka vifaa vya kivita Israel akimtisha iran asijaribu kuisaidia HAMAS na ikasemakana ni mtego kuwa aingie amalizwe mazima. Sasa mbona ni tofauti??? Baada ya Israel kupiga Ubalozi mdogo wa Iran kule syria na kuuwa makamanda 7 , ilisemakana kuwa Iran akijaribu tuu kujibu itakuwa ndio mwisho wake. Sasa kipo wapi? Iran kajibu kwa kupiga Israel unaambiwa drones na mizinga jumla 300 japo wanaficha uharibufu kama ilivyo mahitaji ya ripoti ya kijeshi . Kwaanza ndio USA wanamwambia Israel asijaribu kujibu eti kuhofia kuenea kwa mzozo mashariki ya kati nzima,inahsangaza. Shetan leo kawa mwema ama amezeeka!!! Kiufupi ukiona West hawataki kupigana wamegundua watachapika vibaya ndio maana Wameufyata!
 
 
 
hata GAZA ilikuwa hivi hivi israel hataingia hataingia.....baadae tumeona tunachokiona
 
mmemchokoza mteule mtakoma!
Iteni Allah apigane na Mungu wa Yakobo
 
Habari inaandikwa kishabiki hadi inapoteza radha yani.
 
Sasa kama mashoga waliwatandika nchi zote za kiarabu ndani ya siku 6 ! Hapo nani shoga??

Shoga anaweza pigana na wanaume akawashinda???
 
Mkuu punguza sauti, wayahudi wa gongo la mboto wakikusikia itakuwa shida hapa JF 😂😂😂
 
Huu ndio ukweli ambao wayahudi wa gongo la mboto hawapendi kuusikia 😂😂😂
 
hata GAZA ilikuwa hivi hivi israel hataingia hataingia.....baadae tumeona tunachokiona
Naona unajaribu kugeuza kile mlichokuwa mnakiongea ila bahati nzuri wayahudi wenzako wa gongo la mboto wamekupuuza.

Kuna thread humu zilikuwa zinasema kuwa Iran ikijaribu kurusha hata jiwe itaangamizwa.

Sasa makombora yamerushwa, Israel imenywea, halaf wewe unakuja kuandika uharo wako hapa ukifikiri kila alie humu ni mtoto mdogo mwenzako.

Na mshaonywa kuwa safari hii wakigusa masilahi ya Iran, kipigo chake hakitokuwa cha taarifa kama mwanzo. Maana mwanzo mlipewa taarifa mapema ili mjitahidi kuzuia, lakini bado nchi zenu zote nane zilishindwa kuzuia.
 
Huu ndio ukweli ambao wayahudi wa gongo la mboto hawapendi kuusikia 😂😂😂
Uliyeandika uzi huna akili!!
Sifa ya muandishi hatakiw awe na hisia kama vitoto vya facebook!!

Kwa style hyo utapata wendwazimu wenzio ndo watakuja kuchangia hutaona watu wa maana hapa
 
mmemchokoza mteule mtakoma!
Iteni Allah apigane na Mungu wa Yakobo
Yakobo ana miungu wanane na wote wameshindwa kuzuia makombora ya Mungu mmoja wa Iran.

Fikiria yokobo alimwita mungu marekani, mungu uingereza, mungu ufaransa, mungu ujerumani, mungu saudi arabia, mungu jordan, mungu israel eti wamsadie kumzuia mungu wa Iran. Mungu wa Iran akawachapa miungu ya jakobo wote kwa pamoja wakashindwa kuzuia makombora ya Mungu wa Iran yasifike kwa mungu wa jakobo 😂😂😂
 
Endelea kujifurahisha!! Lakin ujue hamna taifa litaing’oa israel kwene ardhi yake!!

KAMA huyo mungu wa arabu anaweza awasaidie kwa hilo.
Tusubir majibu si wamelipuliwa kiwanda cha drone kama wanaume wajibu
 
Sasa kama mashoga waliwatandika nchi zote za kiarabu ndani ya siku 6 ! Hapo nani shoga??

Shoga anaweza pigana na wanaume akawashinda???
Mashoga wamezipiga nchi za kiarab, lakini na wao hao mashoga wamechapwa juzi kati na waajemi.
 
Mashoga wamezipiga nchi za kiarab, lakini na wao hao mashoga wamechapwa juzi kati na waajemi.
mkuu inaonekana ushoga unakutesa sana!! Unautumia kama tusi…. ndo maana umeweka picha ya mwanaume mwenzio mwenye 6pack??
Anyway hujui unachokiongoea ww!!
Kwaiyo ulitakaje labda??? Ulitaka hizo drone zisifike??
Ishu siyo kurusha ngumi ! Swali je ngumi imeleta madhara gan
 
Endelea kujifurahisha!! Lakin ujue hamna taifa litaing’oa israel kwene ardhi yake!!

KAMA huyo mungu wa arabu anaweza awasaidie kwa hilo.
Tusubir majibu si wamelipuliwa kiwanda cha drone kama wanaume wajibu
Naona nabishana na mtu wa shamba aliekimbia shule.

1. Kwanza hakuna sehem nilioandika kuwa Israel ing'olewe.

2. Pili walio ichapa Israel ni waajemi sio waarab, hivyo kama haujui kuwa Mashariki ya kati kuna waajemi, wayahudi na waarab basi wewe akili yako imejaa michanga. Kuendelea kukuelewesha ni sawa na kupoteza muda bure.

Jaribu kutafuta watu wakifundishe historia ya Mashariki ya kati, maana inaonekana wewe unakimbilia kuandika kwa mihemko bila kuelewa kile ukiandikacho. Kwa kukufundisha tu kidogo. Hao wairan sio waarab ni waajemi. Na wamekuwa maadui wa waarab na wayahudi toka maelfu ya miaka iliyopita. Na sababu kubwa ni kwamba waajemi waliwahi kuwa na himaya kubwa iliyoitwa Persia Empire miaka zaidi ya elfu 3 iliyopita kabla hata ya kuzaliwa Yesu.

Himaya yao ilitawala nchi zote za mashariki ya kati ikiwemo Israel, Jordan, Syria yani walidhibiti nchi zote mpaka India. Waajemi waliwatesa waarab, wayahudi, wahindi nk kama vile wakoloni walivyotesa babu zetu. Ndomaana mpaka leo wayahudi wanawachukia waajemi (Iran) waarab wakiongozwa na saudi arabia wanawachukia waajemi (Iran) japo unaonekana haujui lolote kuhusu historia lakini nafikiri uadui wa saudi arab na Iran unaufaham ndio maana saudia ilikuwa upande wa Israel katika kuzuia makombora ya Iran. Pia mpaka leo hii India haina urafiki mzuri na Iran kwa sababu ya historia niliokwambia. Hivyo Iran sio waarab, sio wayahudi, sio wazungu wala wahindi ni waajemi na historia yao hata kwenye vitabu vya dini ipo. Jamaa walianza kuwa na empire kubwa kabla hata Roma Empire na Ottoman Empire hazijulikana kama zitakuja kuanzishwa. So usiichukulie poa Iran au kufikiri kuwa ipo sawa na waarab. No unakosea.
 
kuna sehemu nimesema wairan n waarabu?? persian are not arabs naona unaeleza vitu vingi ambavyo vinajulikana
 
kuna sehemu nimesema wairan n waarabu?? persian are not arabs naona unaeleza vitu vingi ambavyo vinajulikana
Nina imani vingi ulikuwa haujui. Hii ya wairan kuwa sio waarab umeijua kupitia comment yangu.

Kwa sababu ungekuwa unajua kuwa wairan sio waarab, usingekuwa unaongelea waarab wakati hapa tunajadili wayahudi wa waajemi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…