Hakuna facts zozote utazozipata kutoka Israel kuhusu shambulio lililofanywa nchini kwao. Kwa kawaida dunia nzima hakuna nchi ambayo hukubali kirahisi rahisi jambo kama hilo.
Hata hapo Congo, mfano M23 wakiuwa askari 100 wa Congo, basi jeshi lazima litatangaza kuwa waliouwawa ni askari 10 tu ili kuifichia aibu serikali, na kuifanya serikali iendelee kuaminiwa na raia. Sasa tukija katika shambulio la Iran huko Israel, jeshi na serikali ya Israel ndio zimetoa report, halaf kwa upande wa media zimeripotiwa zaidi na BBC ya Uingereza ambayo ilikuwa moja ya nchi iliyoisaidia Israel kuzuia makombora ya Iran sasa hapo unategemea BBC itakuwa upande gani?
Pia media zingine ni CNN ya Marekani ambayo pia ni mshirika mkubwa wa Israel na yenyewe ndo hutoa msaada wa kijeshi, silaha nk kwa waisrael sasa unategemea hiyo CNN itakuwa upande gani?
Hivyo vyombo vyombo viwili nilivyokutajia hata raisi mstaafu wa Marekani mhe Donald Trump alikuwa haviamini hata kidogo, anakwambia vinaongoza kwa kupiga propaganda mbali mbali za kisiasa na kijamii. Sasa kama Trump aliekuwa raisi wa taifa kubwa kama Marekani alikuwa haamini habari zinazotolewa na hivyo vyombo wewe ni nani mpaka ukimbilie kuamini?
Ukiangalia hiyo video niliokutumia na kuipa akili yako uhuru wa kupambanua mambo bila kubebwa na mihamko utaona ukweli jinsi taarifa hii ilivyofichwa fichwa ili kupoteza ukweli, lakini wenye akili ukweli tumeuona. Wewe endelea kusubiri kina Netanyahu wakupimie taarifa za kukuletea.
Umejibu vyema mkuu hakuna taifa litatoa taarifa sahihi ili kuepusha aibu, unafikiri hao Iran ulitegemea wakuambie comeback ya Sons of Jacob imeleta athari kubwa kiasi gani kwao, kama kweli athari ni siri ya jeshi akili kumkichwa, watakupoza tu ni kashambulio kadogo ili kujenga imani na kujimwambafai
Halafu acha kupotosha umma, hako ka video sio mashambulizi ya Iran, hayo makombora yalirushwa na Hezbollah towards nothern parts of Israel, kama tu walivyo fanya Hamas kipindi kile, kwanza ni rockets tu zenye milipuko maana Hezbollah hawana missiles ambalo pia Israel ilijibu kama kawaida yao muwe mnafatilia vitu kuepuka aibu zingine ndogo ndogo kama hizi, na ukifatilia vizuri huo mji upo northern parts of Israel, hakuna shambulizi la Iran lilikuwa lime target northern parts of Israel wao walilenga zaidi vituo vya kijeshi Jerusalem na Tel Aviv kwa kiasi kikubwa ambapo still waliambulia patupu jana wakawa wanaonesha mabaki ya ballistic missiles zilizotunguliwa hata mazingira husika hayajui kama kuna dubwasha limeanguka, ku attack Jerusalem na Tel Aviv Israel tena kwa makombora ujipange sana sio Isfahan hiyo [emoji16], maeneo yote ya kimkakati ya Israel hata kunusa tu sio rahisi.
Na siku zote vita huwa ni target au malengo sio kumshambulia tu adui, ndio maana huwezi piga tu kombora la mamilioni ya fedha kwenye open space isiyo na faida kwako wala hasara kwa adui na wewee ukasema nimeshambulia utakuwa ni ujinga wa kiwango cha SGR(utani [emoji16])lazima uangalie target za kimkakati za nchi na jeshi zitakazoleta uharibifu kwa adui na faida kwako, sasa nikuulize target gani ambayo Iran wamelenga ikafanikiwa swali dogo tu? Au umeona moshi tu unapanda juu ukachanganyikiwa tu [emoji16], au nipe jina la huo mji wa Israel ulioweka kwenye video yako ulipigwa, si ajabu hata huujui na mi sishangai maana, lakini leo Dunia nzima inatamgu
lakini Isfahan imeshambuliwa tena toys jinsi walivyowadharau, na ikumbukwe kwa Iran ni moja ya miji mikubwa ya kimkakati yaani facility muhimu kwa nchi na jeshi zipo pale ikiwemo mitambo ya kurutubisha madini ya Uranium na kambi kubwa ya jeshi na ghala za kuhifadhia silaha ikiwemo za nuclear na by the way haikuwa shambulio ila ilikuwa ni taarifa inatumwa kwa mzee Khamenei kwamba mzee utachapika hata kama ni kwenye birthday yako ohho [emoji16].
Maana Israel kama Israel kwa historia tu ikiamua kweli kufanya shambulizi lazima Dunia Isimame na hii sio propaganda ni facts isiyo na ubishi, ikisema kabisa tunavamia taifa fulani aloo ni mpaka watu wa haki za binadamu wapige kelele, Baraza la usalama la umoja wa mataifa liingilie kati, Hashtags za #prayfor.. #justicefor... [emoji16], hiyo ndio design ya mashambulizi ya Kiyahudi kitaalam inaitwa 1:100 kuelewa hiyo at least uwe na D mbili [emoji16] tena sio za Arabic language na Islamic knowledge(utani tu huo[emoji16])
So