Magaidi ni kama kunguni hayasikii kabsa. Yaaaani usijidanganye eti umetoa godoro nje ulianike juani halafu ujidanganye umetibu tatizo.Kumbe yaliositishwa ni mapigano ya ardhini tu, huko kwa anga kipondo bado kipo pale pale
Kwan nyiny lengo lenu ni makubaliano au kuifuta Israel ?Kama kawaida yao siku zote wanaharibu makubaliano ..ajabu bado mna waona wako sahihi hapo ndio napoamini wabongo wengi makondoo
Ni juzi tu mlikuwa mnashangilia kuwa Netanyahu kaomba amani kwasababu ya kipigo ππKama kawaida yao siku zote wanaharibu makubaliano ..ajabu bado mna waona wako sahihi hapo ndio napoamini wabongo wengi makondoo
Kuna Mossad Ndani ya hizibula.Jeshi la Israel limesema limeharibu kituo kikubwa zaidi cha kutengeneza makombora cha Hezbollah huku ikiwa wameingia makubaliano ya usitishwaji wa mapigano kati yao
Hii hapa animation ya kituo hicho chenye eneo la upana wa kilomita 1.4 na kina cha mita 70 kwenda ardhini:
View attachment 3165750
SOURCE:
Israel destroys Hezbollah's 'largest precision-guided missiles manufacturing site' as group vows to 'fight'
Israel's military says it has destroyed Hezbollah's largest precision-guided missile manufacturing site, located along Lebanon's border with Syria.www.foxnews.com
Wamesha nyofolewa mabawaHezbollah kumbe ni serikali kamili ndani ya Lebanon! Israel wasipokuwa makini watafutwa kweli kwenye uso wa dunia.
Hadi Ardhini wanakula kichapo wakivuka mstari.Kumbe yaliositishwa ni mapigano ya ardhini tu, huko kwa anga kipondo bado kipo pale pale
Hizi excuse kila siku,ye aingie tu lebanon kama bado ana nyege na vita,maana inaelekea bado muwasho upoJeshi la Israel limesema limeharibu kituo kikubwa zaidi cha kutengeneza makombora cha Hezbollah huku ikiwa wameingia makubaliano ya usitishwaji wa mapigano kati yao
Hii hapa animation ya kituo hicho chenye eneo la upana wa kilomita 1.4 na kina cha mita 70 kwenda ardhini:
View attachment 3165750
SOURCE:
Israel destroys Hezbollah's 'largest precision-guided missiles manufacturing site' as group vows to 'fight'
Israel's military says it has destroyed Hezbollah's largest precision-guided missile manufacturing site, located along Lebanon's border with Syria.www.foxnews.com
Wana nguvu kuliko jeshi la Lebanon.Walichakazana sana kwa muda mrefu kuanzia 1975 -1990 mpaka wakapewa heshima na jeshi la nchi.Hezbollah kumbe ni serikali kamili ndani ya Lebanon! Israel wasipokuwa makini watafutwa kweli kwenye uso wa dunia.
Halafu akipigwa anaiomba marekani imsaidieKumbe yaliositishwa ni mapigano ya ardhini tu, huko kwa anga kipondo bado kipo pale pale
Thubutuu!!! Hezbola kapigwa na akijibu Mziki unarudiwa upya ππHalafu akipigwa anaiomba marekani imsaidie
Hahaha. Unadhani chadema wale? Wale waislam sio chademaThubutuu!!! Hezbola kapigwa na akijibu Mziki unarudiwa upya ππ
Keshafunzwa adabu.
Mnanikumbusha ile story ya pesa na dhahabu za Nasurlah zipo chini ya Hospital hahaha, same Storage System Architecture ile ya dhahabu zipo chini ya Hospital mpa US secrets of defence akasema hawaoni dalili na wewe bado unamuamini Israel.Jeshi la Israel limesema limeharibu kituo kikubwa zaidi cha kutengeneza makombora cha Hezbollah huku ikiwa wameingia makubaliano ya usitishwaji wa mapigano kati yao
Hii hapa animation ya kituo hicho chenye eneo la upana wa kilomita 1.4 na kina cha mita 70 kwenda ardhini:
View attachment 3165750
SOURCE:
Israel destroys Hezbollah's 'largest precision-guided missiles manufacturing site' as group vows to 'fight'
Israel's military says it has destroyed Hezbollah's largest precision-guided missile manufacturing site, located along Lebanon's border with Syria.www.foxnews.com
Mbona hajibu mashambulizi?! Ni kwasababu katiwa adabu.ππHahaha. Unadhani chadema wale? Wale waislam sio chadema
Hezbolah ni Iran ndani ya LebanonHezbollah kumbe ni serikali kamili ndani ya Lebanon! Israel wasipokuwa makini watafutwa kweli kwenye uso wa dunia.
Sawa msemaji wa HizibollaMnanikumbusha ile story ya pesa na dhahabu za Nasurlah zipo chini ya Hospital hahaha, same Storage System Architecture ile ya dhahabu zipo chini ya Hospital mpa US secrets of defence akasema hawaoni dalili na wewe bado unamuamini Israel.
Israel anafanya vile sababu Jeshi la Lebanon ndio wao sasa wako mipakani na Hezbullah hawezi ingilia hio issue, mpa serekali ya Lebanon ikiri Israel kabreak ceasefire. Hapo naona jeshi la Lebanon ni mafala, waseme hatuwezi kupambana na Israel bora Hezbullah irudi hapo uone kama Israel atapiga risasi moja.
Nimefatilia story Israrl anadai yeye katika siku 60 ana haki ya kushambulia kama kaona Hezbullah analeta hatari, na anasema US kampa green light. Je ni kweli au Israel kaona waisrael hawajapendezewa na peace aliyo kubali Shetanyahu, sa anataka aivuruge hio peace.
Je Hezbullah ataendelea kunyamaza au atawambia jeshi la Lebanon rydini nyuma. Siku zitaongea
View: https://youtu.be/ihEnrJRL1dM?si=IP7xcQaxXykl6Rhq
Kosa alilo kosea Rais wa Parliament ya Lebanon na PM wa Lebanon kumuamini US, awape Israel siku 60 za ku pull out. Pia kama kuna hatari wafyatue risasi hapo ndipo US na Israel wameona wawaonyeshe ubabe. Huyo PM na Rais wa Parliament vipi wamemuamini US kumpa 60days chance za kushambulia object ambayo wanaona itawadhuru Israel, hilo ni kosa kama ni kweli wanacho ongea Israel.