Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Dawa ya gaidi ni kumuwahi kabla ya kukushambulia. Kitaalam inaitwa pre emptive attack.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawaida yao siku zote wanaharibu makubaliano ..ajabu bado mna waona wako sahihi hapo ndio napoamini wabongo wengi makondoo
@Ritz @Adiosamigo @Malaria 2 si tulikubaliana
Mnanikumbusha ile story ya pesa na dhahabu za Nasurlah zipo chini ya Hospital hahaha, same Storage System Architecture ile ya dhahabu zipo chini ya Hospital mpa US secrets of defence akasema hawaoni dalili na wewe bado unamuamini Israel.
Israel anafanya vile sababu Jeshi la Lebanon ndio wao sasa wako mipakani na Hezbullah hawezi ingilia hio issue, mpa serekali ya Lebanon ikiri Israel kabreak ceasefire. Hapo naona jeshi la Lebanon ni mafala, waseme hatuwezi kupambana na Israel bora Hezbullah irudi hapo uone kama Israel atapiga risasi moja.
Nimefatilia story Israrl anadai yeye katika siku 60 ana haki ya kushambulia kama kaona Hezbullah analeta hatari, na anasema US kampa green light. Je ni kweli au Israel kaona waisrael hawajapendezewa na peace aliyo kubali Shetanyahu, sa anataka aivuruge hio peace.
Je Hezbullah ataendelea kunyamaza au atawambia jeshi la Lebanon rydini nyuma. Siku zitaongea
View: https://youtu.be/ihEnrJRL1dM?si=IP7xcQaxXykl6Rhq
Kosa alilo kosea Rais wa Parliament ya Lebanon na PM wa Lebanon kumuamini US, awape Israel siku 60 za ku pull out. Pia kama kuna hatari wafyatue risasi hapo ndipo US na Israel wameona wawaonyeshe ubabe. Huyo PM na Rais wa Parliament vipi wamemuamini US kumpa 60days chance za kushambulia object ambayo wanaona itawadhuru Israel, hilo ni kosa kama ni kweli wanacho ongea Israel.
US siwakumuamini kachora draft we siku 60 umpe chance Israel afanye alitakalo, hi point navyo jua ni ku pull out sio afanye alitakalo. Kama ni kweli Lebanon wameingia cha kike vipi ukubali ujinga huo, Israel atasema nimeona kuna hatari inabidi nishambulie. Sijui nani Muongo hapo Israel au mkataba.
Nilikiwa namsikiliza mwanahabari mmoja akisema Hezbullah wanaweza kuishambulia Israel wakati wowote, lakini wametulizana kwanza kutaka kuwaonyesha wa Lebanon kuwa Israel msimuamini kabisa, hata mkisign naye agreement. Pili dunia nzima waliwalaumu Lebanon kuivamia Israel, sa wanataka kuwaonyesha duniani mlio sema tulimchokoza hio ndio tabia yake tungeingia naye vita tu hata tusinge taka lazima angetufata tu huyo anataka kuichukua Lebanon yote, lakini kashi dwa sababu ya Hezbullah. Tatu hi inaonyesha Israel kala hasara kwenye vita hio na hizo 60days haruhusiwi kupiga chochote, ni ku pull out sa anacho fanya ni tofauti na walicho kubaliana. Nne Hezbullah anawambia serekali ya Lebanon na wananchi wa Lebanon haya mlio sema Israel hana shida na Lebanon, vipi anzishe tena mashambulizi haya sisi mlitulaumu nyie jeshi na wananchi wa Lebanon tuonyesheni mtafanya nini.Ritz Adiosamigo Malaria 2 si tulikubaliana kuwa mayahood yameomba poooh.....sasa tena mbona yanaendeleza ukorofi?
Mwanahabari yupi huyo? Chanzo please.Nilikiwa namsikiliza mwanahabari mmoja akisema Hezbullah wanaweza kuishambulia Israel wakati wowote, lakini wametulizana kwanza kutaka kuwaonyesha wa Lebanon kuwa Israel msimuamini kabisa, hata mkisign naye agreement. Pili dunia nzima waliwalaumu Lebanon kuivamia Israel, sa wanataka kuwaonyesha duniani mlio sema tulimchokoza hio ndio tabia yake tungeingia naye vita tu hata tusinge taka lazima angetufata tu huyo anataka kuichukua Lebanon yote, lakini kashi dwa sababu ya Hezbullah. Tatu hi inaonyesha Israel kala hasara kwenye vita hio na hizo 60days haruhusiwi kupiga chochote, ni ku pull out sa anacho fanya ni tofauti na walicho kubaliana. Nne Hezbullah anawambia serekali ya Lebanon na wananchi wa Lebanon haya mlio sema Israel hana shida na Lebanon, vipi anzishe tena mashambulizi haya sisi mlitulaumu nyie jeshi na wananchi wa Lebanon tuonyesheni mtafanya nini.
Hezbullah anauwezo wakupigana vita hata miaka 20 kwa silaha alizo nazo na time akikianzisha Israel atajuta.
Zamani nami nlikuwa naaminishwa hivyo ila kwa sasa ukweli umefahamika. Hezbollah tupo vibaya. Walioko huko wanasema hali ni mbaya na Iran anashindwa ku supply weapons kwa sasa. Na huo mzozo wa Syria na Turkey. Nachanganyikiwa kabisa.Nilikiwa namsikiliza mwanahabari mmoja akisema Hezbullah wanaweza kuishambulia Israel wakati wowote, lakini wametulizana kwanza kutaka kuwaonyesha wa Lebanon kuwa Israel msimuamini kabisa, hata mkisign naye agreement. Pili dunia nzima waliwalaumu Lebanon kuivamia Israel, sa wanataka kuwaonyesha duniani mlio sema tulimchokoza hio ndio tabia yake tungeingia naye vita tu hata tusinge taka lazima angetufata tu huyo anataka kuichukua Lebanon yote, lakini kashi dwa sababu ya Hezbullah. Tatu hi inaonyesha Israel kala hasara kwenye vita hio na hizo 60days haruhusiwi kupiga chochote, ni ku pull out sa anacho fanya ni tofauti na walicho kubaliana. Nne Hezbullah anawambia serekali ya Lebanon na wananchi wa Lebanon haya mlio sema Israel hana shida na Lebanon, vipi anzishe tena mashambulizi haya sisi mlitulaumu nyie jeshi na wananchi wa Lebanon tuonyesheni mtafanya nini.
Hezbullah anauwezo wakupigana vita hata miaka 20 kwa silaha alizo nazo na time akikianzisha Israel atajuta.
Ntiti umeanza upyaaJuzi tu mlikuwa mnashangilia kuwa Netanyahu kaomba amani kwasababu ya kipigo 😁😆
Sasa hebu jibuni mashambulizi ili mtiti uanze tena😂
Kumbe hujui Bila Yahudi Marekani mandembaHalafu akipigwa anaiomba marekani imsaidie
Hiyo ndo hasara ya kusaini kitu ambacho hujakielewa kwa undani. Kwenye hati ya kusitisha mapigano imebainishwa kwamba vitendo vyovyote vitakavyoashiria Hatari kwa usalama wa Israel; IDF itavidhibiti chap" au haraka iwezekanavyo. Kwa mujibu wa cease fire Deal IDF wapo sahihi.Kumbe yaliositishwa ni mapigano ya ardhini tu, huko kwa anga kipondo bado kipo pale pale
Silaha za Ayatolah zunaungua vizuri sana😆😄
Hahaha. Unadhani chadema wale? Wale waislam sio chadema Msaada, Salum Mwalimu wa Chadema na yule jamaa wa Tanga somebody Ally Kibao aliyeuwa ni WAKRISTO wa dhehebu gani ?
Msaada,, hivi Salum Mwalimu wa Chadema toka Zanzibar na yule aliyeuwa kwa kushushwa kwenye basi somebody Ally Kibao wa Tanga ni wakristo wa dhehebu gani ?Hahaha. Unadhani chadema wale? Wale waislam sio chadema
Uislam umeshindwaje na myahudi. Watu wanatumia akili nyie mnaachwa mjae tuHahaha. Unadhani chadema wale? Wale waislam sio chadema
Si mlidai myaudi kachapika mpaka kaomba cisefire au sio nyie?Kama kawaida yao siku zote wanaharibu makubaliano ..ajabu bado mna waona wako sahihi hapo ndio napoamini wabongo wengi makondoo
Unaonekana ni mweupe sana kwenye huu mzozo.Zamani nami nlikuwa naaminishwa hivyo ila kwa sasa ukweli umefahamika. Hezbollah tupo vibaya. Walioko huko wanasema hali ni mbaya na Iran anashindwa ku supply weapons kwa sasa. Na huo mzozo wa Syria na Turkey. Nachanganyikiwa kabisa.
Kwani uongo kuwa hajaomba ceasefire?Si mlidai myaudi kachapika mpaka kaomba cisefire au sio nyie?
Kuna kitendo gani cha kuashiria hatari ya usalama!?Hiyo ndo hasara ya kusaini kitu ambacho hujakielewa kwa undani. Kwenye hati ya kusitisha mapigano imebainishwa kwamba vitendo vyovyote vitakavyoashiria Hatari kwa usalama wa Israel; IDF itavidhibiti chap" au haraka iwezekanavyo. Kwa mujibu wa cease fire Deal IDF wapo sahihi.
Hiyo Depot iliyolipuliwa ilikuwa kwenye Mpaka wa Lebanon na Syria Silaha zikitoka kwa Ayatolah zinashukia pale halafu zinaingizwa front.Kwani si walimaliza silaha zote za hizbollah au wazayuni wa jf hamueleweki
Mnanikumbusha ile story ya pesa na dhahabu za Nasurlah zipo chini ya Hospital hahaha, same Storage System Architecture ile ya dhahabu zipo chini ya Hospital mpa US secrets of defence akasema hawaoni dalili na wewe bado unamuamini Israel.
Israel anafanya vile sababu Jeshi la Lebanon ndio wao sasa wako mipakani na Hezbullah hawezi ingilia hio issue, mpa serekali ya Lebanon ikiri Israel kabreak ceasefire. Hapo naona jeshi la Lebanon ni mafala, waseme hatuwezi kupambana na Israel bora Hezbullah irudi hapo uone kama Israel atapiga risasi moja.
Nimefatilia story Israrl anadai yeye katika siku 60 ana haki ya kushambulia kama kaona Hezbullah analeta hatari, na anasema US kampa green light. Je ni kweli au Israel kaona waisrael hawajapendezewa na peace aliyo kubali Shetanyahu, sa anataka aivuruge hio peace.
Je Hezbullah ataendelea kunyamaza au atawambia jeshi la Lebanon rydini nyuma. Siku zitaongea
View: https://youtu.be/ihEnrJRL1dM?si=IP7xcQaxXykl6Rhq
Kosa alilo kosea Rais wa Parliament ya Lebanon na PM wa Lebanon kumuamini US, awape Israel siku 60 za ku pull out. Pia kama kuna hatari wafyatue risasi hapo ndipo US na Israel wameona wawaonyeshe ubabe. Huyo PM na Rais wa Parliament vipi wamemuamini US kumpa 60days chance za kushambulia object ambayo wanaona itawadhuru Israel, hilo ni kosa kama ni kweli wanacho ongea Israel.
US siwakumuamini kachora draft we siku 60 umpe chance Israel afanye alitakalo, hi point navyo jua ni ku pull out sio afanye alitakalo. Kama ni kweli Lebanon wameingia cha kike vipi ukubali ujinga huo, Israel atasema nimeona kuna hatari inabidi nishambulie. Sijui nani Muongo hapo Israel au mkataba.
Wakiamua ndio kwisha habari yao,wamesha tepeta kiwanjani hao salama yao ni hizo siku 60 wakijidanganya wamekwisha hiyo ceasefire imefanywa isionekane myahudi ni mkorofi hataki amani hapo middle east tupo hapa 🤣🤣Kuna kitendo gani cha kuashiria hatari ya usalama!?
Makubaliano si ilikua Hizbollah asijipange kijeshi!?
Sasa imekuaje ushambulie!?
Israel kavunja makubaliano tusubiri nini Hizbollah ataamua.
Wahi milembeUnaonekana ni mweupe sana kwenye huu mzozo.
Hivi vita ya 2006 umewahi ifuatilia baina ya Hizbollah na Israel!?
Israel ilifanya carpet bombing hadi katika vituo vya matangazo vya Hizbollah.
Kwa zile taarifa kila mtu aliamini Hizbollah is finished.
Walidai wamelipua MAGHALA YOTE YA SILAHA ZA HIZBOLLAH.
Ila muda mchache ujao roketi na makombora yalionekana yakitoka Kusini mwa Lebanon kuingia Israel.
Hata mwaka huu Israel imesambaza habari na picha ikisema imeteka silaha za Hizbollah na kuzilipua,cha ajabu Hizbollah iliendesha vita.
Hivi una habari kuwa raia wanazidi kukimbia kamazi kuelekea Kanda ya kati ya Israel kwa kuiogopa Hizbollah!?
Endelea kujidanganya,Hizbollah ina silaha nyingi sana za kuendesha vita .