Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Sheikh wangu Umud huwa ananisimulia kama wewe. Ingawa hajui kiingereza lakini akikaa anatusimulia sana. Naye anakuwa ameambiwa ukimuuliza source hajui maana yake nini. Nadhani nawe sheikh wangu ni vile vile tu. Haya tunaambiana tukiwa wenyewe ila JF kuna wengi wanauelewa.Unaonekana ni mweupe sana kwenye huu mzozo.
Hivi vita ya 2006 umewahi ifuatilia baina ya Hizbollah na Israel!?
Israel ilifanya carpet bombing hadi katika vituo vya matangazo vya Hizbollah.
Kwa zile taarifa kila mtu aliamini Hizbollah is finished.
Walidai wamelipua MAGHALA YOTE YA SILAHA ZA HIZBOLLAH.
Ila muda mchache ujao roketi na makombora yalionekana yakitoka Kusini mwa Lebanon kuingia Israel.
Hata mwaka huu Israel imesambaza habari na picha ikisema imeteka silaha za Hizbollah na kuzilipua,cha ajabu Hizbollah iliendesha vita.
Hivi una habari kuwa raia wanazidi kukimbia kamazi kuelekea Kanda ya kati ya Israel kwa kuiogopa Hizbollah!?
Endelea kujidanganya,Hizbollah ina silaha nyingi sana za kuendesha vita .
Haya mambo sheikh wangu tusichanganye ni mihemko ya kiimani. Maana naona hili suala tumelichukua kiimani sana. Unamkuta mtu maamuma anaongelea suala hili hadi povu lamtoka.lakini maamuma tu ka ulivyo.