Israel yasambaratisha kituo kikubwa zaidi cha kutengeneza makombora cha Hezbollah

Wewe unakiuka makubaliano yetu. Tulisema hili tulikanushe tuseme siyo kweli. Wewe kigeugeuzi unakuja andika huu upuuzi kuwa zungumzia hivi hawa Israel? Umeniudhi sana. Israel hawajashambulia popote.wamerudi kwao kulala.
 
Ritz Adiosamigo Malaria 2 si tulikubaliana kuwa mayahood yameomba poooh.....sasa tena mbona yanaendeleza ukorofi?
Nilikiwa namsikiliza mwanahabari mmoja akisema Hezbullah wanaweza kuishambulia Israel wakati wowote, lakini wametulizana kwanza kutaka kuwaonyesha wa Lebanon kuwa Israel msimuamini kabisa, hata mkisign naye agreement. Pili dunia nzima waliwalaumu Lebanon kuivamia Israel, sa wanataka kuwaonyesha duniani mlio sema tulimchokoza hio ndio tabia yake tungeingia naye vita tu hata tusinge taka lazima angetufata tu huyo anataka kuichukua Lebanon yote, lakini kashi dwa sababu ya Hezbullah. Tatu hi inaonyesha Israel kala hasara kwenye vita hio na hizo 60days haruhusiwi kupiga chochote, ni ku pull out sa anacho fanya ni tofauti na walicho kubaliana. Nne Hezbullah anawambia serekali ya Lebanon na wananchi wa Lebanon haya mlio sema Israel hana shida na Lebanon, vipi anzishe tena mashambulizi haya sisi mlitulaumu nyie jeshi na wananchi wa Lebanon tuonyesheni mtafanya nini.

Hezbullah anauwezo wakupigana vita hata miaka 20 kwa silaha alizo nazo na time akikianzisha Israel atajuta.
 
Mwanahabari yupi huyo? Chanzo please.
 
Zamani nami nlikuwa naaminishwa hivyo ila kwa sasa ukweli umefahamika. Hezbollah tupo vibaya. Walioko huko wanasema hali ni mbaya na Iran anashindwa ku supply weapons kwa sasa. Na huo mzozo wa Syria na Turkey. Nachanganyikiwa kabisa.
 
Kumbe yaliositishwa ni mapigano ya ardhini tu, huko kwa anga kipondo bado kipo pale pale
Hiyo ndo hasara ya kusaini kitu ambacho hujakielewa kwa undani. Kwenye hati ya kusitisha mapigano imebainishwa kwamba vitendo vyovyote vitakavyoashiria Hatari kwa usalama wa Israel; IDF itavidhibiti chap" au haraka iwezekanavyo. Kwa mujibu wa cease fire Deal IDF wapo sahihi.
 
Hahaha. Unadhani chadema wale? Wale waislam sio chadema Msaada, Salum Mwalimu wa Chadema na yule jamaa wa Tanga somebody Ally Kibao aliyeuwa ni WAKRISTO wa dhehebu gani ?

Hahaha. Unadhani chadema wale? Wale waislam sio chadema
Msaada,, hivi Salum Mwalimu wa Chadema toka Zanzibar na yule aliyeuwa kwa kushushwa kwenye basi somebody Ally Kibao wa Tanga ni wakristo wa dhehebu gani ?
 
Zamani nami nlikuwa naaminishwa hivyo ila kwa sasa ukweli umefahamika. Hezbollah tupo vibaya. Walioko huko wanasema hali ni mbaya na Iran anashindwa ku supply weapons kwa sasa. Na huo mzozo wa Syria na Turkey. Nachanganyikiwa kabisa.
Unaonekana ni mweupe sana kwenye huu mzozo.
Hivi vita ya 2006 umewahi ifuatilia baina ya Hizbollah na Israel!?
Israel ilifanya carpet bombing hadi katika vituo vya matangazo vya Hizbollah.
Kwa zile taarifa kila mtu aliamini Hizbollah is finished.
Walidai wamelipua MAGHALA YOTE YA SILAHA ZA HIZBOLLAH.
Ila muda mchache ujao roketi na makombora yalionekana yakitoka Kusini mwa Lebanon kuingia Israel.

Hata mwaka huu Israel imesambaza habari na picha ikisema imeteka silaha za Hizbollah na kuzilipua,cha ajabu Hizbollah iliendesha vita.
Hivi una habari kuwa raia wanazidi kukimbia kamazi kuelekea Kanda ya kati ya Israel kwa kuiogopa Hizbollah!?

Endelea kujidanganya,Hizbollah ina silaha nyingi sana za kuendesha vita .
 
Kuna kitendo gani cha kuashiria hatari ya usalama!?
Makubaliano si ilikua Hizbollah asijipange kijeshi!?
Sasa imekuaje ushambulie!?
Israel kavunja makubaliano tusubiri nini Hizbollah ataamua.
 
Kwani si walimaliza silaha zote za hizbollah au wazayuni wa jf hamueleweki
Hiyo Depot iliyolipuliwa ilikuwa kwenye Mpaka wa Lebanon na Syria Silaha zikitoka kwa Ayatolah zinashukia pale halafu zinaingizwa front.
 
Ukisikia akili kubwa ndio hiyo sio hao magaidi wao wanawaza kurusha tu maroketi na kujilibua
 
Kuna kitendo gani cha kuashiria hatari ya usalama!?
Makubaliano si ilikua Hizbollah asijipange kijeshi!?
Sasa imekuaje ushambulie!?
Israel kavunja makubaliano tusubiri nini Hizbollah ataamua.
Wakiamua ndio kwisha habari yao,wamesha tepeta kiwanjani hao salama yao ni hizo siku 60 wakijidanganya wamekwisha hiyo ceasefire imefanywa isionekane myahudi ni mkorofi hataki amani hapo middle east tupo hapa 🤣🤣
 
Wahi milembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…