Israel yasema imemuua Waziri wa ujasusi wa Iran, Esmail Khatib

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,678
Reaction score
27,653

Iran’s intelligence minister Esmail Khatib​

Israeli Defense Minister Israel Katz says Iran’s intelligence minister Esmaeil Khatib was eliminated in an overnight strike in Tehran.

Katz warns of “significant surprises” expected today across multiple arenas, signaling further escalation against Iran and Hezbollah.

He also confirms Israel has authorized targeting of any senior Iranian figure without additional approval, indicating an expanded operational mandate.
 
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz anasema Waziri wa Ujasusi wa Iran Esmail Khatib ameuawa.
"Jana usiku Waziri wa Ujasusi wa Iran Khatib pia aliuawa," Katz anasema katika taarifa.
Iran bado haijatoa maoni.
 
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema leo kuwa wamemuondoa” Waziri wa Ujasusi wa Iran, Esmail Khatib, katika shambulio la usiku kucha. Hata hivyo, Iran bado haijathibitisha kifo cha Khatib.

Akizungumza kuhusu tukio hilo, Katz alisema kuwa “mshangao mkubwa unatarajiwa katika siku hii kwenye maeneo yote ya mapambano,” bila kutoa maelezo zaidi.

“Tutaendelea kuwazuia na kuwawinda wote,” alisema.

Aidha, Katz alisema kuwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameipa jeshi mamlaka kamili ya kuwaua maafisa wengine waandamizi wa Iran wanaolengwa bila kuhitaji idhini nyingine ya ziada.


​
===========
​
Israel's Defence Minister Israel Katz said on Wednesday that they "eliminated" Iran's Intelligence Minister Esmail Khatib in a strike overnight. However, Iran has not confirmed Khatib's death.

While announcing Khatib's death, Katz said that "significant surprises are expected throughout this day on all the fronts," without elaborating.

"We will continue to thwart and hunt them all down," he said.

Katz said that Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has given the military a free hand to kill any other senior Iranian official being targeted without taking additional approvals.

Source: Al Jazeera, Reuters
 
Moderator tunaomba hii mada iwe breaking news na alama nyekundu kabisaa!
Maana kuanzia kesho itakuwa ni mwendo wa breaking news Tu za magaidi Kuga

Kuna list ya walking dead wapo kwenye foleni ya kufa
 
kimsboy kumbe waziri wa Israel aliyeuawa ni huyu hapa
 
IDF imwemwangamiza Waziri wa Ujasusi wa Iran, Esmaeil Khatib, katika shambulio lililolenga watu huko Tehran.
 

Attachments

  • IMG_20260318_170848_788.jpg
    162.4 KB · Views: 28
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…