Israel yasema shambulio la Yemen ni onyo kwa maadui zake wote wa mashariki ya kati

Israel yasema shambulio la Yemen ni onyo kwa maadui zake wote wa mashariki ya kati

Wamelipiza kisasi wamelipua Eilat.
Au huna habari??
Ufia dini si kitu kizuri
Dini inayokufanya kuwa liongo,lizushi,lijuaji, na mambo mengine kuhusiana na hayo achana nayo.
Haikuingii akilini kuwa humu kuna great thinkers?
Kwamba great thinkers wa humu hatuna uwezo wa kuanalyze kuwa huu ni uzushi na hii ni pumba?
Kwamba wewe peke yako ndo unajua kwamba ellat ilipigwa?
Hebu yasome maandiko yako halafu ujifanyie assessment kama unajivua nguo ama la!
 
"Houthis target Israeli city of Eilat in wake of Yemen port attack | World News | Sky News" Houthis target Israeli city of Eilat in wake of Yemen port attack
 
Wapi kwenye hii link ellat imeripuliwa?
Au kuwadanganya wasioamini si dhambi?
Ripoti zingine zilisema raia walisikia milipuko Eilat,means ilikua mingi ikisadiki ripoti ya houthi kwamba wameshambulia kwa makombora na si kombora moja Kama madai ya IDF,pili ni kwamba yalitua Eilat maana raia walisikia milipuko,tatu ni kweli houthi walishambulia Israel baada ya kushambuliwa, tofauti na dhana yenu kwamba walinywea
 
Hebu tupe link tujiridhishe,
Once again, UONGO NI DHAMBI
 
aisee Israel inajua kuchapa nasikia mpaka leo jamaa Bado hawajazima moto bandarini,netanyahu kashika korodani za wahouth.
Hivi mHouthi huwa analiaje kwa sauti anapozidiwa??☹️😢
 
Webabu hivi kwa nini huwa hamsemi ukweli?

Kati ya Gaza na Israel, nani mchokozi?

Na kati ya wanamgambo wa Yemeni na Israel ni nani mchokozi?

Kuweni wakweli, Israel anapenda Amani ila huwa anachokozwa, na akichokozwa huwa hajui kupiga kidogo, huwa anakung'uta kweli kweli

Mkikung'utwa hivyo ndo mnakimbilia kulialia eti tumechokozwa
Tuongee ukweli...
Mkwawa na Wakoloni wa Kijermani ni nani alikuwa mkorofi...?
 
Ufia dini si kitu kizuri
Dini inayokufanya kuwa liongo,lizushi,lijuaji, na mambo mengine kuhusiana na hayo achana nayo.
Haikuingii akilini kuwa humu kuna great thinkers?
Kwamba great thinkers wa humu hatuna uwezo wa kuanalyze kuwa huu ni uzushi na hii ni pumba?
Kwamba wewe peke yako ndo unajua kwamba ellat ilipigwa?
Hebu yasome maandiko yako halafu ujifanyie assessment kama unajivua nguo ama la!
Wewe kijana ni punguani.
Umepewa link ya Skynews bado unakikataa!?
Halafu unazungumza mambo mengi ambayo ni useless,baseless and factless.
Unadhani hapa tunabishana Udini!?
Je kuna sehemu nimesema nabishana kisa dini?
Tunabishana ama tunaeleweshana na kufahamishana!?
Embu kua kiakili acha uvulana.
 
Mkwawa!!! 🖐
Ndiyo....namaanisha.
Mkwawa (Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga) 1855 – 19 Julai 1898.
Alikuwa mtemi na kiongozi mkuu wa kabila la Wahehe na alipigana vita against ukoloni wa Ujerumani.

Je.. Nani alikuwa mkorofi kati ya Ukoloni wa German na Mkwawa..?
 
Wewe kijana ni punguani.
Umepewa link ya Skynews bado unakikataa!?
Halafu unazungumza mambo mengi ambayo ni useless,baseless and factless.
Unadhani hapa tunabishana Udini!?
Je kuna sehemu nimesema nabishana kisa dini?
Tunabishana ama tunaeleweshana na kufahamishana!?
Embu kua kiakili acha uvulana.
Wewe ndo umeanzisha mada ya kubishana.
Base yangu kuongelea dini ni kusimama katika ukweli kuwa kama ufia dini wako unakufanya kuwa liongo,lizushi na libishi basi hiyo dini haikufai.
Kama gt nimejipa muda kusoma na kuangalia kweli kama hiyo link inaongelea eillat kulipuliwa na houth na nikajiridhisha beyond reasonable doubt kama umeongopa.
Nakutahadhalisha kuwa usijisahau tunakusoma jinsi ulivyo either positively or negatively kupitia mabandiko yako.
Usipoteze credibility ukajivua nguo mbele ya waungwana kwa sababu ya ufia dini.
Wasalaam
Kuniita punguani ni dalili ya kutumia nguvu kujibu hoja badala ya kutoa hoja ya nguvu
 
Baki na dini yako tuache wakristo tumfate kristo Yesu mwokozi wetu. Sisi tunachnokiamimi ni sahihni zaidi kwetu na wewe unachokiamini ni sahnihi zaidi kwako. Oil?a mtu afate chake, tatizo liko wapi? Chuki hbazina mwingi, wasaidieni waislamu wenzenu wamjue Mungu zaidi.
Isreal ni bla bla nyingi kwanza hizo F35 mpaa zifike Yemen wanazo two option wapunguze uzito, wa maboom ndio zitafika Yemen, kama wakitumia njia ya Red Se.

Hao mimi na kwenda na wale walio sema hizo ndege zilizo piga ni za US, UK, Egypt na Saud Arabia. Israel bila kupewa green light watumie Air space ya Egypt na Saud Arabia ni vigumu kufika huko ndege zao bila kuwa refuel, na hizo ndege tulizo onyeshwa zina refuel sio za Israel eti zipo Red Sea, ni video zipo kwenye archive zao.

Option ya pili walitumia UAE kwenda ku attacked Yemen.

Huku na huku warabu wameshiriki kama kawaida zao wameruhusu ndege za Israel kutumia anga ya Jordani, Saud Arabia na Egypt Warabu na wafrica si watu wakuwamini,wakiona ngozi ya pink.

R.I.P commander wangu Robert Mgabe huyu ni katika wale wakristo 10% naheshimu misimamo yao, sio hivi vikristo njaa vinavyo amini bibilia ya Paulo na taifa teule lake

Hi video nzuri kwa waimba kwaya watazame vipi Mungu wa bibilia zaio.ni Racist 😄

View: https://youtu.be/kQI7WWCi-eQ?si=RG6Ku8g3825pzy2U
 
Baki na dini yako tuache wakristo tumfate kristo Yesu mwokozi wetu. Sisi tunachnokiamimi ni sahihni zaidi kwetu na wewe unachokiamini ni sahnihi zaidi kwako. Oil?a mtu afate chake, tatizo liko wapi? Chuki hbazina mwingi, wasaidieni waislamu wenzenu wamjue Mungu zaidi.
Mimi unadhani natishika na wakristo 😄 3=1 hata mimi nikisema Mungu yuko na mimi na kuwa 3=1 anzeni kunita na mimi Mungu vichaa kweli nyie.

Mimi huwa sipendi kurudia nilicho kiongea wakristo ambao kidogo nao waheshimu ni wale wanao amini Israeli ni taifa haramu.

Ama nyie vilaza bakini na mjinga aliye kosa nyumba akalala chini ya mti, usingizi ulimvyo mchukua akamuota shetani akadhani kamuota Yesu 😄
 
Wewe Mohammed ni nani? Kwa kiboko ya wachawo wamejaa waislamu, kwa mamposa wamejaaa waislamu? Mnahangajika sanaa. Masheikh wamejaa uganga na majini
 
Unaongea upuuzi bado!?
Kwanza unaonekana hauna akili timamu usikute nabishana na kichaa hapa.
Sudan wamepitia crisis ngapi!?
Nani kakwambia Sudan wana mapigano ya waislam na wakristo!?
Sudan wanapigania utawala baina ya jeshi kuu la Sudan na RSF jeshi la usaidizi la Sudan.
Hilo ni jambo la ndani ya nchi.
ACHA USENGE BASI KUWA MUELEWA.
Unafananishaje jambo la kitaifa na kimataifa!?
Pia mada hapa inahusu Middle east kama ukitaka mada ya Sudan nenda thread zake zipo zimefunguliwa.

Wacha nikupe somo la mwisho maana naona unazidi USENGE.
BELGIUM,NORWAY,SPAIN,COLOMBIA,BRAZIL na mataifa mengine makubwa yamevunja mahusiano ya kidiplomasia na Israel na kupiga kura Palestina iwe kama taifa huru.
Msenge one kama wewe unaongea nini!?
Kwahiyo hayo mataifa yalikua yanacheza pale UN na kukata mauno!?

Mwisho huwa sijadili na wapuuzi maana naona unataka ubishani na mimi napenda majadiliano ngojea nikublock.
Unachekesha sana na uharo wako.😁😁😁
Kujua kusoma kiarabu nawe unajifanya mpalestina?
Acha wapigwe wapalestina mpk wachakae na mpaka wamtaje aliyewatuma october 7.
Sina msaada nao na wala siwezi kuwaonea huruma. Ndugu zangu wapo hapo Sudan wanauwawa na hao waarabu waislamu.
Pmbv zako.
 
Kama Rusia anasaidiwa na Iran Korea ,hivyo hakuna tatizo kwa Israel kusaidiwa na hao sawala na ushindi
 
Back
Top Bottom