Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Ufia dini si kitu kizuriWamelipiza kisasi wamelipua Eilat.
Au huna habari??
"Houthis target Israeli city of Eilat in wake of Yemen port attack | World News | Sky News" Houthis target Israeli city of Eilat in wake of Yemen port attackUfia dini si kitu kizuri
Dini inayokufanya kuwa liongo,lizushi,lijuaji, na mambo mengine kuhusiana na hayo achana nayo.
Haikuingii akilini kuwa humu kuna great thinkers?
Kwamba great thinkers wa humu hatuna uwezo wa kuanalyze kuwa huu ni uzushi na hii ni pumba?
Kwamba wewe peke yako ndo unajua kwamba ellat ilipigwa?
Hebu yasome maandiko yako halafu ujifanyie assessment kama unajivua nguo ama la!
Wapi kwenye hii link ellat imeripuliwa?"Houthis target Israeli city of Eilat in wake of Yemen port attack | World News | Sky News" Houthis target Israeli city of Eilat in wake of Yemen port attack
Ripoti zingine zilisema raia walisikia milipuko Eilat,means ilikua mingi ikisadiki ripoti ya houthi kwamba wameshambulia kwa makombora na si kombora moja Kama madai ya IDF,pili ni kwamba yalitua Eilat maana raia walisikia milipuko,tatu ni kweli houthi walishambulia Israel baada ya kushambuliwa, tofauti na dhana yenu kwamba walinyweaWapi kwenye hii link ellat imeripuliwa?
Au kuwadanganya wasioamini si dhambi?
Hebu tupe link tujiridhishe,Ripoti zingine zilisema raia walisikia milipuko Eilat,means ilikua mingi ikisadiki ripoti ya houthi kwamba wameshambulia kwa makombora na si kombora moja Kama madai ya IDF,pili ni kwamba yalitua Eilat maana raia walisikia milipuko,tatu ni kweli houthi walishambulia Israel baada ya kushambuliwa, tofauti na dhana yenu kwamba walinywea
Nimetoa Sana link huko nyuma,ingia mwenyewe kusaka habariHebu tupe link tujiridhishe,
Once again, UONGO NI DHAMBI
Hivi mHouthi huwa analiaje kwa sauti anapozidiwa??βΉοΈπ’aisee Israel inajua kuchapa nasikia mpaka leo jamaa Bado hawajazima moto bandarini,netanyahu kashika korodani za wahouth.
Tuongee ukweli...Webabu hivi kwa nini huwa hamsemi ukweli?
Kati ya Gaza na Israel, nani mchokozi?
Na kati ya wanamgambo wa Yemeni na Israel ni nani mchokozi?
Kuweni wakweli, Israel anapenda Amani ila huwa anachokozwa, na akichokozwa huwa hajui kupiga kidogo, huwa anakung'uta kweli kweli
Mkikung'utwa hivyo ndo mnakimbilia kulialia eti tumechokozwa
Binadamu wabishi waache wanyoshane kidogo sweetheart..Vibaya hivooo lo
Unapenda civil wars lo. Sio poaaa kabisa Mapigano yana athari nyingi sana ujueBinadamu wabishi waache wanyoshane kidogo sweetheart..
Mkwawa!!! πTuongee ukweli...
Mkwawa na Wakoloni wa Kijermani ni nani alikuwa mkorofi...?
Wewe kijana ni punguani.Ufia dini si kitu kizuri
Dini inayokufanya kuwa liongo,lizushi,lijuaji, na mambo mengine kuhusiana na hayo achana nayo.
Haikuingii akilini kuwa humu kuna great thinkers?
Kwamba great thinkers wa humu hatuna uwezo wa kuanalyze kuwa huu ni uzushi na hii ni pumba?
Kwamba wewe peke yako ndo unajua kwamba ellat ilipigwa?
Hebu yasome maandiko yako halafu ujifanyie assessment kama unajivua nguo ama la!
Ndiyo....namaanisha.Mkwawa!!! π
Wewe ndo umeanzisha mada ya kubishana.Wewe kijana ni punguani.
Umepewa link ya Skynews bado unakikataa!?
Halafu unazungumza mambo mengi ambayo ni useless,baseless and factless.
Unadhani hapa tunabishana Udini!?
Je kuna sehemu nimesema nabishana kisa dini?
Tunabishana ama tunaeleweshana na kufahamishana!?
Embu kua kiakili acha uvulana.
Isreal ni bla bla nyingi kwanza hizo F35 mpaa zifike Yemen wanazo two option wapunguze uzito, wa maboom ndio zitafika Yemen, kama wakitumia njia ya Red Se.
Hao mimi na kwenda na wale walio sema hizo ndege zilizo piga ni za US, UK, Egypt na Saud Arabia. Israel bila kupewa green light watumie Air space ya Egypt na Saud Arabia ni vigumu kufika huko ndege zao bila kuwa refuel, na hizo ndege tulizo onyeshwa zina refuel sio za Israel eti zipo Red Sea, ni video zipo kwenye archive zao.
Option ya pili walitumia UAE kwenda ku attacked Yemen.
Huku na huku warabu wameshiriki kama kawaida zao wameruhusu ndege za Israel kutumia anga ya Jordani, Saud Arabia na Egypt Warabu na wafrica si watu wakuwamini,wakiona ngozi ya pink.
R.I.P commander wangu Robert Mgabe huyu ni katika wale wakristo 10% naheshimu misimamo yao, sio hivi vikristo njaa vinavyo amini bibilia ya Paulo na taifa teule lake
Hi video nzuri kwa waimba kwaya watazame vipi Mungu wa bibilia zaio.ni Racist π
View: https://youtu.be/kQI7WWCi-eQ?si=RG6Ku8g3825pzy2U
Kama j onto si apitishe meli pale tuoneHao Youth mpaka wanaichokonoa Islael ilikuwa imewafanya nini?
Mimi unadhani natishika na wakristo π 3=1 hata mimi nikisema Mungu yuko na mimi na kuwa 3=1 anzeni kunita na mimi Mungu vichaa kweli nyie.Baki na dini yako tuache wakristo tumfate kristo Yesu mwokozi wetu. Sisi tunachnokiamimi ni sahihni zaidi kwetu na wewe unachokiamini ni sahnihi zaidi kwako. Oil?a mtu afate chake, tatizo liko wapi? Chuki hbazina mwingi, wasaidieni waislamu wenzenu wamjue Mungu zaidi.
Wewe Mohammed ni nani? Kwa kiboko ya wachawo wamejaa waislamu, kwa mamposa wamejaaa waislamu? Mnahangajika sanaa. Masheikh wamejaa uganga na majiniMimi unadhani natishika na wakristo π 3=1 hata mimi nikisema Mungu yuko na mimi na kuwa 3=1 anzeni kunita na mimi Mungu vichaa kweli nyie.
Mimi huwa sipendi kurudia nilicho kiongea wakristo ambao kidogo nao waheshimu ni wale wanao amini Israeli ni taifa haramu.
Ama nyie vilaza bakini na mjinga aliye kosa nyumba akalala chini ya mti, usingizi ulimvyo mchukua akamuota shetani akadhani kamuota Yesu π
Unachekesha sana na uharo wako.πππUnaongea upuuzi bado!?
Kwanza unaonekana hauna akili timamu usikute nabishana na kichaa hapa.
Sudan wamepitia crisis ngapi!?
Nani kakwambia Sudan wana mapigano ya waislam na wakristo!?
Sudan wanapigania utawala baina ya jeshi kuu la Sudan na RSF jeshi la usaidizi la Sudan.
Hilo ni jambo la ndani ya nchi.
ACHA USENGE BASI KUWA MUELEWA.
Unafananishaje jambo la kitaifa na kimataifa!?
Pia mada hapa inahusu Middle east kama ukitaka mada ya Sudan nenda thread zake zipo zimefunguliwa.
Wacha nikupe somo la mwisho maana naona unazidi USENGE.
BELGIUM,NORWAY,SPAIN,COLOMBIA,BRAZIL na mataifa mengine makubwa yamevunja mahusiano ya kidiplomasia na Israel na kupiga kura Palestina iwe kama taifa huru.
Msenge one kama wewe unaongea nini!?
Kwahiyo hayo mataifa yalikua yanacheza pale UN na kukata mauno!?
Mwisho huwa sijadili na wapuuzi maana naona unataka ubishani na mimi napenda majadiliano ngojea nikublock.