Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Baada ya kumalizika kwa usitishaji wa vita kwa muda wa wiki moja na ubadilishanaji wa mateka vita vimeanza upya kati ya Israel na wanamgambo wa Hamas.
Katika ngwe hii mpya na katika hai ya kushangaza Hamas wamefanikiwa kurusha makombora kutoka kaskazini ya Gaza na kuyavurumisha kusini ya Israel karibu kabisa na mpaka wa Gaza.Kwa upande wake Israel wameanza kwa kushambulia mji wa Rafah ulio mpkakani na Misri.