Israel yashambulia Rafah na Hamas, wapiga mji wa mpakani wa Sderot

Israel yashambulia Rafah na Hamas, wapiga mji wa mpakani wa Sderot

Kama hadi sasa mapigano ya kivita yangekuwa bado yanatumia silaha za mapanga tu basi sidhani kama tungekuwa na hizi vita za kijinga kijinga zenye kugharimu maisha ya watu wengi wasiohusika moja kwa moja na hayo mapigano.

Dunia imekuwa na upumbavu mwingi sana, watu wako busy kubuni kila aina za silaha(na watu hushsbikia) na mwisho wake ndio haya tunapigana vita za kipumbavu zenye kugharimu maisha ya watu(na bado watu pia hushabikia).

Vita zisizokuwa za kipumbavu zinakuwaje? Na je hazigharimu maisha ya watu?
 
Yaan watu wanapambania nchi yao ww unawaita magaidi hicho kichwa chako kitakuwa kina matatizo israel wamehamia hilo eneo wamekuta wa palestine wapo miaka yote leo wanasema maandiko ya mungu yameandika hapo ndio eneo lao.

Kwani hao Waisrael nchi yao ilikuwa ni ipi mpaka wakaivamia hiyo Palestina na kuacha nchi yao?
 
Yaan watu wanapambania nchi yao ww unawaita magaidi hicho kichwa chako kitakuwa kina matatizo israel wamehamia hilo eneo wamekuta wa palestine wapo miaka yote leo wanasema maandiko ya mungu yameandika hapo ndio eneo lao.
Wanapambana kwa njia za kigaidi ndio maana wanaitwa magaidi.
 
Vita zisizokuwa za kipumbavu zinakuwaje? Na je hazigharimu maisha ya watu?
Vita zisizo za kipumbavu ni zile ambazo hazigharimu maisha ya wasiohusika au kuwepo katika uwanja wa vita, unauwa raia wa kawaida tena watoto kwa wazee na wanawake hawahusiki na kwa lolote halafu unakuja kusema tunatetea nchi yetu mara sijui yule ndio kaanza mie nalipiza kisasi, ni upumbavu mtupu na kibaya kuna mashabiki wa huo upumbavu.
 
Ground operation ndio mziki wenyewe sema what is the objective of this war in Gaza?
 
Wanapigana na adui wanayemjua na kujulishwa na aliyewaumba.Kama wataweza na hawataweza wawapige wawamalize.
Usitaraji kuwa utasikia eti Hamas wamesalimu amri.Watarusha vikombora vidogo vidogo na vitaleta madhara makubwa kwa Israel mpaka watashindwa kuendelea na vita.
Mtu dhalimu na mwenye kuhalalisha matendo maovu kama ushoga ataleta balaa na ukatili mkubwa lakini hata siku moja hatopewa ushindi.Kumbuka nguvu kubwa ya Marekani na hatimae alishindwa na adui aliyemdharau sana na baada ya miaka 20.
Mnadanganywa sana huko MUM kwamba Afghan walimshinda US? Anyway viwango vya ushindi vya madrasa ni tofauti na hivi vya kimataifa
 
Back
Top Bottom