ripoti hv hv baadae usianze sema fulan anaua watoto , ss hv anarusha ndan ya Israel ambako watoto wapo piaBaada ya kumalizika kwa usitishaji wa vita kwa muda wa wiki moja na ubadilishanaji wa mateka vita vimeanza upya kati ya Israel na wanamgambo wa Hamas.
Katika ngwe hii mpya na katika hai ya kushangaza Hamas wamefanikiwa kurusha makombora kutoka kaskazini ya Gaza na kuyavurumisha kusini ya Israel karibu kabisa na mpaka wa Gaza.Kwa upande wake Israel wameanza kwa kushambulia mji wa Rafah ulio mpkakani na Misri.
Risasi haija wahi leta suluhu.
Wanapigana na adui wanayemjua na kujulishwa na aliyewaumba.Kama wataweza na hawataweza wawapige wawamalize.Hawa Hamas sijui ni watu wa aina gani!
Hii nafasi waliyoipata ya kuzungumza na Israel wangeitumia kutafuta muafaka na hatima yao kama taifa.
Sada hivyo vikombora vya kurusha na kukimbia wanategemea vipeleke ujumbe gani kwa hao mayahudi zaidi ya kuwatia hasira na kuibua maafa mengine kwa raia wasiokuwa na hatia!
Hakuna wa kutuzuia kuichukua gaza.Wanapigana na adui wanayemjua na kujulishwa na aliyewaumba.Kama wataweza na hawataweza wawapige wawamalize.
Usitaraji kuwa utasikia eti Hamas wamesalimu amri.Watarusha vikombora vidogo vidogo na vitaleta madhara makubwa kwa Israel mpaka watashindwa kuendelea na vita.
na hatutak fujo mitandaon mara KFC mara Biden , maana mmeamua kupigana piganen mpk mfike tamati na muachr kulia liaWanapigana na adui wanayemjua na kujulishwa na aliyewaumba.Kama wataweza na hawataweza wawapige wawamalize.
Usitaraji kuwa utasikia eti Hamas wamesalimu amri.Watarusha vikombora vidogo vidogo na vitaleta madhara makubwa kwa Israel mpaka watashindwa kuendelea na vita.
Mtu dhalimu na mwenye kuhalalisha matendo maovu kama ushoga ataleta balaa na ukatili mkubwa lakini hata siku moja hatopewa ushindi.Kumbuka nguvu kubwa ya Marekani na hatimae alishindwa na adui aliyemdharau sana na baada ya miaka 20.
kama watoto wakiisrael wakiuawa na mabomu ya hamas bas kaen kimya mabomu ya idf yakijibu mapigoWatoto wakiwaua sio mimi tu mataifa yote yameonesha kutokuwa tayari na habari hizo.
Israel ndo ange itumia vzuri..hapa ni jino kwa jinoHawa Hamas sijui ni watu wa aina gani!
Hii nafasi waliyoipata ya kuzungumza na Israel wangeitumia kutafuta muafaka na hatima yao kama taifa.
Sada hivyo vikombora vya kurusha na kukimbia wanategemea vipeleke ujumbe gani kwa hao mayahudi zaidi ya kuwatia hasira na kuibua maafa mengine kwa raia wasiokuwa na hatia!
Mpaka leo hao watoto hawajajulikan ni wa nani.Waziri mkuu wa Spain alipooneshwa video wala haikumshtua akifikiria vifo vya wapalestina karibu 20000.kama watoto wakiisrael wakiuawa na mabomu ya hamas bas kaen kimya mabomu ya idf yakijibu mapigo
Yahudi wa buza kwa lulenge,,,, hivi mnajua lkn kama hawa jamaa hawataki shobo na nyie,,,Hakuna wa kutuzuia kuichukua gaza.
Sisi tunashobo nao sababu wanatokomeza ugaidi/magaidi ya kiislamYahudi wa buza kwa lulenge,,,, hivi mnajua lkn kama hawa jamaa hawataki shobo na nyie,,,
Us walishawaonya Israel kukubali kusitisha vita,madhara yake yanaanza kuonekana.Katika hai ya kushangaza Hamas wamefanikiwa kurusha makombora
Risasi haija wahi leta suluhu.
Walisema tukiingia Gaza patakuwa sehemu ya machinjo kwa jeshi letu, hadi sasa hakuna kitu baada ya IDF kuingia. Sinagogi limefunguliwa Gaza bado kanisa na hatuiachii tena Gaza hadi mwisho wa dunia.Yahudi wa buza kwa lulenge,,,, hivi mnajua lkn kama hawa jamaa hawataki shobo na nyie,,,
Haya magaidi ya Israel inabidi ya uwaweBaada ya kumalizika kwa usitishaji wa vita kwa muda wa wiki moja na ubadilishanaji wa mateka vita vimeanza upya kati ya Israel na wanamgambo wa Hamas.
Katika ngwe hii mpya na katika hai ya kushangaza Hamas wamefanikiwa kurusha makombora kutoka kaskazini ya Gaza na kuyavurumisha kusini ya Israel karibu kabisa na mpaka wa Gaza.Kwa upande wake Israel wameanza kwa kushambulia mji wa Rafah ulio mpkakani na Misri.
Huwezi kutafuta suluhu na magaidi