Israel yashambulia Rafah na Hamas, wapiga mji wa mpakani wa Sderot

Vita zisizokuwa za kipumbavu zinakuwaje? Na je hazigharimu maisha ya watu?
 
Yaan watu wanapambania nchi yao ww unawaita magaidi hicho kichwa chako kitakuwa kina matatizo israel wamehamia hilo eneo wamekuta wa palestine wapo miaka yote leo wanasema maandiko ya mungu yameandika hapo ndio eneo lao.

Kwani hao Waisrael nchi yao ilikuwa ni ipi mpaka wakaivamia hiyo Palestina na kuacha nchi yao?
 
Yaan watu wanapambania nchi yao ww unawaita magaidi hicho kichwa chako kitakuwa kina matatizo israel wamehamia hilo eneo wamekuta wa palestine wapo miaka yote leo wanasema maandiko ya mungu yameandika hapo ndio eneo lao.
Wanapambana kwa njia za kigaidi ndio maana wanaitwa magaidi.
 
Vita zisizokuwa za kipumbavu zinakuwaje? Na je hazigharimu maisha ya watu?
Vita zisizo za kipumbavu ni zile ambazo hazigharimu maisha ya wasiohusika au kuwepo katika uwanja wa vita, unauwa raia wa kawaida tena watoto kwa wazee na wanawake hawahusiki na kwa lolote halafu unakuja kusema tunatetea nchi yetu mara sijui yule ndio kaanza mie nalipiza kisasi, ni upumbavu mtupu na kibaya kuna mashabiki wa huo upumbavu.
 
Ground operation ndio mziki wenyewe sema what is the objective of this war in Gaza?
 
Mnadanganywa sana huko MUM kwamba Afghan walimshinda US? Anyway viwango vya ushindi vya madrasa ni tofauti na hivi vya kimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…