Israel imetangaza rasmi kuhitaji huduma ya wanajeshi mamluki kutoka sehemu mbali mbali duniani.
Tangazo lililotolewa na jeshi la Israel (IDF) imeelezea ofisi za usaili zipo kwenye ubalozi wa Israel jijini New York kwa wahitaji waliopo bara la Amerika ya Kusini na kaskazini huku wahitaji wa Ulaya na kwingineko wakitakiwa kufika Paris- Ufaransa kwenye ubalozi wa Israel.
Wapo watu tulihoji hapa kuhusu Mtanzania alieuawa kutumika kwenye shughuli za kijeshi kama yule alieuawa Ukraine(Mtanzania aliyeuawa na Hamas alikuwa sehemu ya jeshi la Israel? Serikali itoe tamko Watanzania wangapi wameingizwa kwenye jeshi la Israel), watu wakaja na mhemuko kua Israel inajitosheleza na wanaotumika jeshini ni wayahudi tu wa asili,tangazo hili linaonyesha tofauti sasa!!
Tazama video rasmi ya tangazo
View: https://twitter.com/Sprinter99800/status/1739261543479435629?t=l0K0-HiGT1RODr6jJ9A8Gw&s=19.