MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
nenda hapo ubalozini kwao Nairobi utapata nafasi ya kwenda kumpigania bwana wako unayempenda sana. Hii ndio golden chansi umeipata. usipoenda kuwasaidia bwana zako basi wewe ni mnafiki hufai wala usijidai kuwatetea Israel hapa jukwaani; tutakushangaa kwani unahangaika kupambania maneno wakati opportunity ya kuingia Tel Aviv ukawasaidie ipo? Halafu wanajeshi wa Israel wanalipwa USD 4000 per week hiyo ni pesa ndefu wahi ukapate chochote.. hebu fanya kwa vitendo wacha maneno matupu nenda katoe msaada watu wameelemewa huko
Siku wakisema watu wajitolee kwenda kuwasaidia Hamas utashangaa mamilioni ya watu duniani watajitokeza tena hata wakijua hakuna malipo yeyote.. Islam is the on the next level people love their religion than their souls
Nimeuliza nikaambiwa IDF haichukui asiye Myahudi au mwenye uraia pacha hivyo bahati yangu mbaya.
Na hayo ya bwana kuolewa, ushoga, ungehoji huyu unayemuabudu maana alianza yeye: MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245: