Mshughulishaji
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,351
- 1,875
Bora ufe lakini si kupokea dawa zao?Hata hicho sie hatutaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ufe lakini si kupokea dawa zao?Hata hicho sie hatutaki
Kwa jinsi walivyo wanafiki watatumia.Kuna wengine huko Gaza wapo kwenye foleni ya kupata chanjo ya covid 19,toka kwa wazayuni!Kuna wale wanaotamani taifa hili la Mungu lenye maarifa ya hali ya juu kufutika duniani je wanatatumia dawa hii iyotengenezwa na wana wa Sayuni?
Israeli company 'SaNOtize' invented a life-saving nasal spray that protects and prevents viral infections.
Israel is at the forefront of finding medical solutions that are blessing humanity.
View attachment 1731877
Ww jamaa una akili za kupumbavu sasa hapa Iran imeingiaje kwenye hiyo habari yako?Ayatollahs pigeni kelele sasa.Nchi za kiislamu zinazojielewa zimeanzisha uhusiano na Israel!
Israel ni kati ya nchi iliyo fanikiwa kuchanja watu wengi na kati ya chanjo zote zilizo tumika hakuna hata moja iliyo tengenezwa ndani ya Israel bali wamenunua kutoka kwenye makampuni ya Ulaya.Kwa jinsi walivyo wanafiki watatumia.Kuna wengine huko Gaza wapo kwenye foleni ya kupata chanjo ya covid 19,toka kwa wazayuni!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hakuna anaetaka chanjo ya mzayuni acha propaganda nakuambia tenaKwa jinsi walivyo wanafiki watatumia.Kuna wengine huko Gaza wapo kwenye foleni ya kupata chanjo ya covid 19,toka kwa wazayuni!
Nchi nyingi zina tengeneza chanjo kwa hiyo si lazima wanunue Israel.Kuna wale wanaotamani taifa hili la Mungu lenye maarifa ya hali ya juu kufutika duniani je wanatatumia dawa hii iyotengenezwa na wana wa Sayuni?
Wao wenyewe hawaziami chajo zao na ndio maana wameagiza kutoka ulaya.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hakuna anaetaka chanjo ya mzayuni acha propaganda nakuambia tena
Hata kama ipo lakini hata wenyewe waliyo itengeneza hawaiamini na ndio maana wame agiza kutoka ulaya.Sasa unataka kubisha juu ya hii tiba ,kwamba haipo?
Hakuna chuki hapo.Hata kama una chuki na wayahudi ila inabidi ujifunze kusema ukweli,Ayotollah 🤣
Mvaa makobaz umekuja kivitavita naonaImefeli Astrazeneca ya Uengereza ije iwe hio, wazayuni kwa propaganda wanaongoza
Dogo rudi shuleni kwanzaHakuna chuki hapo.
Hebu nitajie chanjo hata moja ya Israel
ambayo imesha tumika hata ndani ya Israel kwenyewe.
Mbona nimeuliza swali rahisi sana ?Dogo rudi shuleni kwanza
Nimekuuliza swali ukalikimbia nimekwambia unitajie chanjo hata moja iliyo tengenezwa na Israel inayo tumika hata ndani ya Israel kwenyewe.Wakati Dunia inafurahia pale inapotokea chanjo/tiba ya Covid-19 inapopatikana,kuna mijitu inachukia ,kisa mvumbuzi ni adui wa imani yao.NONSENSE!
Kwahiyo hii itasaidia hata kwa mafua ya kawaida...!Israeli company 'SaNOtize' invented a life-saving nasal spray that protects and prevents viral infections.
Israel is at the forefront of finding medical solutions that are blessing humanity.
---
A nasal spray that will be marketed as capable of killing 99.9 percent of virus particles has started rolling off production lines in an Israeli factory.
The spray could have prevented much of the world’s COVID-19 infection, its inventor, Dr. Gilly Regev, told The Times of Israel.
“We are hoping that our nasal spray will now save many lives of people in countries that are waiting for the vaccine,” said Regev, an Israeli-raised biochemist who co-founded the company SaNOtize and developed the spray in Canada. “This will be affordable and can be used for prevention, to protect from any respiratory viral infection.”
She said that it has been shown to be effective in the lab against a wide range of viruses, and said that new variants of the coronavirus won’t interfere with its effectiveness, emphasizing: “It contains a broad spectrum antiviral which kills all viruses and all variants.”