Israel yatoa hofu kwa mataifa ya Kiarabu kwamba haitawagusa

Israel yatoa hofu kwa mataifa ya Kiarabu kwamba haitawagusa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Yatoa hakikisho kwa mataifa ya Kiarabu yawe na amani kwamba chochote inachokusudia kufanya haitawadhuru.

Dunia sasa hivi inatumia nguvu nyingi kuibembeleza Israel maana tatizo la Israel huwa na usiri mkubwa sana, wao hufanya mnaamka asubuhi na kukuta wamefanya, yaani hata Marekani huwaona kama watu very sneaky bastards...hehehe

Hata hivyo gemu kwa sasa hivi matokeo
Iran imepoteza majeneral 7
Israel imepoteza binti mmoja

===============

Israel has reportedly sent messages to Arab countries across the Middle East saying that it will not respond to Iran's drone and missile attack in a way that would endanger these countries or their governments, KAN reported early on Tuesday.

This comes amid rising questions of how and when Israel should respond to Iran's attacks early Sunday morning, with both Western and Middle Eastern partners cautioning Israel on its next steps.

Regional partners like Jordan supported Israel during the Iranian attack, with the Jordanian air force joining the US, UK, France, and other countries in downing Iranian drones and missiles flying toward Israel.

Jerusalem Post
 
Screenshot_20240414-143110.jpg
 
Siku za mwisho,ukiuliza wanapoteza nini kama wasipopigana hawana majibu,wanawashwa tu kupigana,yani mtu analianzisha tu then wanaanza kuchapana...
Maajabu sana
Siku hizi nchi nyingi sana zinatengeneza silaha zao wenyewe
Sio mda wa kuonyesha silaha zina nguvu kiasi gani
Yaani kupigana ni kududumiza uchumi wako tu
Hebu fokiria miezi yote wanapambana na hamas kiasi gani kimewatoka


Acha ninunue 3D printer na mimi nianze kutengeneza silaha zangu 😄
Kuna jamaa kutengeneza kibao akiwa kwake
 
Toka Jana serikali ya Iran inapeleka mifumo ya ulinzi ya kujilinda mjini Tehran kumbe na wao Wana iron Dome system
 
Ushabiki wa vita mbaya sana, kibaya hujui kiasi gani anaumia raia aliyepo eneo la tukio. Hata kama akifa mmoja ni hasara , waht if vita ipo katika nchi yako na ukaondoka wewe
Hata kwenye nchi yako kuna vita.Njaa,magonjwa na ujinga.Au umesahau?
 
Ushabiki wa vita mbaya sana, kibaya hujui kiasi gani anaumia raia aliyepo eneo la tukio. Hata kama akifa mmoja ni hasara , waht if vita ipo katika nchi yako na ukaondoka wewe
Wengi humu ni wapuuzi.
 
Back
Top Bottom