Israel yatoa hofu kwa mataifa ya Kiarabu kwamba haitawagusa

Taarifa zako za magumashi na unaendekeza hisia na chuki kuliko fact
 
Ayatollaah lazima tumwinamishe, viboko vikali sanaaa mbele ya camera dunia nzima ione mchana kweupeee, hapo atajua mwanaume ni nani, ataliaaa, na ndevu zote tunakata hadi kope na kichwa tunanyoa upara, dela tunamvua avae kaptula na kilemba tunamtoa alafu anapindwa viboko tu. Hatarudia ng’oooooo
 
Baade Iran akianza kunyukwa utasikia Free Iran
Wakati yeye ndio kalianzisha
Iran hajaanzisha kajibu kuuliwa kwa makamanda 7katika ubalozi wake nchi ni Syria
 
Sio binti ni mtoto wa kike ndiye aliyefariki
 
Kama walivyofanya kwa sadam hussein na muamar ghadaff
 
Dunia hii bado sijamuona wa kumkaripia,kumzuia au kumsumbua Israeli kwa manenomaneno.Wale watu ni viburi,wanajiamini na ni vichaa.
Waichokoze Tanzania, ndio watajuta, watajua kilicho mtoa kanga manyoya. Wamuulize Kagame, Nduli Iddi Amin Dada.
 
Israel bila ya US, UK na France ni Rwanda iliyo changamka.
 
Syo rahisi Kama unavyozani
 
Mlisema siku Iran ikiishambulia Israel ndiyo utakuwa mwisho wa utawala wa Ayatollah sasa wameshambuliwa mnaleta ngonjera!
 
Iran imepoteza majeneral 7
Israel imepoteza binti mmoja
Nchi za Magharibi haziwezi ku-afford tena vita nyingine. Iran alipiga mahesabu vizuri sana japo yale makombora hayakuleta madhara makubwa. Wanajua ikianza tena vita nyingine uchumi wa dunia utayumba sana. Na hata iwapo serikali ya Iran itaondolewa nchi itakuwa unstable kishenzi na yanaweza kuzaliwa makundi ya kigaidi na hali ikawa mbaya zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…