Israel yavamia nyumba ya mkuu wa HAMAS na kukamata familia yake

Alafu utamsikia mfuasi mmoja wa munyaazi anakwambia Israel inaogopa kuingia Gaza.
 
Nini maana ya ugaidi ?
Kwa msaada wa Chatgpt...

Ugaidi ni matumizi ya nguvu, vitisho, au vurugu kwa lengo la kusababisha hofu, uharibifu, au kusababisha madhara kwa watu, mali, au jamii kwa ujumla.

Inaweza kutekelezwa na makundi au watu binafsi kwa sababu mbalimbali, iwe ni kisiasa, kidini, au kwa madhumuni mengine ya kikundi husika.

Ugaidi ni shughuli haramu na inalaaniwa kimataifa.
 
Hiyo maana inafaa kwa nani zaidi kati ya Palestina na Israel
 
Hakuna aliyesema kuwa alichokifanya kilikuwa kizuri

Adolf Hitler aliuwa watu wengi sana hasa Waisrel kuliko jeshi lingine lolote mpaka leo duniani (Holocaust)

Nilitaka uone tofauti kati ya Mwanasiasa Dikteta na Gaidi
Acha propaganda zisizo na kichwa wala miguu eti aliwaua waisrael wengi
 
Tf Ona hili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndio ulivyoaminishwa maana ya ugaidi
lete maana yako
 
Tf Ona hili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndio ulivyoaminishwa maana ya ugaidi
Ugaidi ni hasa mfumo wa kulenga mabadiliko ya kisiasa kwa kutisha watu kwa njia ya vurugu au mauaji. Matendo ya kigaidi yanatisha kwa sababu watu wanajeruhiwa au kuuawa. Watendaji wa ugaidi kwa kawaida ni vikundi au watu wasio na cheo au nafasi rasmi.
 
Magaidi yote ni Waislam, lakini si Waislam wote ni Magaidi
Kwani waislamu wanatumia kitabu Muongozo Juu??
[emoji116][emoji116]
قَاتِلُوا الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَلَا بِالْيَوْمِ الْآخِرِ وَلَا يُحَرِّمُونَ مَا حَرَّمَ اللَّهُ وَرَسُولُهُ وَلَا يَدِينُونَ دِينَ الْحَقِّ مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ حَتَّىٰ يُعْطُوا الْجِزْيَةَ عَن يَدٍ وَهُمْ صَاغِرُونَ

[ AT-TAWBA - 29 ]
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.

Sahih Muslim 2167 a
Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:

Do not greet the Jews and the Christians before they greet you and when you meet any one of them on the roads force him to go to the narrowest part of it.
حَدَّثَنَا قُتَيْبَةُ بْنُ سَعِيدٍ، حَدَّثَنَا عَبْدُ الْعَزِيزِ، - يَعْنِي الدَّرَاوَرْدِيَّ - عَنْ سُهَيْلٍ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ لاَ تَبْدَءُوا الْيَهُودَ وَلاَ النَّصَارَى بِالسَّلاَمِ فَإِذَا لَقِيتُمْ أَحَدَهُمْ فِي طَرِيقٍ فَاضْطَرُّوهُ إِلَى أَضْيَقِهِ ‏"‏ ‏.‏
Reference : Sahih Muslim 2167a
In-book reference : Book 39, Hadith 16

لَّا يُؤَاخِذُكُمُ اللَّهُ بِاللَّغْوِ فِي أَيْمَانِكُمْ وَلَـٰكِن يُؤَاخِذُكُم بِمَا كَسَبَتْ قُلُوبُكُمْ ۗ وَاللَّهُ غَفُورٌ حَلِيمٌ

[ AL - BAQARA - 225 ]
Mwenyezi Mungu hakushikeni kwa viapo vyenu vya upuuzi. Bali anakushikeni kwa yanayo chuma nyoyo zenu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mpole.
[emoji116][emoji2533][emoji116][emoji2533]
Utumiaji wa hiyo aya! (TAQIYA = Udanganyifu)
[emoji116][emoji2533][emoji116][emoji2533]
Wakati Waislamu ni wachache kwa idadi ...
[emoji116][emoji2533][emoji116][emoji2533]
Sisi tunatoka katika Dini ya Amani.

Wakati Waislamu ni wengi ...
[emoji116][emoji2533][emoji116][emoji2533]
Uislamu unastahili hadhi maalum.

Waislamu wanapokuzidi...
[emoji116][emoji2533][emoji116][emoji2533]
UISLAMU AU VINGINEVYO...![emoji380][emoji380][emoji380][emoji378][emoji379][emoji1015][emoji1015]

Ni wakati wa kuamka.

.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…