Israel yavamia nyumba ya mkuu wa HAMAS na kukamata familia yake

Israel yavamia nyumba ya mkuu wa HAMAS na kukamata familia yake

Jinsi ambavyo muislamu harudi nyuma[emoji28]View attachment 2788747
Na ndio hapo siwezi kumu-support Mu-Israel kwa hii Apartheid anayowafanyia Palestinians kama vile ambavyo siku-support Kabulu Afrika Kusini...

Hawa jamaa wangekubali kupewa Uganda ambayo ni Kenya ya Leo wangejimwaya mwaya huenda wangefika mpaka Tanzania (ila ndio hivyo wana illusion kwamba hilo eneo ni la kwao (This has nothing to do na DINI its all about territory na huyu jamaa ni Mlafi....
 
Naruka sababu.aliyoyafanya Hitler ni makubwa lakini haitwi gaidi.sijui sababu sio muislam.
Ugaidi ni hasa mfumo wa kulenga mabadiliko ya kisiasa kwa kutisha watu kwa njia ya vurugu au mauaji. Matendo ya kigaidi yanatisha kwa sababu watu wanajeruhiwa au kuuawa. Watendaji wa ugaidi kwa kawaida ni vikundi au watu wasio na cheo au nafasi rasmi.
 
Kuna Clinton aliuwa wairaq ila hauwezi kuona wakiitwa magaidi.
Ugaidi ni hasa mfumo wa kulenga mabadiliko ya kisiasa kwa kutisha watu kwa njia ya vurugu au mauaji. Matendo ya kigaidi yanatisha kwa sababu watu wanajeruhiwa au kuuawa. Watendaji wa ugaidi kwa kawaida ni vikundi au watu wasio na cheo au nafasi rasmi.
 
Adolf Hitler hakuwa Gaidi, alikuwa Mwanajeshi na Mwanasiasa Mvamizi

Gaidi ni watu waoga, wanaovamia kwa kuvizia na kujificha

Mfano mzuri ni hawa HAMAS, Hizbollah, Al Shabaab, ISIS na wengine

Kamwe hawatangazi vita
Pole sana
 
Muislam akimua yahudi ktk hivi vita kwake furaha na yeye akiuliwa kwa sababu ya kulinda utukufu wa masjid Aqswa Anafurahi. Tofauti na nyinyi. Mkiua moto na mkifa moto

Tatizo mnauawa kama senene, mlikutana na chizi zaidi yenu, Myahudi sio wa kuchezewa, upuzi wenu huo mnaruhusiwa kuwafanyia Waafrika au wazungu wengine lakini sio Wayahudi, ukiingia kwenye mtandao wa Telegeram ndio utajua nini naongea kuhusu, yaani mapicha yako kule mwenyewe yalinishinda kuvumilia kuyatazama.
 
Haujajibu swali.adolph Hitler aliyeua watu alikuwa dini gani
Alikuwa Muislamu!
Hakuna neutral ground!;
Kufuata na KUYAISHI MAFUNDISHO ya YESU au muhammad.
Wakati Adolf Hitler alipokuwa kwenye ngome ya Berlin katika siku za vita vya pili vya dunia, moja ya majuto yake mengi yalihusu kushindwa kwake kuwahamasisha Waislamu wa ulimwengu “Fikiria tu kile ambWakati Adolf Hitler alipokuwa kwenye ngome ya Berlin katika siku za vita vya pili vya dunia, moja ya majuto yake mengi yalihusu kushindwa kwake kuwahamasisha Waislamu wa ulimwengu kwa lengo lake: “Fikiria tu kile ambacho tungeweza kufanya . . . kuwachochea,” alilalamika. Hitler aliona Unazi na Uislamu kama washirika wa asili. - wangeweza kushawishika kuinuka na kupigana jihadi dhidi ya watawala wao.acho tungeweza kufanya . . . kuwachochea,” alilalamika. Hitler aliona Unazi na Uislamu kama washirika wa asili. Ingawa aliwaona wengi wa watendaji wake kuwa duni ,alivutiwa na Uislamu kwa sifa zake za kijeshi
 
Yapaswa nawewe ukiri kutokujua kusoma na kuandika kama Mudy

Gaidi anaua watu wasio na hatia pasipo sheria wala kutangaza vita, na hata umoja wa mataifa haupati taarifa

Benjamin Netanyahu sio Gaidi kwasababu ametangaza vita rasmi na lengo ni kuvamia Magaidi wa HAMAS sio Raia wasio na hatia

View attachment 2788735

Wewe huna akili,nyie ndio bendera fata upepo,,mashoga zako wakifanya the same thing ni crime muislam terrorist, eti katangaza vita Mbona wanaua watoto na watu wasio na hatia si aende akawaue hao hamas sasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ww kwel mjinga , Hitler alizingua na hakuna aliyewai kusema alifanya kitu kizur , sasa nyiny mnaiga ujinga badal ya kuiga mambo mazur hlf mnataka kuhalalisha ujinga wenu kupitia hao wapuuz akina Hitler
Kuua wake wakristo.wakiua waislam magaidi
 
Muislam akiua kwake faraja akiuliwa kwake faraja ktk hivi vita. Ndio maana mzayuni licha ya kua na zana zote za kivita anaishi kwa Woga kwa sababu anaogopa kufa
Sasa mbona mnalia mzayuni akiwashughulikia wakati mkifa mnaenda moja kwa moja peponi kuzawadiwa mabikira 72 wenye macho kama vikombe pamoja na mito ya pombe.
 
Back
Top Bottom