Israel yavamia nyumba ya mkuu wa HAMAS na kukamata familia yake

Israel yavamia nyumba ya mkuu wa HAMAS na kukamata familia yake

[emoji23][emoji23][emoji23] ww ni mpumbav sana , wap kasema anawapenda , ujinga unakusumbua
Kumbe ni kweli "maneno huuumba"?

Mbona Jamaa anafanana kabisa na jina lake kwa mawazo anayoyawasilisha humu JF?
 
Ukiamua kusababisha wenzako wasiishi kwa amani, na wewe pia tegemea familia yako iishi kwa tabu....

Ramallah, Palestinian Territories:
Israeli troops on Saturday raided the West Bank home of a senior Hamas leader and detained members of his family, witnesses said.

Saleh al-Aruri is the deputy to Hamas' overall leader Ismail Haniyeh and one of the founders of the Islamist group's military wing.

Based in Lebanon, he is a key target for Israel following the October 7 attacks when Hamas group from Gaza entered southern Israel and killed at least 1,400 people, mostly civilians, and seized more than 200 hostages, according to Israeli officials.
Malipo ni hapa hapa duniani
 
Adolf Hitler hakuwa Gaidi, alikuwa Mwanajeshi na Mwanasiasa Mvamizi

Gaidi ni watu waoga, wanaovamia kwa kuvizia na kujificha

Mfano mzuri ni hawa HAMAS, Hizbollah, Al Shabaab, ISIS na wengine

Kamwe hawatangazi vita
Na wanao tumia vifaru mbona na wao wako ndani na walio kwenye ndege wako nje au ndani, akili Mali vita ni tack tik kama Hamasi angepewa silaha za bure kama anavyo pewa Israel hilo taifa la Israel mngenda litafuta limehamia wapi.

Kweli wenyezi Mungu alisha sema Waisrael ni Majinga hawezi kupigana ila wajifiche wapo Gaza wanaogopa kuwafata hao mnaosema wanajificha.

Singieni mkawatoe basi kwenye mashimo yao, mnawaogopea nini si mnakila aina salaha 😂
 
Na wanao tumia vifaru mbona na wao wako ndani na walio kwenye ndege wako nje au ndani, akili Mali vita ni tack tik kama Hamasi angepewa silaha za bure kama anavyo pewa Israel hilo taifa la Israel mngenda litafuta limehamia wapi.

Kweli wenyezi Mungu alisha sema Waisrael ni Majinga hawezi kupigana ila wajifiche wapo Gaza wanaogopa kuwafata hao mnaosema wanajificha.

Singieni mkawatoe basi kwenye mashimo yao, mnawaogopea nini si mnakila aina salaha [emoji23]
Umeandika nini? Singieni ndio nini? Wenyezi ndio nini?
 
Umeandika nini? Singieni ndio nini? Wenyezi ndio nini?
Singieni=ingieni Gaza

Mnaogopa kufa 😂

Mungu anawambia hao wanao jidai vipenzi vya Mungu kama kweli wao vipenzi vya Mungu, waombe kifo wanaogopa kwenda kwa Mungu 😂

62.6] Say: O you who are Jews, if you think that you are the favorites of Allah to the exclusion of other people, then invoke death If you are truthful.​
 
Na wanao tumia vifaru mbona na wao wako ndani na walio kwenye ndege wako nje au ndani, akili Mali vita ni tack tik kama Hamasi angepewa silaha za bure kama anavyo pewa Israel hilo taifa la Israel mngenda litafuta limehamia wapi.

Kweli wenyezi Mungu alisha sema Waisrael ni Majinga hawezi kupigana ila wajifiche wapo Gaza wanaogopa kuwafata hao mnaosema wanajificha.

Singieni mkawatoe basi kwenye mashimo yao, mnawaogopea nini si mnakila aina salaha [emoji23]
Jipige kifuani mara 3 mfululizo kisha jiambie mwenyewe kuwa "huna akili".

Hao Waisrael 1300 waliuwawa kwa masponchi au mawe pasipo msaada wa silaha za kivita kwa Hamas toka Iran?

Akili, akili, akili...[emoji124]
 
Sasa kama Hamas mbona mayahudi wanawaua mpaka kwa Mahmoud Abass. Hivi ni vita vya kidini dhidi ya Palestina waislam . Waislam wote duniani tunajua hivyo. Hizo zenu ni propaganda tu
Mayahaudi wamejeruhiwa sasa hivi wanapiga kote kote! Popote pale wanapokimbilia magaidi wanakula nao sahani moja. Iwe West Bank ama Gaza
 
Hapana, jua tofauti kati ya Gaidi na Mwanajeshi au Kiongozi wa jeshi rasmi

Kwa Mfano Dikteta Idd Amin hakuwa Gaidi.
Aisee unamuelimisha vizuri sana huyo mjinga kitukuu cha mjinga.
 
angekuwa muislam ungemuita gaidi?
Kuna viongozi wa nchi ambao ni waislamu wameongoza kwa mkono wa chuma kama Hitler ila hawakuadopt expansion policy ya Hitler.

Hivyo ni ngumu swali lako kupata ufananisho. Mfano Sadam Hussein aliongoza kwa mkono wa Chuma na hajawahi kuitwa gaidi, Turkmenbash wa Uturuki alikua muislam alikua katili kwa watu wake na kuwaua ila hakuwahi kuitwa gaidi.

Hitler ni warlord, sawa na Putin na Netanyahu na wenzake.
 
Back
Top Bottom