Israel yavuna ilichopanda, Raia wote watakiwa kusafisha mahandaki ili wakimbilie humo na Mawaziri wapewa simu za satelite

Kwa kuhofia kipigo cha Iran kinachokuja serikali ya Netanyahu imewaamuru watu wote kujiandaa kupokea kipigo kutoka Iran na kwamba wasafishe mahandaki yao tayari kuishi humo.

Wakati huo huo Mawaziri wote nao wamepewa simu za satelite ambazo hazitumii minara ya simu kwa kujua minara hiyo ni miongoni mwa shabaha zitakazopigwa vita vikianza.

Kwa lolote litakalotokea hatua hizo ni kusema Israel imekubali kuwa hali na kwao sasa si shwari tena na hiyo ni machumo ya kile walichokipanda kwa muda mrefu.

Hali hiyo haijawahi kufikiriwa kutokea kwenye taifa linalotajwa kuwa na teknolojia kubwa ya ulinzi na ambalo linalindwa na mataifa makubwa ya Ulaya na Marekani.
Hatari sana
 
Jamaa huwa muongo wewe!🤣🤣🤣🙏
 
Shabiki wasiojielewa hao unawajibu wa nini? Wanajua kinachoenda kutokea Middle East kishashiba kande lake huko anapayuka tu...dunia inaenda kuwa hatarini jitu linapayuka tu oooh Iran atafanya nini.....Jitu linashindwa kufikiri kwanini Putin katamka bila Vita kamili Mashariki ya kati Amani haitopatikana na kaanza kupeleka Silaha Iran bado jitu linashangilia kwamba Iran mchovu, uvumilivu una mŵsho kwa Iran, mwisho wa siku dunia inaenda kuharibiwa kwa upuuz wa maslahi ya wachache achana nao mkuu hao wajinga
Haya mambo sio ya kubeza kabisa, Western wawe waangalifu sana, wasidhani wao ndio alfa na omega.
 
Kwa kuhofia kipigo cha Iran kinachokuja serikali ya Netanyahu imewaamuru watu wote kujiandaa kupokea kipigo kutoka Iran na kwamba wasafishe mahandaki yao tayari kuishi humo.

Wakati huo huo Mawaziri wote nao wamepewa simu za satelite ambazo hazitumii minara ya simu kwa kujua minara hiyo ni miongoni mwa shabaha zitakazopigwa vita vikianza.

Kwa lolote litakalotokea hatua hizo ni kusema Israel imekubali kuwa hali na kwao sasa si shwari tena na hiyo ni machumo ya kile walichokipanda kwa muda mrefu.

Hali hiyo haijawahi kufikiriwa kutokea kwenye taifa linalotajwa kuwa na teknolojia kubwa ya ulinzi na ambalo linalindwa na mataifa makubwa ya Ulaya na Marekani.
Shida naona ni yako ndugu mwandishi.
-Islael ilipanda nini?
-kwanini usema Hali hiyo haijawahi kufikiria, wakati huo ukisema wanahimizana kusafisha mahandaki na si kujenga mahandaki mapya?.
 
Wao wameridhika na hali wewe unayeandika ukikonyeza demu Riverside hapo unaisikitikia IsrAel wakati wao wako kwenye kutimiza malengo
 
Kwa kuhofia kipigo cha Iran kinachokuja serikali ya Netanyahu imewaamuru watu wote kujiandaa kupokea kipigo kutoka Iran na kwamba wasafishe mahandaki yao tayari kuishi humo.

Wakati huo huo Mawaziri wote nao wamepewa simu za satelite ambazo hazitumii minara ya simu kwa kujua minara hiyo ni miongoni mwa shabaha zitakazopigwa vita vikianza.

Kwa lolote litakalotokea hatua hizo ni kusema Israel imekubali kuwa hali na kwao sasa si shwari tena na hiyo ni machumo ya kile walichokipanda kwa muda mrefu.

Hali hiyo haijawahi kufikiriwa kutokea kwenye taifa linalotajwa kuwa na teknolojia kubwa ya ulinzi na ambalo linalindwa na mataifa makubwa ya Ulaya na Marekani.
Kama hali hiyo haijawahi kufikiriwa, raia wangeliamuriwa kusafisha mahandaki?

Ukisikia kusafisha handaki uelewe hayo ni mahandaki ya kudumu.

Ingelikuwa ni jambo wasilolitegemea ungelisikia raia wameamuriwa wachimbe.

Hali hiyo wanaijua na hawaijali, ndiyo maana wanawachinja viongozi wa magaidi mikononi mwa wafadhili wao.
 
Niliwahi kuandika kuwa hii vita anatafutwa Saudi abia. Mazayuni na Wamarekani hawaiwachi hii vita mpaka Saudi Arabia iingizwe kwenye vita.

Sababu walizonazo za kutaka Saudi Arabia ijingie kwenye hii bita ni nzuri sana kwa upande wao:

Uliandika vitu usivyovijua, kwani Saud Arabia akijiunga BRICS nini kitakachobadilika?
 
Kwa kuhofia kipigo cha Iran kinachokuja serikali ya Netanyahu imewaamuru watu wote kujiandaa kupokea kipigo kutoka Iran na kwamba wasafishe mahandaki yao tayari kuishi humo.

Wakati huo huo Mawaziri wote nao wamepewa simu za satelite ambazo hazitumii minara ya simu kwa kujua minara hiyo ni miongoni mwa shabaha zitakazopigwa vita vikianza.

Kwa lolote litakalotokea hatua hizo ni kusema Israel imekubali kuwa hali na kwao sasa si shwari tena na hiyo ni machumo ya kile walichokipanda kwa muda mrefu.

Hali hiyo haijawahi kufikiriwa kutokea kwenye taifa linalotajwa kuwa na teknolojia kubwa ya ulinzi na ambalo linalindwa na mataifa makubwa ya Ulaya na Marekani.
Nchi nyingi zina mahandaki kwa ajili ya kujificha wakati wa vita, yalishajengwa siku na matumizi yake ndio hayo. Umejiuliza wananchi wa Iran watakimbilia wapi? au wataachwa wakaangwe kama vibua?
 
Angalau tungetoa tamko la kulaani mauwaji ya Ismail Haniye
Tuna wananchi wanapotea huku hatusemi chochote tukahangaike na waarabu huko, kwani tunahusika vipi na Haniya?. Huyu badala ya kukubaliana na Israel vita iishe, alikomaa huku akinywa tende akiamini haitamgusa kwa ukaribu.
 
Back
Top Bottom