Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
We kenge kweli hata bibilia zenu zinakataa Yesu sio Mungu afu we kondoo uliye potea undaia 1=3 inataka mtu mwenye kuielewa bibilia sio kenge kama wewe hahahaWewe uelewa wako kuhusiana na ukristo ni mdogo sana, hujafikia hata kiwango cha kubishana na watu wanaoujua ukristo. Wewe hangaika na huyo aliyewafanya ninyi kuwa marafiki wa shetani na majini. Aliyewaahidia mito ya pombe na wanawake.
Hakuna mahali Biblia au mafundisho ya ukristo yanaposema kuna Mungu watatu. Kwa hiyo unaposema wakristo wanasema kuna miungu watatu, ndipo unapoonekana kuwa hujui chochote. Wewe hangaika na mafundisho ya kwenda kuogelea kwenye mito ta pombe ukiondoka katika Ulimwengu huu.
Mafundisho ya Biblia na ukristo ni kuwa Mungu ni mmoja, na katika kutenda kazi hutenda katika nafsi 3: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, lakini nafsi pekee iliyofanywa mwanadamu na ikaishi na wanadamu, ni Yesu Kristo pekee. Nafsi ya Baba, katika dhihirisho iliwahi kusikika kwa sauti kutoka katika wingu, na katika moto; nafsi ya Roho Mtakatifu daima imedhihirika katika matendo ambayo mwanadamu hana uwezo wa kuyaelezea, kama vile kupitia maombi, na watu wakafufuka, wagonjwa wakapona, vilema wakapona, watu kupewa maono ya mambo yajayo, ni kwa nguvu ya Roho mtakatifu wanadamu walitoa unabii.
Wakristo siku zote wana Mungu mmoja tu. Jamii pekee inayotajwa kuwa na miungu wengi ni waarabu. Waarabu kabla ya Mud walikuwa na miungu 360. Na Allah alikuwa miongoni mwa hao 360. Baadaye kwa kupitia vita, Mud alipiga marufuku hao wengine wote, akambakiza Allah.
Waefeso 4:6 “Mungu mmoja, NAYE NI BABA WA WOTE, aliye juu ya yote na katika yote na ndani ya yote.”
Imethibitishwa Mungu mmoja tu ni BABA, wala sio Baba, Mwana na Roho Mtakatifu kama fundisho la utatu linavyodai.
1 Wakorintho 8:6 “Lakini kwetu sisi MUNGU NI MMOJA TU
Pia usisahau Yesu alisali mara nyingi kwa Mungu aliyemwita baba yake, na pia aliwafundisha wengine kufanya hivyo(Mathayo 6:9-11) pia ( Luka 11:1, 2) Katika sala aliyo sali pamoja na mitume wake muda mfupi tu kabla ya kifo chake, Yesu aliomba hivi: “Baba, saa imefika mtukuze mwana wako ili mwana wako apate kukutukuza wewe. Uzima wa milele ndio huu waendelee kupata ujuzi juu yako wewe Mungu wa pekee wa kweli na juu ya yule uliyemtuma Yesu Kristo(Yohana 17:1, 3)
Biblia iko wazi kwamba Mungu haonekani wala si mwanadamu, kwa maana hakuna mtu awezaye kuniona na kuishi (Kutoka 33:2)] Mungu si mwanadamu (Hesabu 23:19) Yesu kwa upande mwingine alikuwa mtu ambaye alionekana na maelfu ya watu Pia bibilia inamwita Yesu Nabii (Mathayo 21:10-11]) kwa hiyo Yesu angewezaje kuwa Mungu na kuwa Nabii wa Mungu kwa wakati mmoja unless uwe kichaa au kenge kama wewe ndioa utasema 1=3
Kuhusu Allah we u adhani ni nani? Ungemuliza Yesu kwanini alimuita Alaha or Elah we nani mpaa useme Allah sio Mungu.
Upagani ni huo kudai binadamu ni Mungu au kumfananisha Yesu ni Mungu au Holy Spirit ni Mungu.
Hivi Holy Spirit ni nani? Au Holy Ghost kama mnadai Holy Spirit yupo ndani Yenu kwanini Yesu alisema akiondoka ndio atamtuma vipi amtume na yupo ndani Yenu.
Ukristo ni uwongo mtupu kwa hiyo kwa nini ilimbidi Yesu aondoke ili aweze kumtuma Roho Mtakatifu wakati roho mtakatifu alikuwepo hapa kabla na hasa wakati wa Yesu? Si mnadai 1=3 Mungu baba, Mungu mtoto na Mungu roho mtakatifu hahaha
Yohana 16:7
7 Lakini kwa kweli ninawaambia ninyi, ni kwa faida yenu kwamba mimi niondoke. Nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; lakini nikienda, nitampeleka kwenu. Nani hapo anaongelewa akiondoka Yesu ndio atakuja
13 Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote. Hatasema peke yake; atanena tu kile anachosikia, na atawaambia yale ambayo bado yaja
ni Nani huyo?
kenge atabaki kuwa kenge tu.