Israel yawaomba msamaha Wakristo wote kwa kitendo cha askari wa IDF kuvunja sanamu ya Yesu msalabani

Israel yawaomba msamaha Wakristo wote kwa kitendo cha askari wa IDF kuvunja sanamu ya Yesu msalabani

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,840
Reaction score
18,115
Israel imeeleza kuwa kumekuwa na video inayozunguka Duniani ikimwonesha askari wa IDF akivunja msalaba wenye sanamu ya Yesu Kristo nchini Lebanon. Serikali ya Israel imeekeza kuwa kitendo hicho ni cha maudhi na kisichokubalika.

Msemaji wa Israel ameeleza kuwa Israel ni nchi inayoheshimu uhuru na haki za imani zote na hivyo kuheshimu alama za dini mbalimbali. Ameeleza kuwa IDF imeanzisha uchunguzi maalum wa tukio hilo, na kwamba wanawaomba msamaha wakristo wote walioumizwa na kitendo hicho.

Ikumbukwe kuwa Lebanon ndiyo nchi pekee kwa Mashariki ya kati yenye asilimia kubwa ya wakristo, na katiba yao ina mwongozo maalum mpaka kwenye mgawanyo wa madaraka, ambapo Rais ni lazima awe mkristo, na Waziri mkuu lazima awe muislam.

Katiba ya Israel, tofauti na mataifa mengine ya Mashariki ya kati, inatoa uhuru sawa kwa imani zote, japo kwenye uhalisia, kuna matukio yaliyowahi kuripotiwa juu ya kunyanyaswa kwa wakristo, lakini unyanyasaji huo haufanywi na serikali bali watu binafsi.

Israel ni nchi yenye imani kubwa 4 Uyahudi, Uislam, Ukristo na Druze. Dini ya uyahudi ni 75%, Uislam 18%, Ukristo 3%, Druze 2%. Ukristo, hasa wa madhehebu ya Orthodox ndio unaokua kwa kasi zaidi, kwa sasa ni 4%, na inatarajiwa kuwa ifikapo 2050, wakristo watafikia 16% ya population ya Israel. Ongezeko linasababishwa zaidi na wahamiaji wayahudi hasa kutoka Urusi. Wakristo wengi nchini Israel kwa sasa ni waarabu.

Israel’s Foreign Affairs Minister Gideon Sa’ar called the damaging of a Christian symbol by an Israel Defense Forces (IDF) soldier in southern Lebanon “grave and disgraceful” in a post to X Monday.

Sa’ar’s comments came after the IDF said it is investigating a photo shared on social media showing an Israeli soldier seemingly hitting the head of a Jesus Christ statue with a hammer or ax in the predominantly Christian village of Debel.
Msemaji wa Israel akiongea kuhusiana na kitendo cha askari wa IDF kuvunja alama ya ukristo nchini Lebanon, amesema;
“This shameful action is completely contrary to our values,” Sa’ar said.

“Israel is a country that respects the different religions and their sacred symbols, and upholds tolerance and respect among faiths. We apologize for this incident and to every Christian whose feelings were hurt
 
Sasa sanamu inavunjwa ila Kuna waisraeli wa kwa moalange wananuna hiyo sanamu inawahusu Nini? Israel vunjeni mtakavyo Hawa wakristo walio karirishwa waendelee kukwazika
 
Video na picha zimesambaa mtandaoni zkimuonyesha mwanajeshi wa Idf akivunja sanamu la Jesus christ na kuonyesha dhihaka.Aidha video hio imeleta mjadala mkubwa mtandaoni.

Huku waziri wa mambo ya nje wa Israel Gideon saar akilaani kitendo hicho cha utovu wa nidhamu wa mwanajeshi huyo wa Idf na ameomba radhi.

Screenshot_20260420_124043_Chrome.jpg
 
Wakolokole tulio vichwa maji tunaanzia wapi kuwatetea hawa jamaa?
Wazayuni wanamchukia sana Yesu kristo muokozi wetu, na wanauchukia sana ukristo lakini hawajioneshi kwa sasa kwa sababu wanahitaji misaada kutoka ulaya na Marekani. Wakristo huu ni wakati wa kuwapiga vita maadui hawa wa ubinaadamu ambao wanapenda kuua wanawake na watoto wasio na hatia
 
Mazayuni ni magaidi wakubwa duniani
 
Wazayuni wanamchukia sana Yesu kristo muokozi wetu, na wanauchukia sana ukristo lakini hawajioneshi kwa sasa kwa sababu wanahitaji misaada kutoka ulaya na Marekani. Wakristo huu ni wakati wa kuwapiga vita maadui hawa wa ubinaadamu ambao wanapenda kuua wanawake na watoto wasio na hatia
Huyo muokozi wenu wamekuwa wakimtemea mate miaka yote, mazayuni na ukiristo ni kusi na kaskazi tuliwaambia hapa, makanisa walipiga moto kwanza ndio wakaanza kuuwa wapelestina, dini yao inaitwa Judaysim wanasema yesu ni mtoto wa zinaa, lakini wakiristo wa humu jf hamuelew chochote kushabikia hawa mazayuni
 
Video na picha zimesambaa mtandaoni zkimuonyesha mwanajeshi wa Idf akivunja sanamu la Jesus christ na kuonyesha dhihaka.Aidha video hio imeleta mjadala mkubwa mtandaoni.

Huku waziri wa mambo ya nje wa Israel Gideon saar akilaani kitendo hicho cha utovu wa nidhamu wa mwanajeshi huyo wa Idf na ameomba radhi.

View attachment 3575890
Tuliwaambia mukadai hao ni wenzenu, dini yao ni Judaysim wanauchukia zaidi ukiristo kuliko dini yoyote
 
Video na picha zimesambaa mtandaoni zkimuonyesha mwanajeshi wa Idf akivunja sanamu la Jesus christ na kuonyesha dhihaka.Aidha video hio imeleta mjadala mkubwa mtandaoni.

Huku waziri wa mambo ya nje wa Israel Gideon saar akilaani kitendo hicho cha utovu wa nidhamu wa mwanajeshi huyo wa Idf na ameomba radhi.

View attachment 3575890

Bado yapo Makanisa utayaona yametundika Bendera ya Israel unajiuliza kwann Muisrael fake anatakiwa kuwafanyia nn ndio akili ziwakae sawa!!!!!!!

Mwafrika katawaliwa na langi nyeupe miaka na miaka lkn mpaka leo matendo yetu kiakili nikama tumefungwa Ubongo kufikiria!!!!!

tunaona kwa macho yetu matendo mabaya lkn bado tupo pale pale kushangilia kitu kushabikia kitu icho icho inatishaaa sana!!!

Bado Bendera zao zipo juu ya
Makanisa

Bado waumini wake watawaombea wanaofanya ayo matendo ya kumdhiaki Mfano wa Mungu wao

watu weusi ni wa binafsi sana.

Kwao vile wanayatumia majina ya Israel na YESU kama chumo lao kuu!!

ayo mengine kwao sio muhimu💀💀💀💀💀💀💀💀
 
Kondo wengi tunajiita wana Israel na tunaliona kua taifa teule la umuungu na tuna peperusha bendera za Israel katika majumba yetu kwenye magari na maofisini kwetu, sasa inakua je ku dhalilisha na kuvunja miguu na mikona ya Mungu wetu, mimi binafsi hiki kitendo na kikemea na kukilaani sana.
Screenshot_20260420_161803_Facebook.jpg

===
April 20 (Reuters) - Israel's Prime Minister Benjamin Netanyahu, foreign minister and military on Monday condemned the desecration of a crucifix smashed by an Israeli soldier in a southern Lebanese village home to Christians.

A photo that emerged online over the ‌weekend shows a soldier taking the blunt side of an axe to a fallen sculpture of Jesus on the cross. It was posted by Younis Tirawi, who describes himself as a Palestinian reporter and has also posted images of Israeli soldiers' apparent misconduct in Gaza.

Reuters verified the location of the image as Debel, one of the few villages in southern Lebanon where residents remained through an Israeli military campaign against the Iranian-backed ⁠Hezbollah militia that began on March 2 after the group fired rockets at Israel in support of Iran. The cross was part of a small shrine in the garden of a family living on the edge of the village, said Fadi Falfel, a priest in Debel.

Reuters
 
Kwani si kila siku walokole na wakristu uchwala mnajifanya kujiita taifa la Israel na mnawatetea wa Israel?

Mara ngapi tunawaambia Israel hawana time na nyinyi mnajipendekeza tu?

Israel ni mayahudi mnajilazimisha kudhani eti nao ni wakristu
 
Back
Top Bottom