Israel yawaomba msamaha Wakristo wote kwa kitendo cha askari wa IDF kuvunja sanamu ya Yesu msalabani

Israel yawaomba msamaha Wakristo wote kwa kitendo cha askari wa IDF kuvunja sanamu ya Yesu msalabani

Huyo muokozi wenu wamekuwa wakimtemea mate miaka yote, mazayuni na ukiristo ni kusi na kaskazi tuliwaambia hapa, makanisa walipiga moto kwanza ndio wakaanza kuuwa wapelestina, dini yao inaitwa Judaysim wanasema yesu ni mtoto wa zinaa, lakini wakiristo wa humu jf hamuelew chochote kushabikia hawa mazayuni
Kweli kabisa, wakristo wote waache kujipendekeza kwa mazayuni
 
Video na picha zimesambaa mtandaoni zkimuonyesha mwanajeshi wa Idf akivunja sanamu la Jesus christ na kuonyesha dhihaka.Aidha video hio imeleta mjadala mkubwa mtandaoni.

Huku waziri wa mambo ya nje wa Israel Gideon saar akilaani kitendo hicho cha utovu wa nidhamu wa mwanajeshi huyo wa Idf na ameomba radhi.

View attachment 3575890
Mungu wetu anaonewa sana na hawa mazayuni
 
Mitandao na janja janja za dini havijawahi kukaa pamoja na kuelewana 🤣🤣
 
Wazayuni wanamchukia sana Yesu kristo muokozi wetu, na wanauchukia sana ukristo lakini hawajioneshi kwa sasa kwa sababu wanahitaji misaada kutoka ulaya na Marekani. Wakristo huu ni wakati wa kuwapiga vita maadui hawa wa ubinaadamu ambao wanapenda kuua wanawake na watoto wasio na hatia

Hawa ndiyo adui namba moja ya ukristo. Kwa maana walimkana na kumuua Yesu ambaye ndiye njia kweli na uzima.
 
Huyo muokozi wenu wamekuwa wakimtemea mate miaka yote, mazayuni na ukiristo ni kusi na kaskazi tuliwaambia hapa, makanisa walipiga moto kwanza ndio wakaanza kuuwa wapelestina, dini yao inaitwa Judaysim wanasema yesu ni mtoto wa zinaa, lakini wakiristo wa humu jf hamuelew chochote kushabikia hawa mazayuni

Makristo yasiyojielewa yanaamini majahudi ndiyo taifa teule. Duu kazi ipo. Hawajui mijamaa hiyo ndiyo iliyofanya njama na kumuua Yesu Kristo ambaye yeye ndiye njia, kweli na uzima
 
wakristo hawana chuki na wayahudi na hawatawachukia, kasome vema biblia ni kwa nini wakristo hawana chuki na wayahudi

Wakristo hawana chuki na watu wote, si majahudi pekee. Licha ya kuwa walimuua Yesu ambaye ndiye njia kweli na uzima
 
Acha uwongo,wayahudi hawana mpango na wakristo kama unabisha nenda Israel kisha ukaseme hadharani kuwa Yesu aliteswa msalabani pia aliuwawa na wayahudi
Mkuu umeielewa point yangu lakini? Namaanisha ule uungwaji mkono wanaopewa kwa kigezo cha Taifa teule na wafuasi wa Kristo ambao unawapa kiburi (Free israel n.k) ungetiwa dosari na kupelekea mashabiki wao lialia kuwaona hawamjali mungu wao. Hili lingesababisha support na kelele kupungua kwasababu ukweli uko wazi kwamba israel iko pale kwasababu za kidini na sio kijamii. Wahuni wamemtumia Mungu kujinufaisha na kujilimbikizia mali huku wakitusihi sisi masikini (Afrika) tuhakikish tuaurithi ufalme wa mbinguni.
 
wakristo hawana chuki na wayahudi na hawatawachukia, kasome vema biblia ni kwa nini wakristo hawana chuki na wayahudi
Tusome wapi? Wewe uliyesoma ni wajibu wakutupa mwongozo yakinifu ukiambatanisha na ushahidi wa maandiko ni simple sana mkuu.
 
Video na picha zimesambaa mtandaoni zkimuonyesha mwanajeshi wa Idf akivunja sanamu la Jesus christ na kuonyesha dhihaka.Aidha video hio imeleta mjadala mkubwa mtandaoni.

Huku waziri wa mambo ya nje wa Israel Gideon saar akilaani kitendo hicho cha utovu wa nidhamu wa mwanajeshi huyo wa Idf na ameomba radhi.

View attachment 3575890
Wanaomba samahani vipi na wao tokea zamani hawamheshimu Yesu si wao ndio walio mtundika msalabani Yesu

Wakristo ni wajinga sana mbele ya wayahudi ndio sababu mpaa taifa lililo tengenezwa na Muingereza wao wanaliita taifa teule sababu ya hao wayahudi.
 
Back
Top Bottom