Ni maombi yangu masanamu yote ya Yesu yavunjwe.Kondo wengi tunajiita wana Israel na tunaliona kua taifa teule la umuungu na tuna peperusha bendera za Israel katika majumba yetu kwenye magari na maofisini kwetu, sasa inakua je ku dhalilisha na kuvunja miguu na mikona ya Mungu wetu, mimi binafsi hiki kitendo na kikemea na kukilaani sana.View attachment 3575972
Yupo sahihi anawaonyesha jinsi gani hawataki shobo za wakristo toka TandahimbaKondo wengi tunajiita wana Israel na tunaliona kua taifa teule la umuungu na tuna peperusha bendera za Israel katika majumba yetu kwenye magari na maofisini kwetu, sasa inakua je ku dhalilisha na kuvunja miguu na mikona ya Mungu wetu, mimi binafsi hiki kitendo na kikemea na kukilaani sana.View attachment 3575972
Haikubaliki vipi wakati Wagalatia Aslimia 90 ni mateka wa Israel wapo radhi hata Netenyahu hawambie kuleni kinyesi changu wanakula😂Kondo wengi tunajiita wana Israel na tunaliona kua taifa teule la umuungu na tuna peperusha bendera za Israel katika majumba yetu kwenye magari na maofisini kwetu, sasa inakua je ku dhalilisha na kuvunja miguu na mikona ya Mungu wetu, mimi binafsi hiki kitendo na kikemea na kukilaani sana.View attachment 3575972
wakristo hawana chuki na wayahudi na hawatawachukia, kasome vema biblia ni kwa nini wakristo hawana chuki na wayahudiKwani si kila siku walokole na wakristu uchwala mnajifanya kujiita taifa la Israel na mnawatetea wa Israel?
Mara ngapi tunawaambia Israel hawana time na nyinyi mnajipendekeza tu?
Israel ni mayahudi mnajilazimisha kudhani eti nao ni wakristu
Ishu sio chuki na wakristu tunafundishwa kutokuwa na chuki na mtu yoyote yule sio Wayahudi tu!wakristo hawana chuki na wayahudi na hawatawachukia, kasome vema biblia ni kwa nini wakristo hawana chuki na wayahudi
Yupo sahihi hata Yesu mwenyewe angekuwepo angelivunja hilo sanamu ni upumbavu wa madhehebuni siyo INJILI HALISIIsrael imeeleza kuwa kumekuwa na video inayozunguka Duniani ikimwonesha askari wa IDF akivunja msalaba wenye sanamu ya Yesu Kristo nchini Lebanon. Serikali ya Israel imeekeza kuwa kitendo hicho ni cha maudhi na kisichokubalika.
Msemaji wa Israel ameeleza kuwa Israel ni nchi inayoheshimu uhuru na haki za imani zote na hivyo kuheshimu alama za dini mbalimbali. Ameeleza kuwa IDF imeanzisha uchunguzi maalum wa tukio hilo, na kwamba wanawaomba msamaha wakristo wote walioumizwa na kitendo hicho.
Ikumbukwe kuwa Lebanon ndiyo nchi pekee kwa Mashariki ya kati yenye asilimia kubwa ya wakristo, na katiba yao ina mwongozo maalum mpaka kwenye mgawanyo wa madaraka, ambapo Rais ni lazima awe mkristo, na Waziri mkuu lazima awe muislam.
Katiba ya Israel, tofauti na mataifa mengine ya Mashariki ya kati, inatoa uhuru sawa kwa imani zote, japo kwenye uhalisia, kuna matukio yaliyowahi kuripotiwa juu ya kunyanyaswa kwa wakristo, lakini unyanyasaji huo haufanywi na serikali bali watu binafsi.
Israel ni nchi yenye imani kubwa 4 Uyahudi, Uislam, Ukristo na Druze. Dini ya uyahudi ni 75%, Uislam 18%, Ukristo 3%, Druze 2%. Ukristo, hasa wa madhehebu ya Orthodox ndio unaokua kwa kasi zaidi, kwa sasa ni 4%, na inatarajiwa kuwa ifikapo 2050, wakristo watafikia 16% ya population ya Israel. Ongezeko linasababishwa zaidi na wahamiaji wayahudi hasa kutoka Urusi. Wakristo wengi nchini Israel kwa sasa ni waarabu.
Israel’s Foreign Affairs Minister Gideon Sa’ar called the damaging of a Christian symbol by an Israel Defense Forces (IDF) soldier in southern Lebanon “grave and disgraceful” in a post to X Monday.
Sa’ar’s comments came after the IDF said it is investigating a photo shared on social media showing an Israeli soldier seemingly hitting the head of a Jesus Christ statue with a hammer or ax in the predominantly Christian village of Debel.
Msemaji wa Israel akiongea kuhusiana na kitendo cha askari wa IDF kuvunja alama ya ukristo nchini Lebanon, amesema;
“This shameful action is completely contrary to our values,” Sa’ar said.
“Israel is a country that respects the different religions and their sacred symbols, and upholds tolerance and respect among faiths. We apologize for this incident and to every Christian whose feelings were hurt
Wewe nawe tafuta wa kujipendekeza kwake mkuu.Ishu sio chuki na wakristu tunafundishwa kutokuwa na chuki na mtu yoyote yule sio Wayahudi tu!
Ishu ni kwa wakristu uchwara kujipendekeza kwa Waisraeli hadi kupoteza thamani ya Ukristo wenu!
Mkuu! Mbona kama una mambo ya kindezi?Haikubaliki vipi wakati Wagalatia Aslimia 90 ni mateka wa Israel wapo radhi hata Netenyahu hawambie kuleni kinyesi changu wanakula😂
Hahaha punguani huyu hajui akae upande gani kwa Yesu au kwa Israel😂Mkuu! Mbona kama una mambo ya kindezi?
Nitakaa kwa kobazi.Hahaha punguani huyu hajui akae upande gani kwa Yesu au kwa Israel😂
Sema Wakristo wa Africa na West, kamwambie maneno hayo Mkristo yoyote Mwarabu Hapo Lebanon, mwambie maneno hayo Mkristo wa Ulaya Kusini hasa Armenia, Ugiriki etc. Wakristo wengi ambao hawasujudii madhehebu ya west Kama Nyie wanajua udhalimu wa Israel na namna inavyosuport genocide mbalimbali Duniani.wakristo hawana chuki na wayahudi na hawatawachukia, kasome vema biblia ni kwa nini wakristo hawana chuki na wayahudi
😂Sisi wakokole wa buza kwa mpalange tumewasamehe taifa teule itakuwa walipitiwa na mapepo
View attachment 3576135