Israel imeeleza kuwa kumekuwa na video inayozunguka Duniani ikimwonesha askari wa IDF akivunja msalaba wenye sanamu ya Yesu Kristo nchini Lebanon. Serikali ya Israel imeekeza kuwa kitendo hicho ni cha maudhi na kisichokubalika.
Msemaji wa Israel ameeleza kuwa Israel ni nchi inayoheshimu uhuru na haki za imani zote na hivyo kuheshimu alama za dini mbalimbali. Ameeleza kuwa IDF imeanzisha uchunguzi maalum wa tukio hilo, na kwamba wanawaomba msamaha wakristo wote walioumizwa na kitendo hicho.
Ikumbukwe kuwa Lebanon ndiyo nchi pekee kwa Mashariki ya kati yenye asilimia kubwa ya wakristo, na katiba yao ina mwongozo maalum mpaka kwenye mgawanyo wa madaraka, ambapo Rais ni lazima awe mkristo, na Waziri mkuu lazima awe muislam.
Katiba ya Israel, tofauti na mataifa mengine ya Mashariki ya kati, inatoa uhuru sawa kwa imani zote, japo kwenye uhalisia, kuna matukio yaliyowahi kuripotiwa juu ya kunyanyaswa kwa wakristo, lakini unyanyasaji huo haufanywi na serikali bali watu binafsi.
Israel ni nchi yenye imani kubwa 4 Uyahudi, Uislam, Ukristo na Druze. Dini ya uyahudi ni 75%, Uislam 18%, Ukristo 3%, Druze 2%. Ukristo, hasa wa madhehebu ya Orthodox ndio unaokua kwa kasi zaidi, kwa sasa ni 4%, na inatarajiwa kuwa ifikapo 2050, wakristo watafikia 16% ya population ya Israel. Ongezeko linasababishwa zaidi na wahamiaji wayahudi hasa kutoka Urusi. Wakristo wengi nchini Israel kwa sasa ni waarabu.
Israel’s Foreign Affairs Minister Gideon Sa’ar called the
damaging of a Christian symbol by an Israel Defense Forces (IDF) soldier in southern Lebanon “grave and disgraceful” in a
post to X Monday.
Sa’ar’s comments came after the IDF said it is investigating a photo shared on social media showing an Israeli soldier seemingly hitting the head of a Jesus Christ statue with a hammer or ax in the predominantly Christian village of Debel.
Msemaji wa Israel akiongea kuhusiana na kitendo cha askari wa IDF kuvunja alama ya ukristo nchini Lebanon, amesema;
“This shameful action is completely contrary to our values,” Sa’ar said.
“Israel is a country that respects the different religions and their sacred symbols, and upholds tolerance and respect among faiths. We apologize for this incident and to every Christian whose feelings were hurt