Israel yawaomba msamaha Wakristo wote kwa kitendo cha askari wa IDF kuvunja sanamu ya Yesu msalabani

Israel imeeleza kuwa kumekuwa na video inayozunguka Duniani ikimwonesha askari wa IDF akivunja msalaba wenye sanamu ya Yesu Kristo nchini Lebanon. Serikali ya Israel imeekeza kuwa kitendo hicho ni cha maudhi na kisichokubalika.

Msemaji wa Israel ameeleza kuwa Israel ni nchi inayoheshimu uhuru na haki za imani zote na hivyo kuheshimu alama za dini mbalimbali. Ameeleza kuwa IDF imeanzisha uchunguzi maalum wa tukio hilo, na kwamba wanawaomba msamaha wakristo wote walioumizwa na kitendo hicho.

Ikumbukwe kuwa Lebanon ndiyo nchi pekee kwa Mashariki ya kati yenye asilimia kubwa ya wakristo, na katiba yao ina mwongozo maalum mpaka kwenye mgawanyo wa madaraka, ambapo Rais ni lazima awe mkristo, na Waziri mkuu lazima awe muislam.

Katiba ya Israel, tofauti na mataifa mengine ya Mashariki ya kati, inatoa uhuru sawa kwa imani zote, japo kwenye uhalisia, kuna matukio yaliyowahi kuripotiwa juu ya kunyanyaswa kwa wakristo, lakini unyanyasaji huo haufanywi na serikali bali watu binafsi.

Israel ni nchi yenye imani kubwa 4 Uyahudi, Uislam, Ukristo na Druze. Dini ya uyahudi ni 75%, Uislam 18%, Ukristo 3%, Druze 2%. Ukristo, hasa wa madhehebu ya Orthodox ndio unaokua kwa kasi zaidi, kwa sasa ni 4%, na inatarajiwa kuwa ifikapo 2050, wakristo watafikia 16% ya population ya Israel. Ongezeko linasababishwa zaidi na wahamiaji wayahudi hasa kutoka Urusi. Wakristo wengi nchini Israel kwa sasa ni waarabu.

Israel’s Foreign Affairs Minister Gideon Sa’ar called the damaging of a Christian symbol by an Israel Defense Forces (IDF) soldier in southern Lebanon “grave and disgraceful” in a post to X Monday.

Sa’ar’s comments came after the IDF said it is investigating a photo shared on social media showing an Israeli soldier seemingly hitting the head of a Jesus Christ statue with a hammer or ax in the predominantly Christian village of Debel.
Msemaji wa Israel akiongea kuhusiana na kitendo cha askari wa IDF kuvunja alama ya ukristo nchini Lebanon, amesema;
“This shameful action is completely contrary to our values,” Sa’ar said.

“Israel is a country that respects the different religions and their sacred symbols, and upholds tolerance and respect among faiths. We apologize for this incident and to every Christian whose feelings were hurt

Baada ya kumvutisha Ganja Bikira Maria ndio wanakumbuka shuka asubuhi!!!!
Mijitu yenye kupendelea Usodoma lini yakawa na akili na kuwaeshimu wengine na Imani zao¿¿¿¿
 
Wewe ni mfuga midevu na majini hilo sanamu wewe linakuhusu nini mbwa wewe?
 
Akili za Wafuga Midevu na Majini wanazijua wao wenyewe wanatumika vizuri sana na shetani kueneza chuki dhidi ya Wayahudi kitu ambacho hata siku moja hawatafanikiwa maana uhusiano wa Wayahudi na Wakristo umejengwa kwa Damu ni ngumu sana kuvunjwa na maneno ya shobo za Waarabu-koko!!!
Wewe mpumbavu hao wayahudi pia wanafuga ndevu,
 
Israel imeeleza kuwa kumekuwa na video inayozunguka Duniani ikimwonesha askari wa IDF akivunja msalaba wenye sanamu ya Yesu Kristo nchini Lebanon. Serikali ya Israel imeekeza kuwa kitendo hicho ni cha maudhi na kisichokubalika.

Msemaji wa Israel ameeleza kuwa Israel ni nchi inayoheshimu uhuru na haki za imani zote na hivyo kuheshimu alama za dini mbalimbali. Ameeleza kuwa IDF imeanzisha uchunguzi maalum wa tukio hilo, na kwamba wanawaomba msamaha wakristo wote walioumizwa na kitendo hicho.

Ikumbukwe kuwa Lebanon ndiyo nchi pekee kwa Mashariki ya kati yenye asilimia kubwa ya wakristo, na katiba yao ina mwongozo maalum mpaka kwenye mgawanyo wa madaraka, ambapo Rais ni lazima awe mkristo, na Waziri mkuu lazima awe muislam.

Katiba ya Israel, tofauti na mataifa mengine ya Mashariki ya kati, inatoa uhuru sawa kwa imani zote, japo kwenye uhalisia, kuna matukio yaliyowahi kuripotiwa juu ya kunyanyaswa kwa wakristo, lakini unyanyasaji huo haufanywi na serikali bali watu binafsi.

Israel ni nchi yenye imani kubwa 4 Uyahudi, Uislam, Ukristo na Druze. Dini ya uyahudi ni 75%, Uislam 18%, Ukristo 3%, Druze 2%. Ukristo, hasa wa madhehebu ya Orthodox ndio unaokua kwa kasi zaidi, kwa sasa ni 4%, na inatarajiwa kuwa ifikapo 2050, wakristo watafikia 16% ya population ya Israel. Ongezeko linasababishwa zaidi na wahamiaji wayahudi hasa kutoka Urusi. Wakristo wengi nchini Israel kwa sasa ni waarabu.

Israel’s Foreign Affairs Minister Gideon Sa’ar called the damaging of a Christian symbol by an Israel Defense Forces (IDF) soldier in southern Lebanon “grave and disgraceful” in a post to X Monday.

Sa’ar’s comments came after the IDF said it is investigating a photo shared on social media showing an Israeli soldier seemingly hitting the head of a Jesus Christ statue with a hammer or ax in the predominantly Christian village of Debel.
Msemaji wa Israel akiongea kuhusiana na kitendo cha askari wa IDF kuvunja alama ya ukristo nchini Lebanon, amesema;
“This shameful action is completely contrary to our values,” Sa’ar said.

“Israel is a country that respects the different religions and their sacred symbols, and upholds tolerance and respect among faiths. We apologize for this incident and to every Christian whose feelings were hurt
Na ume4idhia wewe Mkristo! Halafu kama hujui mambo afadhali unyamaze. Lebanon kuwa na mpango huyo wa kidini katika uongozi uliwekwa na UN na wala sio Waislamu wenye siasa Kali kama unavyofikiria. Infact, Waislamu ndiyo wengu Lebanon na hata hivyo wamekubali rais awe Mkristo.
Halafu hujui uwog

Ndugu yangu, kama hujui context nyamaza kimya. Mfumo wa udini wa uongozi Lebanon uliwekwa na UN na wala si Waislamu wenye siasa Kali, kama unavyoelekea kufikiria. Infact, Waislamu, ambao ndio wengi Lebanon tangu miaka ya 70, ni wa kusifiwa kwa kukubali rais awe Mkristo wa madhehebu ya Maronite; moja ya madhehebu baguzi zaidi yenye asili ya Ufaransa.
Kukubali kwako kuomba radhi kwa Israel, ambako ndiyo ulikotaka kutueleza, kuonesha ustaarabu wao, ni dalili kuwa hujui Uzayuni wewe. Wayahudi ya Kizayuni kila siku huwatemea mate Wakristo wanatangaza dini Israel, huvunja makanisa- makanisa yote Gaza wameyavunja! Wao huamini bwana Yesu Kristo ni Masiya wa feki, na kwamba hivi sasa makazi yake ni ndani ya chungu kikubwa kilicho juu ya moto kilichojaa kinyesi kinachochemka!
Soma, acha Imani za kimajaka!
 
Ni sawa tu walivyovunja. Ibada za sanamu ni Haramu. Ni chukizo kwa Mungu

Loh! Kumbe hata wewe huelewi maana ya ibada ya sanamu!! Nawe ni miongoni mwa wanaosoma biblia kama kitabu cha riwaya?

Jipe muda wa kutosha kuisoma Biblia, halafu kwa kila verse tafuta mazingira ya tukio na mazingira ya wakati ili uelewe kilichokusudiwa.

Dokezo:
1. Unatakiwa ufahamu miungu ambayo wayahudi na mataifa jirani walikuwa wanaiabudu.
2. Mbingu kwa kadiri ya uelewa wa kale ilikuwa ni nini?
3. Wakati huo kulikuwa na miungu gani wanadamu waliitengeneza iliyofanana na vitu vilivyokuwa kwenye nchi, angani (mbingu ya kale) na katika nchi.
4. Maana ya ibada ya sanamu kwa kadiri ya ufafanuzi wa mitume.
5. Maana ya kuabudu
6. Nani alitengeneza sanduku la Agano
Halafu jiulize:
1. Je, waisrael walipolisujudia sanduku la Agano walikuwa wanaabudu sanamu?

Wewe siyo wa kwanza kuwa na tafsiri potofu juu ya ibada ya sanamu, ndiyo maana mitume walilazimika kuwaeleza wazi waumini maana halisi ya ibada ya sanamu. Biyo tafsiri uisome kwa umakini, nawe itakusaidia sana.
 
Na ume4idhia wewe Mkristo! Halafu kama hujui mambo afadhali unyamaze. Lebanon kuwa na mpango huyo wa kidini katika uongozi uliwekwa na UN na wala sio Waislamu wenye siasa Kali kama unavyofikiria. Infact, Waislamu ndiyo wengu Lebanon na hata hivyo wamekubali rais awe Mkristo.
Halafu hujui uwog

Ndugu yangu, kama hujui context nyamaza kimya. Mfumo wa udini wa uongozi Lebanon uliwekwa na UN na wala si Waislamu wenye siasa Kali, kama unavyoelekea kufikiria. Infact, Waislamu, ambao ndio wengi Lebanon tangu miaka ya 70, ni wa kusifiwa kwa kukubali rais awe Mkristo wa madhehebu ya Maronite; moja ya madhehebu baguzi zaidi yenye asili ya Ufaransa.
Kukubali kwako kuomba radhi kwa Israel, ambako ndiyo ulikotaka kutueleza, kuonesha ustaarabu wao, ni dalili kuwa hujui Uzayuni wewe. Wayahudi ya Kizayuni kila siku huwatemea mate Wakristo wanatangaza dini Israel, huvunja makanisa- makanisa yote Gaza wameyavunja! Wao huamini bwana Yesu Kristo ni Masiya wa feki, na kwamba hivi sasa makazi yake ni ndani ya chungu kikubwa kilicho juu ya moto kilichojaa kinyesi kinachochemka!
Soma, acha Imani za kimajaka!
Akili zako hazina Akili bora ungekaa kimya kuficha ujinga na upumbavu ulionao!!!

Ulioandika hapo ni UHARO mtupu hakuna la ukweli hata moja na umekaririshwa na wafuga midevu na majini wa BONYOKWA kuwa huko Israel kila siku wakristo wanatemewa mate!!!

Ujinga na upumbavu huu mtauacha lini? Acheni ujinga!!
 
Wewe ni punguani wa roho na akili, hakuna unachokijua kuhusu Biblia Takatifu. Biblia haisomwi kama kitabu cha hadithi. Ufahamu kuna maandiko yanayoelekeza kutokana na tukio specific, na yapo yale ambayo ni universal.
Mliokosa uelewa, mnabakia kunukuu vitu ambavyo hamwelewi hata maana yake. Hata kama huelewi maana ya hilo andiko, ungekuwa ni mtu unayeishughulisha akili yako, ungejiuliza, mitume waliishi na Kristo mwenyewe, walipokea maagizo toka kwake, na kama ujumbe wa Kristo ulikiwa ni kwaajili ya nyumba ya Israel pekee, kwa nini walienda kueneza ujumbe wa Kristo Duniani kote? Ujumbe universal wa Kristo ulikuwa: "

Matayo 28:19​

​

;Kwa hiyo nendeni mkawafanye watu wa mataifa yote kuwa wanafunzi wangu: mkiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu.​

ndiyo maana unawaona mitume wakitawanyika Duniani kote. Ungekuwa na akili ya logical thinking, hata kama hujui mazingira ya ule ujumbe wa nyumba ya Israel, ungejiuliza kama huko kote walikoenda mitume kulikuwa ni nyumba ya Israel. Jibu lake lingekusaidia kutambua kuwa umesoma bila ya kuelewa. Mitume walisambaa Duniani kote kueneza ujumbe wa Kristo:
Yohana - Uturuki
Petro-Roma
Thomaso - India
James - Hispania
Mathayo - Ethiopia
Simon - Misri
Yuda Thadei - Iraq
Filipo - Asia ndogo
Batlomayo - Armenia
Andrea - Ugiriki
Tatizo lako wewe kenge hujui kati ya kutumwa na kutangaza ujumbe wa Mungu hahaha Yesu alitumwa kuwa ni Mtume kwa Wana wa Israel tu na kuithibitisha Taurati na kurekebisha njia yao sababu walipotea ndio akawambia nimetumwa kwa kondoo walio potea wa wana waisrael tu.

Kuhusu kutangaza injili kwani injili au Gospel ni ya Yesu au ni kitabu cha Mungu hahaha kenge atabaki kuwa kenge zingatia ujumbe wa msingi wanafunzi walieneza ujumbe wa imani ya Mungu mmoja tu na Yesu ni mtumishi au mjumbe wake hawakudai Yesu ni Mungu au mtoto wa Mungu aliye leta ujinga huo ni Paulo.
 
Unajidai unajua kuchamba kuliko waarabu?
 
Huyo mwanajeshi mbinguni moja kwa moja!Mungu sio sanamu"usijifanyie sanamu ua kuchonga ukaibudu"
 
Muhimu kujaji vitendo vyao vinaonesha chuki dhidi ya Ukristo

Sanamu limewakosea nn kama sio Chuki kubwa kwenye mioyo yao

yule kapiga kichwani na Sululu Sanamu la YESU !!!!

uyu mwengine kaona amvutishe Bangi. BIKIRA MARIA Mama wa YESU

Chuki yao wameshindwa kuificha

Muhimu wanajeshi wanavutaga Bangi sio sigara✅️
 
Back
Top Bottom