Israel yawaomba msamaha Wakristo wote kwa kitendo cha askari wa IDF kuvunja sanamu ya Yesu msalabani

Israel yawaomba msamaha Wakristo wote kwa kitendo cha askari wa IDF kuvunja sanamu ya Yesu msalabani

Ko kuna wapumbavu wananuna sanamu kuvunjwa ila watu kuuawa sio shida zao?
Safari bado ndefu.
 
Muhimu kujaji vitendo vyao vinaonesha chuki dhidi ya Ukristo

Sanamu limewakosea nn kama sio Chuki kubwa kwenye mioyo yao

yule kapiga kichwani na Sululu Sanamu la YESU !!!!

uyu mwengine kaona amvutishe Bangi. BIKIRA MARIA Mama wa YESU

Chuki yao wameshindwa kuificha

Muhimu wanajeshi wanavutaga Bangi sio sigara✅️
Nimewahi kuona mara nyingi Muslim wakijitahidi sana kufanya watu wengine waichukie Israel na wayahudi.

Watu wakiwachukia Israel na wayahudi huwa mnapata nini? Nyie chuki yenu haitoshi kwa wayahudi?

24/7 - 365 days Muslim huwa mnapreach chuki kwa wayahudi. Mnatamani dunia nzima iwachukie pia, lakini haiwezekani
 
Enjoy yourself here

Wafuga Midevu na Majini ni Janga la kitaifa!!
Sijakuelewa Mkuu.
Mimi linapokuja swala la Udini sionagi anaebaku salama, kuwanzia Wagaratia mpaka Makubazi na manabii/miungu yenu wote ni vilaza.
 
Hiyo lakini umeitoa wapi.? Wewe ukibakwa halijabakwa Taifa umebakwa wewe.

Askari huyo alivunja hilo sanamu lakini si serikali wala Taifa teule la Mungu lililofanya hivyo.

Israel itabakia kuwa Taifa Teule na Kiboko cha Magaidi wa kiarabu huko mashariki ya kati na ulimwenguni kwa ujumla!!
Waislamu furaha yao ni kuona watu wengine nao wanawachukia wayahudi. Nikiwa kumuuliza mmoja kuwa mnapata faida gani mkiona mtu anawachukia wayahudi?

Hapa Muslim wote wamekuja kwa kasi wkitamani kuona wakristo wote wakiitukana na kuwalaani wayahudi🤣

Hawa waumini w kiislamu wlifanywa nini na wayahudi? Maana toka nipo mdogo Hadi leo huwa wanachukia na kuwalaani sana wayahudi
 
Nimewahi kuona mara nyingi Muslim wakijitahidi sana kufanya watu wengine waichukie Israel na wayahudi.

Watu wakiwachukia Israel na wayahudi huwa mnapata nini? Nyie chuki yenu haitoshi kwa wayahudi?

24/7 - 365 days Muslim huwa mnapreach chuki kwa wayahudi. Mnatamani dunia nzima iwachukie pia, lakini haiwezekani

Mimi sijasema Mkristo amchukie mzayuni ukimpenda sawa

nilichoandika ni tukio la kweli limefanyika sasa kama kuoji ilo tukio kwako ndio nataka Wakristo wawachukie wazayuni iyo itakuwa tafsiri yako!

Tungekuwa tunasema tukio la uwongo ungekuwa na hoga lkn ww ubishi tukio unajua ni kweli limefanyika!!!

lkn ajabu yko ww utaki tuliseme kwakua tu Wakristo watawachukia wazayuni !!!!!

Lkn apo apo unajua pia Israel imeomba msamaha kwa ilo tukio!!

Kama watu wa Dunia wangekaa kimya unadhani iyo Israel ningeomba msamaha?????

Sisi tunafaam nyinyi mmeitwa kwenye
Biblia kuwa ni kondoo waliopotea unajua kwann mkaitwa ivyo????

Tuseme mm sawa sio mkristo lkn namtetea Bikira Maria namtetea YESU sijapendezwa na ilo tukio

Sababu uyo Maria kwetu sisi ndio Mariam uyo YESU kwetu sisi ndio Issa so ndio mana waislamu hawapendi kuwadhalilisha viongozi waliomo kwenye biblia sababu wote wapo pia kwenye Quran!!!

tofauti ni ndogondogo tu.

Wewe mkristo unajiona ndio mwenye haki ya Maria mwenye haki ya YESU!!

mfano YESU leo kajaa gafra Duniani kanikuta mm natumia shilingi yangu kuweka bando kumtetea yeye natumia akili yangu na mikono yangu kumtetea yeye!!

Naww mwenye Kuwatetea waliomdhaliilisha YESU mwenyewe
pamoja na Mama yake Mzazi
na kutaka tunyuti kama hakuna kitu kimetokea

Yani unazuiya habari hisisambae watenda ubaya watachukiwa ndio off yako!!!

na sio kilio cha kutetea vile bwana wako muokozi wako kafanyiwa. ?????
Sasa YESU akija paaaa anasimama
nanani ??
Brother Depo
au Mdogoee
 
Mimi sijasema Mkristo amchukie mzayuni ukimpenda sawa
Moyoni mwako na nia yako unataka na unatamani kujenga chuki dhidi ya Wayahudi kitu ambacho kamwe hutafanikiwa!!

Ujinga na Upumbavu wa kupanda chuki dhidi ya wayahudi ni kazi pendwa ya Wafuga midevu na majini!!

nilichoandika ni tukio la kweli limefanyika sasa kama kuoji ilo tukio kwako ndio nataka Wakristo wawachukie wazayuni iyo itakuwa tafsiri yako!
Acha ujinga wa kujificha kwenye Masanamu wewe tafsiri yako unazua taharuki ili Wajristo nao wawachukie Wayahudi ndiyo roho yako chafu ifurahi.
Nakujulisha mapema njama hizo walishafanya sana Waarabu wakashindwa sembuse wewe Mwarabu-koko utaweza?

lkn ajabu yko ww utaki tuliseme kwakua tu Wakristo watawachukia wazayuni !!!!!
Mseme au msiseme wajinga nyie hamuwezi kuuvunja uhusiano uliojengwa kwa Damu kati ya Wakristo na Wayahudi!!

Endeleeni tu kuteseka kwa kusema mabaya ya wayahudi lakini katu wakristo hawatawachukia Wayahudi!!!
mfano YESU leo kajaa gafra Duniani kanikuta mm natumia shilingi yangu kuweka bando kumtetea yeye natumia akili yangu na mikono yangu kumtetea yeye!!
Ujinga mtupu unakusumbua kufikiri Yesu anasoma mitandaoni.

Kitu ambacho Wafuga midevu na majini hawajui ni kuwa Yesu wetu hapiganiwi anapigana mwenyewe maana ana nguvu si kama Muddy wenu ambaye hana uwezo mpaka apiganiwe na atetewe na binadamu maana yeye hana uwezo!!
 
Mwenzio kajikuta yupo na kivuli cha Shetan pembeni yakei katoka mbiooo 🤣🤣

umekuja ww muhuni muhuni kupotosha ukweli ilio kweli mbele yake mungu.
 
Mungu alali hata sekunde 1

ivyo chochote ufanyacho Mungu anajua.✅️

Sio lazima ufanye yeye anajua kwanzia ndani yko nini unataka kufanya, ✅️

nashangaa ww kudai Mungu ajui matendo yetu kwenye mitandao¿¿¿¿
 
Mimi sijasema Mkristo amchukie mzayuni ukimpenda sawa

nilichoandika ni tukio la kweli limefanyika sasa kama kuoji ilo tukio kwako ndio nataka Wakristo wawachukie wazayuni iyo itakuwa tafsiri yako!

Tungekuwa tunasema tukio la uwongo ungekuwa na hoga lkn ww ubishi tukio unajua ni kweli limefanyika!!!

lkn ajabu yko ww utaki tuliseme kwakua tu Wakristo watawachukia wazayuni !!!!!

Lkn apo apo unajua pia Israel imeomba msamaha kwa ilo tukio!!

Kama watu wa Dunia wangekaa kimya unadhani iyo Israel ningeomba msamaha?????

Sisi tunafaam nyinyi mmeitwa kwenye
Biblia kuwa ni kondoo waliopotea unajua kwann mkaitwa ivyo????

Tuseme mm sawa sio mkristo lkn namtetea Bikira Maria namtetea YESU sijapendezwa na ilo tukio

Sababu uyo Maria kwetu sisi ndio Mariam uyo YESU kwetu sisi ndio Issa so ndio mana waislamu hawapendi kuwadhalilisha viongozi waliomo kwenye biblia sababu wote wapo pia kwenye Quran!!!

tofauti ni ndogondogo tu.

Wewe mkristo unajiona ndio mwenye haki ya Maria mwenye haki ya YESU!!

mfano YESU leo kajaa gafra Duniani kanikuta mm natumia shilingi yangu kuweka bando kumtetea yeye natumia akili yangu na mikono yangu kumtetea yeye!!

Naww mwenye Kuwatetea waliomdhaliilisha YESU mwenyewe
pamoja na Mama yake Mzazi
na kutaka tunyuti kama hakuna kitu kimetokea

Yani unazuiya habari hisisambae watenda ubaya watachukiwa ndio off yako!!!

na sio kilio cha kutetea vile bwana wako muokozi wako kafanyiwa. ?????
Sasa YESU akija paaaa anasimama
nanani ??
Brother Depo
au Mdogoee
Una elimu mbalimbali kama huyu bibi? Maana unachoandika hata hakieleweki, r na l kwako changamoto hat kunyoosha sentensi napo changamoto
 
Jifunze kuandika itasaidia wengine wanaosoma waelewe kinachozungumziwa. Ukiwa na elimu mbalimbali jiepushe na mijadala mizito
Baada ya kushindwa hoja umegeukia vioja!!!

Sipatagi tabu nanyinyi kondoo mliopotea!!

Wasomaji wa Jamii forum wameona Ukondoo wako Kiakili. Pole yko.
 
Kwa tarifa yako mimi Mazinge na mheshimu lakini Mazinge elimu yake ime base zaidi kwenye Bibilia sio Qur'an akiijua Qur'an kama Bibilia atakuwa anaheshimika zaidi ya hapo

Swali hakuna mkristo anaweza nijibu wapi Yesu alisema Ukristo ndio dini yake.

Swali lingine katika Bibilia alizo waletea Paulo kwanini wale walio andika mwanzo zilie Bibilia ambazo sio Gospel ya Yesu hawo kina Mark, Mathew, Luke hakuna aliye dai Yesu ni Mungu ni yule peke yake John aliye andika mwisho tu ndio kaja na point ya kudai Yesu slisema aliniona mimi kama kamuona Mungu na huyo huyo John ana dai Yesu sio Mungu kwenye Yohana au John 17 3

soma inavyo sema Yohana 17:3

Yohana 17:3​

​

Na huu ndio uzima wa milele: wakufahamu wewe ambaye pekee ni Mungu wa kweli, nakumfahamu Yesu Kristo ambaye umemtuma

ni tangazo la wazi la imani ya Mungu mmoja pekee ambayo inapinga moja kwa moja fundisho la 1=3 (miungu mitatu) cha ajabu mnakataa hichi alicho sema ya kweli badala yake mnafata alicho fananisha yeye kwa akili yake hahaha

Kwa hio kenge Mungu huwa anajituma au anatuma kenge atabaki kuwa kengu tu

Wewe uelewa wako kuhusiana na ukristo ni mdogo sana, hujafikia hata kiwango cha kubishana na watu wanaoujua ukristo. Wewe hangaika na huyo aliyewafanya ninyi kuwa marafiki wa shetani na majini. Aliyewaahidia mito ya pombe na wanawake.

Hakuna mahali Biblia au mafundisho ya ukristo yanaposema kuna Mungu watatu. Kwa hiyo unaposema wakristo wanasema kuna miungu watatu, ndipo unapoonekana kuwa hujui chochote. Wewe hangaika na mafundisho ya kwenda kuogelea kwenye mito ta pombe ukiondoka katika Ulimwengu huu.

Mafundisho ya Biblia na ukristo ni kuwa Mungu ni mmoja, na katika kutenda kazi hutenda katika nafsi 3: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, lakini nafsi pekee iliyofanywa mwanadamu na ikaishi na wanadamu, ni Yesu Kristo pekee. Nafsi ya Baba, katika dhihirisho iliwahi kusikika kwa sauti kutoka katika wingu, na katika moto; nafsi ya Roho Mtakatifu daima imedhihirika katika matendo ambayo mwanadamu hana uwezo wa kuyaelezea, kama vile kupitia maombi, na watu wakafufuka, wagonjwa wakapona, vilema wakapona, watu kupewa maono ya mambo yajayo, ni kwa nguvu ya Roho mtakatifu wanadamu walitoa unabii.

Wakristo siku zote wana Mungu mmoja tu. Jamii pekee inayotajwa kuwa na miungu wengi ni waarabu. Waarabu kabla ya Mud walikuwa na miungu 360. Na Allah alikuwa miongoni mwa hao 360. Baadaye kwa kupitia vita, Mud alipiga marufuku hao wengine wote, akambakiza Allah.
 
Wawaombe msamaha Roman Cathoric na sio Wakristo wote:
Mkristo hatengenezi Sanamu
kwa ajiri ya Ibada:
 
Wawaombe msamaha Roman Cathoric na sio Wakristo wote:
Mkristo hatengenezi Sanamu
kwa ajiri ya Ibada:

Wakiombwa msamaha wakatoliki, indirectly, wameombwa msamaha wakristo wote. Wakristo wanaojiita siyo wakatoliki, ni sawa na mwafrika ambaye anaweza kuthubutu kutamka kuwa yeye siyo mwafrika kwa sababu tu amesema kuwa yeye anaishi huru, haamriwi chochote na baba wala mama yake.

Kanisa walilolianzisha mitume ni Katoliki, kwa Kigiriki cha kale liliitwa
καθολικός (katholikos), ikitafsiriwa kwa Kiingereza Universal church. Na jina hilo la Kanisa la Kristo, linaonekana kwenye andiko la baba wa imani, Askofu wa Antiokia Mt. Ignatius anapoandika mwaka 110AD:
"ὅπου ἂν φανῇ ὁ ἐπίσκοπος, ἐκεῖ τὸ πλῆθος ἔστω· ὥσπερ ὅπου ἄν ᾖ Χριστὸς Ἰησοῦς, ἐκεῖ ἡ καθολικὴ ἐκκλησία."

Ambayo tafsiri yake kwa Kiingereza:
Wherever the bishop shall appear, there let the multitude also be; even as, wherever Jesus Christ is, there is the Catholic Church."

Ikitafsiriwa kwa Kiswahili:
Popote pale atakapotokea askofu, ndipo kutaniko nalo liwepo; kama vile, popote pale alipo Yesu Kristo, ndipo ilipo Kanisa Katoliki.

NB. Ufahamu kuwa kabla ya mwaka 1517 hakukuwa na wanaoitwa waprotestant. Ndiyo maana Kanisa Katoliki linaitwa mzazi wa makanisa yote.
 
Back
Top Bottom