Wewe uelewa wako kuhusiana na ukristo ni mdogo sana, hujafikia hata kiwango cha kubishana na watu wanaoujua ukristo. Wewe hangaika na huyo aliyewafanya ninyi kuwa marafiki wa shetani na majini. Aliyewaahidia mito ya pombe na wanawake.
Hakuna mahali Biblia au mafundisho ya ukristo yanaposema kuna Mungu watatu. Kwa hiyo unaposema wakristo wanasema kuna miungu watatu, ndipo unapoonekana kuwa hujui chochote. Wewe hangaika na mafundisho ya kwenda kuogelea kwenye mito ta pombe ukiondoka katika Ulimwengu huu.
Mafundisho ya Biblia na ukristo ni kuwa Mungu ni mmoja, na katika kutenda kazi hutenda katika nafsi 3: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, lakini nafsi pekee iliyofanywa mwanadamu na ikaishi na wanadamu, ni Yesu Kristo pekee. Nafsi ya Baba, katika dhihirisho iliwahi kusikika kwa sauti kutoka katika wingu, na katika moto; nafsi ya Roho Mtakatifu daima imedhihirika katika matendo ambayo mwanadamu hana uwezo wa kuyaelezea, kama vile kupitia maombi, na watu wakafufuka, wagonjwa wakapona, vilema wakapona, watu kupewa maono ya mambo yajayo, ni kwa nguvu ya Roho mtakatifu wanadamu walitoa unabii.
Wakristo siku zote wana Mungu mmoja tu. Jamii pekee inayotajwa kuwa na miungu wengi ni waarabu. Waarabu kabla ya Mud walikuwa na miungu 360. Na Allah alikuwa miongoni mwa hao 360. Baadaye kwa kupitia vita, Mud alipiga marufuku hao wengine wote, akambakiza Allah.