Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Vita kumbe bado viko hatua za mwanzo sana na yajayo yatafurahisha.
Inashangaza sana nchi za kiarabu kumuogopa simba ambaye ameshachoka kujitetea
Habari mpya ni kwamba jeshi la Israel huenda likainunua upya mitambo yake ya Iron dome iliyoiuzia au kuitoa kwa mshirika wake US.
Hali hiyo si jambo la kawaida na linadhihirisha kiwango cha kuongezeka mahitaji tangu vita katika mtindo mpya vianze dhidi ya wapalestina.
Cha ajabu zaidi kuongezeka kwa mahitaji hayo kumekuja wakati nchi hiyo ikipigana na wanamgambo ambao hawana ndege wala kifaruj hata kimoja na teknolojia yao kubwa ni utundu wa kugeuza chuma chakavu kuwa makombora kama vile makombora ya Yasin.