Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,389
- 2,025
Sapota wataanza kubadili muandiko sasaIsrael kupitia Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu imetangaza kukubali kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah la Lebanon, hatua inayodhaniwa kumaliza vita hivyo vilivyodumu ndani ya mwaka mmoja na kuua takriban watu 3,800.
Rais Joe Biden ametangaza kuwa Marekani imesaidia kufanikisha makubaliano ya kusitisha mapigano nchini Lebanon, ambayo yatamaliza vita kati ya Israeli na kundi hilo linaloungwa mkono na Iran.
Nimeamini ili ushinde vita inabidi uwe na jeshi bora la ardhiniIsrael kupitia Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu imetangaza kukubali kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah la Lebanon, hatua inayodhaniwa kumaliza vita hivyo vilivyodumu ndani ya mwaka mmoja na kuua takriban watu 3,800.
Rais Joe Biden ametangaza kuwa Marekani imesaidia kufanikisha makubaliano ya kusitisha mapigano nchini Lebanon, ambayo yatamaliza vita kati ya Israeli na kundi hilo linaloungwa mkono na Iran.
Hawana ujanja huo, Tena wao ndio wanalilia ceasefire Kila sikuHizbullah haiwezi kukubali kusimamisha mapigano bila baraka kutoka Iran ,unapo ona wame kubali kusimamisha mapigano ujue na Iran kalidhia.
Alafu kwa sasa Iran ina silaha zenye uwezo mkubwa wa kuipiga Israel moja kwa moja ,hivyo uhitaji wa kuwa makundi yaliyoko karibu na mipaka ya Israel unapungua.
Waliyoleta ceasefire ni Israel kupitia Marekani, UAE na Saudi Arabia.Hawana ujanja huo, Tena wao ndio wanalilia ceasefire Kila siku
Pale moto umewaka ni 50/50. Israel kapiga majengo mengi ila moto bado anamwagiwa mwingi sana. Watakua wanasitisha ili kujipanga upya.Israel kupitia Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu imetangaza kukubali kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah la Lebanon, hatua inayodhaniwa kumaliza vita hivyo vilivyodumu ndani ya mwaka mmoja na kuua takriban watu 3,800.
Rais Joe Biden ametangaza kuwa Marekani imesaidia kufanikisha makubaliano ya kusitisha mapigano nchini Lebanon, ambayo yatamaliza vita kati ya Israeli na kundi hilo linaloungwa mkono na Iran.
Unaishi Ulimwengu wa giza kweli!! Inaonekana hujui hata aliyeomva ceasefire ni nani?Daaah Israeli kasarenda mbele ya Hezbollah kilahisi namna hiyo aisee
Israel kashindwa vitaHizbullah haiwezi kukubali kusimamisha mapigano bila baraka kutoka Iran ,unapo ona wame kubali kusimamisha mapigano ujue na Iran kalidhia.
Alafu kwa sasa Iran ina silaha zenye uwezo mkubwa wa kuipiga Israel moja kwa moja ,hivyo uhitaji wa kuwa makundi yaliyoko karibu na mipaka ya Israel unapungua.
Israel kupitia Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu imetangaza kukubali kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah la Lebanon, hatua inayodhaniwa kumaliza vita hivyo vilivyodumu ndani ya mwaka mmoja na kuua takriban watu 3,800.
Rais Joe Biden ametangaza kuwa Marekani imesaidia kufanikisha makubaliano ya kusitisha mapigano nchini Lebanon, ambayo yatamaliza vita kati ya Israeli na kundi hilo linaloungwa mkono na Iran.
Hapo Hezbollah ndo kashindwa kwa sababu lengo lake la kuingia mapiganoni ni kuilazimisha Israeli iache kuishambulia Gaza,Sasa mapigano yanasimamishwa na Irael Bado inabinda Gaza.Pili kampeni ya Israeli kuingia kusini mwa Lebanoni ni kuwasukuma mbali na mpaka Hezbollah na katika makubaliano Hezbollah anaondoka kilimeta kadhaa toka mpakani na kufanya raia wa Israeli walio hama kaskazini warudi na kama Hezbolaah watashambulia sitisho la mapigano linakoma vita inaendelea jambo ambalo serikali y a Lebanon haitaki litokeeHizbullah haiwezi kukubali kusimamisha mapigano bila baraka kutoka Iran ,unapo ona wame kubali kusimamisha mapigano ujue na Iran kalidhia.
Alafu kwa sasa Iran ina silaha zenye uwezo mkubwa wa kuipiga Israel moja kwa moja ,hivyo uhitaji wa kuwa makundi yaliyoko karibu na mipaka ya Israel unapungua.
Hapo Hezbollah ndo kashindwa kwa sababu lengo lake la kuingia mapiganoni ni kuilazimisha Israeli iache kuishambulia Gaza,Sasa mapigano yanasimamishwa na Irael Bado inabinda Gaza.Pili kampeni ya Israeli kuingia kusini mwa Lebanoni ni kuwasukuma mbali na mpaka Hezbollah na katika makubaliano Hezbollah anaondoka kilimeta kadhaa toka mpakani na kufanya raia wa Israeli walio hama kaskazini warudi na kama Hezbolaah watashambulia sitisho la mapigano linakoma vita inaendelea jambo ambalo serikali y a Lebanon haitaki litokeeIsrael kashindwa vita
Allahu akbaruuuuuu!
Umeandika kama vile mshindi Israel? Wakati Isreal yeye ndio aliemuomba mmarekani aingilie katiIsrael kupitia Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu imetangaza kukubali kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah la Lebanon, hatua inayodhaniwa kumaliza vita hivyo vilivyodumu ndani ya mwaka mmoja na kuua takriban watu 3,800.
Rais Joe Biden ametangaza kuwa Marekani imesaidia kufanikisha makubaliano ya kusitisha mapigano nchini Lebanon, ambayo yatamaliza vita kati ya Israeli na kundi hilo linaloungwa mkono na Iran.
Ni hatua muhimu kuleta utulivu eneo hilo.....hata Gaza wanahitaji makubaliano aina hiyo.Israel kupitia Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu imetangaza kukubali kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah la Lebanon, hatua inayodhaniwa kumaliza vita hivyo vilivyodumu ndani ya mwaka mmoja na kuua takriban watu 3,800.
Rais Joe Biden ametangaza kuwa Marekani imesaidia kufanikisha makubaliano ya kusitisha mapigano nchini Lebanon, ambayo yatamaliza vita kati ya Israeli na kundi hilo linaloungwa mkono na Iran.