Israeli kusitisha mapigano na Hezbollah, je ni hatua ya Israeli kujiimarisha zaidi au ni mbinu na mkakati wa kumfifisha Iran?

Israeli kusitisha mapigano na Hezbollah, je ni hatua ya Israeli kujiimarisha zaidi au ni mbinu na mkakati wa kumfifisha Iran?

Unazidi kujidhihirisha wanao kuvusha bara bara wanapata tabu
Je wanao kuvisha kobazi na kipedo hawapati tabu? mudi fundi aisee, hata kusoma hajui ila kawashika masikio eti mtakunywa pombe mbinguni
😂😂😂😂😂
 
Je wanao kuvisha kobazi na kipedo hawapati tabu? mudi fundi aisee, hata kusoma hajui ila kawashika masikio eti mtakunywa pombe mbinguni
😂😂😂😂😂
Wana kazi wanao kuvusha barabara
 
Israel kupitia Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu imetangaza kukubali kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah la Lebanon, hatua inayodhaniwa kumaliza vita hivyo vilivyodumu ndani ya mwaka mmoja na kuua takriban watu 3,800.

Rais Joe Biden ametangaza kuwa Marekani imesaidia kufanikisha makubaliano ya kusitisha mapigano nchini Lebanon, ambayo yatamaliza vita kati ya Israeli na kundi hilo linaloungwa mkono na Iran.
Au mm ndo sijui hii Vita ya Hezbollah na Israel imesha maliza Mwaka kweli??
 
Back
Top Bottom