Israeli kusitisha mapigano na Hezbollah, je ni hatua ya Israeli kujiimarisha zaidi au ni mbinu na mkakati wa kumfifisha Iran?

Mkuu samahani ningeomba ufafanue hii ramani inalenga nini!??
Hapa hakuna nilichoelewa.
Nilitegemea itakuwa hivyo kwani maandishi ndani ya ramani hiyo hayaonekani.
Ila mistari (Arrows) rangi ya karoti (yellow/Orange) ni kule wanakotakiwa kwenda Hezbollah na ile ya Blue-zambarau (Magenta) ndiko wataelekea IDF.
Nimeweka source ya ramani hiyp ili uweze kusoma mwenyewe.
 
Lete article ili tuweze soma vizuri.
 
Embu usiongee Kwa kupotosha.
Basi tuanze mwanzo wa vita na malengo ya Kila mmoja.
*Lengo la Hizbollah kushambulia Israel tangu Oktoba 8 2023 ilikua ni kuwapunguza nguvu Israel kushambulia Gaza dhidi ya Hamas ikiwezekana kuishinikiza Israel kuendesha vita Hamas.Lengo la kupunguza nguvu walifanikiwa kwasababu iliwalazimu Israel kuhamisha baadhi ya nguvu kaskazini mwa Israel dhidi ya Hizbollah.
*Lengo la Israel kuanzisha operation ya kijeshi Kusini mwa Lebanon ni kuleta amani kaskakazini mwa Lebanon ili raia warudi kwenye makazi yao ikiwemo Galilee pia kuwa disarm/dismantle ama kuwavunja nguvu Hizbollah na kuwarudisha nyuma ya mto Latan/Letan.
Nakuuliza wewe maswahili mazeeh,
-Je raia wa kaskazini mwa Israel wamefanikiwa kurudi hadi sasa!?
-Je Hizbollah wamevunjwa nguvu kama ilivyotakiwa na hawawezi kushambulia tena!?

*Hizbollah kukubali itakua ni kwasababu ya shinikizo la serikali yake sio kwasababu anamtii ISRAEL.
Embu elewa how diplomacy works kijana.
Japo Hizbollah bado hajatoa tamko juu ya hili ila hata akikubali ni sawa na ni kheri kwake kwasababu akikataa itakua ni mbaya kwake Kwa ushawishi wa serikali yake hususan Kusini mwa Lebanon.
Nguvu ipi Sasa imepungua kwa Israeli Hammas hawapui huko Gaza,kwa ndo anpiga Syria,Iran anawatisha hata wairaki,Ayatolaha anashindwa hata kuinua helicopter kwenye mipaka ya Israel
 
Mateka wamekombolewa Gaza?
Hauna habari kama Israel ilipunguza askari zaidi ya laki mbili Gaza mkuu!?
Israel kulipua Syria hajaanza leo.
Ayatollah Kila siku anaonekana kwenye mihadhara na anahutubia misikitini.Yeye ni kiongozi wa dini sio mwanasiasa helikopta za nini braza!?
 
Kama Nguvu imepungua basi nendeni mkaiteke Israeli, naona tuishie hapo kinachoendelea ni ubishi wa kitoto
 
Hakuna anayebishana hapa shida unaongea vitu OP.
Sasa kupungua nguvu na kuvamia ndani ya Israel vinahusikanaje!?
Aisee uwe na mchana mwema tu.
 
Amani Gaza itategemeana na Hamasi kutimiza matakwa ya Israeli
Hili suala Mimi nimelisikia zaidi ya mwezi kwamba patakua na cease fire kabla ya mwaka mpya, Israel hajiamulii mambo yake,Kuna mabwana zake
 
Israel kupitia Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu imetangaza kukubali kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah la Lebanon, hatua inayodhaniwa kumaliza vita hivyo vilivyodumu ndani ya mwaka mmoja na kuua takriban watu 3,800.

Rais Joe Biden ametangaza kuwa Marekani imesaidia kufanikisha makubaliano ya kusitisha mapigano nchini Lebanon, ambayo yatamaliza vita kati ya Israeli na kundi hilo linaloungwa mkono na Iran.
Ni kushindwa vita na Hizbollah,
Vita ni malengo, Lego la Israeli ilikua ni kuwanyang'anya silaha Hizbollah na ameshindwa kufikia malengo yake,

hata 2006 ilikua hivihivi. kimsingi Israeli vita haiwezi na anwaogopa Hizbollah, anachoweza ni kupambana na magorofa na watoto.
 
Hili suala Mimi nimelisikia zaidi ya mwezi kwamba patakua na cease fire kabla ya mwaka mpya, Israel hajiamulii mambo yake,Kuna mabwana zake
Tusubiri tuone lkn Israeli inawashirika pia kama nyie mlivyo na washirika
 
Sasa kama walikuwa wamesha furushwa maana yake ni Israel ilikuwa imesha shinda vita sasa hayo makubaliano ni ya nini?
Mpaka makubaliano yanasainiwa Israel ilikuwa haija dhibiti hata Kijiji kimoja sasa hao Hizbullah imewafurusha muda gani?
Hizbullah haitaondoka kusini mwa Lebanon bali wataondoka kwenye eneo lijulikanalo kama msitari wa buluu ambao uliwekwa na UN mwaka 2006 , msitari wa buluu ni mpaka usio rasmi kati ya Lebanon na Israel ulio wekwa na UN mwaka 2006 baada ya vita kati ya Hizbullah na Israel.
Hata Israel hata ruhusiwa kufanya harakati zozote za kijeshi eneo hilo.

Toka mwanzo, rudia hotuba za Nasralah, Kwamba hawataingia mapatano yoyote yale mpaka ufumbuzi wa Gaza, ni nini kimewakuta kukubali hii truce...?
 
Toka awali anaongea nao na aliwaambia mapema acheni kurusha maroketi nitaamia kwenu hawakisikia basi akaamia kwao walipouona moto wamekubali kuacha
MBYA ina maana gani? Kwako wewe linakuvutia! Je kuna uwezekano wa wewe kubadili jina? Mimi niko sensitive sana kwenye convo hivi unaweza kuandika jambo zuri nikaliignore nikapoteza faida kisa jina tu. Mimi hua naona 'mbaya' na bahati mbaya ukiandika mbaya ndio kabisa nahisi hakutakuwa na nzuri kutoka kwako.Samahani lakin hii a bit private
 
Toka mwanzo, rudia hotuba za Nasralah, Kwamba hawataingia mapatano yoyote yale mpaka ufumbuzi wa Gaza, ni nini kimewakuta kukubali hii truce...?
Pia kumpoteza Nasrallah ni pigo ambalo limefikisha hizbollah hapa na walebanon ndio wafitini wachora raman sidhani kama Nasrallah angekubali kuyumbishwa na serikali kwanza serikali yenyewe ilimuogopa hakua mtu fala fala wa kuhongwa vitu vdogo na US.
 
gTurn, laiti angalikua ni Nasrallah tu, na hata wewe unajua wazi uongozi mzima wa Hezbollah haupo! Hata Iran inataka wajipange upya! Na wangeendelea na vita ilikuwa inadhohofisha hata ile hofu iliyokuwa inawapa nguvu hapo Lebanon, na kadri siku zinavyokwenda vita ilikuwa inaleta kadhia na dhiki kwa Walebanon

Hii truce ina faida kubwa kwa Hezbolah! Na kama kuna wakumlaumu ni Iran, ilitakiwa tokea mwanzo aingie kwenye vita kamili licha ya kuleta silaha tu!
 
Pia kumpoteza Nasrallah ni pigo ambalo limefikisha hizbollah hapa na walebanon ndio wafitini wachora raman sidhani kama Nasrallah angekubali kuyumbishwa na serikali kwanza serikali yenyewe ilimuogopa hakua mtu fala fala wa kuhongwa vitu vdogo na US.

Gturn: Wamempoteza Nasrala tu? Hii list iliyoondoka inafanya wafikiri upya, na wajipange upya!

Hezbollah, Hamas and Iranian figures whose killings were blamed on Israel​

Hezbollah​

  • Hassan Nasrallah – An Israeli military spokesman announced that the Hezbollah chief had been “eliminated” in strikes on the Lebanese capital on Friday. Hezbollah later confirmed his killing. In 2006, Nasrallah was also rumoured to have been killed during Israel’s last war with Hezbollah, but he later re-emerged unscathed.

  • Ibrahim Qubaisi – An air strike on the southern suburbs of Beirut on September 24 killed Qubaisi, a commander and leading figure in Hezbollah’s rocket division, two security sources said.

  • Ibrahim Aqil – Hezbollah’s operations commander, who served on the group’s top military body, was killed by an Israeli strike in Beirut’s southern suburbs on September 20. Aqil, who has also used the aliases Tahsin and Abdelqader, was a member of Hezbollah’s top military body, the Jihad Council. The United States accused him of having a role in two deadly bombings in Lebanon that killed hundreds of people.

  • Ahmed Wahbi – He was identified as a top commander who oversaw the military operations of the Radwan special forces in the Gaza war until early 2024. He was killed in an Israel strike that targeted several top commanders, including Ibrahim Aqil, in the Beirut suburbs on September 20.
  • Fuad Shukr – An Israeli strike on the southern suburbs of Lebanon’s capital on July 30 killed Hezbollah’s top commander Fuad Shukr, identified by the Israeli military as Nasrallah’s right-hand man. Shukr was one of Hezbollah’s leading military figures since it was established by Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps more than 40 years ago. The US imposed sanctions on Shukr in 2015 and accused him of playing a central role in the 1983 bombing of the US marine barracks in Beirut, which killed 241 military personnel.

  • Muhammed Nasser – The senior Hezbollah leader was killed in an Israeli air strike on July 3 in Tyre, Lebanon. Israel claimed responsibility, saying he headed a unit responsible for firing from southwestern Lebanon at Israel. Nasser, also known as Hajj Abu Nimah, was also reportedly responsible for a section of Hezbollah’s operations at the frontier with Israel.

  • Taleb Abdallah – The senior Hezbollah field commander was killed on June 12 in a strike claimed by Israel, which said it had hit a command and control centre in southern Lebanon. Security sources in Lebanon said he was Hezbollah’s commander for the central region of the southern border strip and was of the same rank as Nasser. His killing prompted the group to fire a heavy barrage of rockets across the border at Israel.
 
No one levels Nasrallah kwenye hio list.
 
MBYA ina maana gani? Kwako wewe linakuvutia! Je kuna uwezekano wa wewe kubadili jina? Mimi niko sensitive sana kwenye convo hivi unaweza kuandika jambo zuri nikaliignore nikapoteza faida kisa jina tu. Mimi hua naona 'mbaya' na bahati mbaya ukiandika mbaya ndio kabisa nahisi hakutakuwa na nzuri kutoka kwako.Samahani lakin hii a bit private
😀Nitafanyia kazi rafiki
 
Back
Top Bottom