Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Nilitegemea itakuwa hivyo kwani maandishi ndani ya ramani hiyo hayaonekani.Mkuu samahani ningeomba ufafanue hii ramani inalenga nini!??
Hapa hakuna nilichoelewa.
Ila mistari (Arrows) rangi ya karoti (yellow/Orange) ni kule wanakotakiwa kwenda Hezbollah na ile ya Blue-zambarau (Magenta) ndiko wataelekea IDF.
Nimeweka source ya ramani hiyp ili uweze kusoma mwenyewe.