Israeli kusitisha mapigano na Hezbollah, je ni hatua ya Israeli kujiimarisha zaidi au ni mbinu na mkakati wa kumfifisha Iran?

Leo tumejua mbabe wa Israeli ni nani yaani jamaa wakubali yaishe kilahisi namna hiyo mbona ghaza walikataa
 
Bado mchanga kwenye hayo mambo Irani imejidhaliliaha sana kama Super power wa mashariki ya kati hasa baada ya kuibonda Saudi kupitia wahouth,hii piga nikupige na Israeli imemvua nguo alikuwa anategemea S 3000 juzi zimelipuliwa na ameambiwa akiweza ajibu, na Hilo ni gumi kwake ndo maana mapaka Sasa anatafakari kwa sababu akijubu tu mipango yake ya nuklia na biashara ya mafuta zinaenda kupigwa na Mrusi hawezi msaidia


USA haina maslahi ya Moja Kwa Moja nchini Ukaraine,Vita ambayo kaiwekea maanani Taiwani na Chaina hapo ndo kajipanga kuingia mazima ikitokea yaani ata deploy troops kabisa


Hapo Urusi anachezewa sharubu na hafanyi chochote,kitendo cha kuruhusu ATACAMS kupiga ndani ya Urusi ni uchokozi mkubwa kuliko unavyojuaa maana hiyo inamaanisha mmarekani mwenyewe ndo anazidrive hizo silaha ndani ya Urusi inabidi Urusi ifanyie kipigo Cha karibu ya Moja Moja kwa USA,jambo ambalo litainua kichaa Cha USA ndo utaiona rangi ya USA vzr
 
Pale moto umewaka ni 50/50. Israel kapiga majengo mengi ila moto bado anamwagiwa mwingi sana. Watakua wanasitisha ili kujipanga upya.
Kwa hiyo,Hezbollah wanaenda kujenga urafiki na Israel au kukaa na kubweteka! Si ndio? Israel inaenda kujipanga kivyake, Hezbollah itajipanga kivyake. Ila,kusitishwa kwa hayo mapigano, ni kichapo kikali ilichochezea Israel,bila kutarajia. Alijua yeye mamba,kumbe Hezbollah ni radi.
 
Jibu hoja, are Russia and Iran badly off baada ya hizi vita ama wamegain?
Urusi kaaibika vibaya vita ya Ukarine ndo maana hata nchi zilizokuwa zinao ogopa kujiunga na NATO USwisi na Swiden wamejiunga baada ya kuona kumbe yeye Tiger on paper tu,na hajawanya lolote alitishia kuwapiga wakijiunga kala kimya na saizi wanateka ardhi yake anahenya mpaka kolea kuomba msaada
 
Nani katii matakwa ya mwenzike,Israeli alimuonya Hezbolaah aache kuingilia vita yake na Hamasi akasema hataacha mpaka Israel atoke Gaza,Israel akamgaukia akampa kipigo Sasa amekubali kutulia akimuacha Hamas anyolewe nywele,kihelehele chake kimesababisha vifo huko Lebanoni,na Irani anasubiriwa ajibu mapigo aone Cha moto maana mitambo ya kumlinda imelipuliwa
 
Kitu kimoja tu usichoeleweka unaweka makubaliano na mtu ambaye mipango yako ya kumpiga imeshindwa kabisa ndio unakimbilia political solution hizbullah mbabe israel hajapata victory yale 2006 yamejirudia tena haya tutaanza kupata stori za battfield jinsi mambo yalivyokuwa soon.
 
Hizbullah ilikuwa imeelekea kibla wakati miezi zaidi ya 2 unatuma wanajeshi zaidi ya 50,000 wenye kila aina ya silaha unashindwa kudhibiti hata kijiji kimoja dhidi ya wanamgambo.
Na mamia ya roketi yanarushwa kila siku?
 
Israel alimwambia Hezbollah acha kuingilia ugomvi wanguvna Hamasi akajitia kihelehele eti siachi mpaka uondoke Gaza,yakowapi Sasa kakubali kiacha na Izraeli Bado yupo Gaza alafu Bado unamuona mshindi kweli gubasi mna mambo
 
Umesahau kuweka kipengele cha msingi hapo. Je, Israel imeshindwa kuwashinda Hezbollah kama ilivyokuwa imeahidi kuwa inaingia lebanon kuwasafisha?
 


Skip to content





















Advertisement

What we know about Israel-Hezbollah ceasefire deal​

14 hours ago
Share
Save
Reuters
Israel launched an air campaign and ground invasion against Hezbollah in late September
US President Joe Biden has announced a ceasefire deal to end 13 months of fighting between Israel and with Hezbollah, the Lebanese militia supported by Iran.
In a joint statement, the US and France said the agreement would cease fighting in Lebanon and "secure Israel from the threat of Hezbollah and other terrorist organisations".
This is what we know about the ceasefire deal from official briefings and media reports.

The ceasefire is meant to be permanent​

US President Joe Biden told reporters that the agreement was "designed to be a permanent ceasefire".
Under the terms of the ceasefire, over 60 days Hezbollah will remove its fighters and weapons from the area between the Blue Line - the unofficial border between Lebanon and Israel - and the Litani river, about 30km (20 miles) to the north.
Hezbollah fighters will be replaced by Lebanese army forces in that area, who will ensure that infrastructure or weaponry is removed and that it cannot be rebuilt, according to a senior US official.
Over the same 60 days, Israel will gradually withdraw its remaining forces and civilians, Biden said, adding that it would enable civilians on both sides of the border to return to their homes.


5,000 Lebanese troops will replace Hezbollah​

The Lebanese army is expected to deploy 5,000 troops to the south under the agreement, according to a US official.
However, questions remain about their role in enforcing the ceasefire, and whether they would confront Hezbollah if needed, which would have the potential to exacerbate tensions in a country where sectarian divisions run deep.
The Lebanese army has also said it does not have the resources - money, manpower and equipment - to fulfil its obligations under the deal, although that could be alleviated by contributions from some of Lebanon’s international allies.
But many Western officials say Hezbollah has been weakened and that this is the moment for the Lebanese government to re-establish control over all the country's territory.

Reuters
Hezbollah has fired thousands of rockets, missiles and drones into Israel

The US and France will monitor implementation​

The agreement largely tracks UN Security Council resolution 1701, which ended the 2006 war between Israel and Hezbollah.
Under resolution 1701, areas south of the Litani should be free of any armed personnel or weapons other than those of the Lebanese state and the UN peacekeeping force (Unifil).
But both sides claimed violations of the resolution.
Israel says Hezbollah was allowed to build extensive infrastructure in the area, while Lebanon says Israel’s violations included military flights over its territory.
This time, the US and France will join the existing tripartite mechanism, which involves Unifil, Lebanon and Israel, which will be charged with monitoring violations, the senior US official said.
"There will be no US combat troops in the area, but there will be military support for the Lebanese Armed Forces, as we've done in the past. But in this case, it'll be typically done with the Lebanese army and in conjunction with the French military as well," the official said.
Alluding to Israeli concerns, Biden said: "Hezbollah terrorist infrastructure in southern Lebanon will not be allowed to be rebuilt."

Israel claims the right to respond to violations​

Prime Minister Netanyahu said that Israel would “maintain full freedom of military action” in Lebanon “with the United States' full understanding”.
“If Hezbollah violates the agreement and tries to arm itself, we will attack. If it tries to rebuild terrorist infrastructure near the border, we will attack. If it launches a rocket, if it digs a tunnel, if it brings in a truck carrying rockets, we will attack,” he asserted.
Biden supported that view, telling reporters: "If Hezbollah or anyone else breaks the deal and poses a direct threat to Israel, then Israel retains the right to self-defence consistent with international law."
But he also said the deal upholds Lebanon's sovereignty.
The Israeli demand for the right to strike back is not believed to be part of the ceasefire agreement because it was rejected by Lebanon. To get around the issue, media reports had suggested that the US would issue a letter supporting Israel’s right to act.

Middle East
Israel
Hezbollah
Lebanon

Related

Diver describes 'complex operation' to find Egypt boat survivors​

1 hr ago

World

BBC on the ground as people return to southern Lebanon​

3 hrs ago

Middle East

Israel-Hezbollah ceasefire begins after year of conflict​

5 hrs ago

Middle East

More


Israel-Hezbollah ceasefire deal agreed, confirms Biden​

Attacks by both sides were recorded until shortly before fighting stopped at 04:00 local time (02:00 GMT).
10 hrs ago

Middle East



Watch: People in Israel and Lebanon react to ceasefire deal​

People in Tel Aviv and Beirut shared feelings of relief and doubt as they reacted to the news.
12 hrs ago

Middle East


Questions over Hezbollah's future after ceasefire​

Israel hit Lebanon's capital with its most intense bombardment of the conflict, hours before striking a deal to end the fighting.
15 hrs ago

Middle East



Biden confirms 'good news' of Israel-Hezbollah ceasefire deal​

US President Joe Biden says Israel and Lebanon have agreed to a ceasefire deal to end fighting with Hezbollah in Lebanon.
16 hrs ago

World



Anger and distrust among displaced Israelis at ceasefire deal​

Many displaced residents of northern Israel feel unease and mistrust over their PM's deal with Lebanon.
17 hrs ago

Middle East




BBC in other languages

Follow BBC on:​







Copyright 2024 BBC. All rights reserved. The BBC is not responsible for the content of external sites. Read about our approach to external linking.
 
Umesahau kuweka kipengele cha msingi hapo. Je, Israel imeshindwa kuwashinda Hezbollah kama ilivyokuwa imeahidi kuwa inaingia lebanon kuwasafisha?
Kabla hawajasafishwa kabisa wametii amri kuomdoka kusini na kikoma kutupa maroketi Israeli
 
Aah israel amenegotiate with terrorists au siyo? Hii ni dalili ya kushindwa.
Toka awali anaongea nao na aliwaambia mapema acheni kurusha maroketi nitaamia kwenu hawakisikia basi akaamia kwao walipouona moto wamekubali kuacha
 
Hapa nasoma tu kauli za wateule naishia kucheka tu. Nilijuaga mtu ukishaukuw mteule unakua na akili nyingi kumbe.....
 
Daaah Israeli kasarenda mbele ya Hezbollah kilahisi namna hiyo aisee
Chanzo cha vita Kati ya Hezbollah na Israel ni baada ya Hezbollah kusaidia watu wa Gaza na dhidi ya Israel..
Kama Gaza vita itaendelea huku Hezbollah ametulia itakuwa haina maana kwasababu Gaza inaenda kufutika

Kabla ya kupost uwe unatafuta vyanzo mbalimbali Kwanza , terms zilizowekwa na Israel kama Hezbollah watakubali watakuwa wamejimaliza wenyewe Tu.
 
Inabidi ujitambulishe kwanza wewe ni mteule kutokea wapi? Maana sikuoni katika yale makabila yetu kuminambili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…