Israeli wapiga maslahi na makundi ya Iran nchini Syria

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Israel huwa hawakawii kulipua kila wakipata sababu.

Suspected Israeli airstrikes reportedly occur in Damascus, Syria, early May 29.
Suspected Israeli airstrikes have reportedly occurred at several locations in Damascus early May 29. There were no immediate reports of casualties or material damage. While the Israel Defense Forces (IDF) have not publicly acknowledged the attack, alleged Israeli airstrikes have regularly targeted bases of Iran-affiliated groups, such as Hizballah, across Syria.

Military forces in northern Israel and Syria will almost certainly maintain a heightened security posture over the coming days. Further airstrikes, retaliatory attacks, and exchanges of cross-border fire are possible over the short term.
---

Event

Context
Tensions between Syria and Israel remain extremely high. Israel has repeatedly expressed concerns about Iranian proxies in southwestern Syria and aims to prevent a build-up of Iran-backed forces in the region. Since 2017, the IDF has launched hundreds of preemptive strikes in Syria, targeting suspected Hizballah and Iran-led fighters, weapons caches, and supply convoys, primarily in the country's southwestern governorates.

Advice
Exercise caution and avoid all military sites in Syria. Heed the instructions of local security forces. If airstrikes, artillery fire, or warning sirens are reported in the general vicinity, take cover in the nearest bomb shelter and remain there until given further instructions by authorities.

Hawana sababu za kuvamia Iran, wao wanapiga wajinga wanaokubali kutumika, wanawahishwa kwa mabikira.
Hao wajinga unao sema wanapata ufadhili wa Iran kwanini asiwapige hao Iran kabisa kumaliza mzizi wa fitna, Urusi umemuona kaingiza jeshi Ukraine, huyo Israel kama ubavu anao apeleke jeshi Tehran akawapige
 
We unaona urusi wana akili mpaka uwe mfano kwa wengine
sasa wewe unaona Israel ana akili, mzizi ni Iran nenda kawapige umalize tatizo, hivi vikundi ni matawi tu havina faida hata ukipiga, maana yatachipua tena
 
Hao wajinga unao sema wanapata ufadhili wa Iran kwanini asiwapige hao Iran kabisa kumaliza mzizi wa fitna, Urusi umemuona kaingiza jeshi Ukraine, huyo Israel kama ubavu anao apeleke jeshi Tehran akawapige

Wanapigwa kama ambavyo wanavyokuja, wanawahishwa kwa mudi awape mabikira.
Iran haijafikia hadhi ya kupigwa maana wenyewe wamekua makini sana hawachokozi.
 
Hawa Israel kama ni wanaume kwanini wasivamie Iran moja kwa moja kama alivyofanya Mrusi kwa Ukraine? hizi mbwembwe hazina faida yeyote
Wangekuwa wanapakana wangeshavamiana kitambo.
 
Sio hoja kabisa, Mbona US alimvamia Iraq wala hawapakani, akamvamia Afghastan wala hawapakani, huyu Israel mnamsifia bure lakini hamna kitu, badala ya kupiga matawi apeleke jeshi Iran mchezo umalizike
 
Wanapigwa kama ambavyo wanavyokuja, wanawahishwa kwa mudi awape mabikira.
Iran haijafikia hadhi ya kupigwa maana wenyewe wamekua makini sana hawachokozi.
US alivamia Taliban kule Afghastan kwenye mzizi, mwambie Israel na yeye akapambane IRGC kule Iran, sio anapiga piga watu ambao sio watunga sera
 
Israel yeye kazi yake ni kuhakikisha usalama ndani ya nchi yake, maana ni kainchi kadogo ila kenye watu wenye akili sana, kuna siku hiyo miungu yenu ilijaribu kukachangia mataifa sita ila walichokutana nacho ni historia.
 
Sio hoja kabisa, Mbona US alimvamia Iraq wala hawapakani, akamvamia Afghastan wala hawapakani, huyu Israel mnamsifia bure lakini hamna kitu, badala ya kupiga matawi apeleke jeshi Iran mchezo umalizike
Vita ni gharama, sio kila nchi inamudu
 
Hao wajinga unao sema wanapata ufadhili wa Iran kwanini asiwapige hao Iran kabisa kumaliza mzizi wa fitna, Urusi umemuona kaingiza jeshi Ukraine, huyo Israel kama ubavu anao apeleke jeshi Tehran akawapige
Kwahiyo Urusi hajawahi kuingiza jeshi Ukraine? Kama hujui mambo bora uwe unakaa kimya unajiaibisha bure, unakumbuka ule msafara wa vifaru uliokuwa unaelekea Kiev ? Unakumbuka wale wanajeshi wa miavuli waliokuwa wanatunguliwa kama embe mbivu? Unahisi walikuwa wanajeshi wa wapi.
 
Hivi umesoma nilicho andika au umeandika kama umekurupuka? mimi ndio nimeandika kama Urusi alivyo ingiza jeshi Ukraine , na yule Israel nae apeleke jeshi Iran, lakini kupiga vikundi vidogo vidogo sio njia ya kumaliza tatizo
 
Israel yeye kazi yake ni kuhakikisha usalama ndani ya nchi yake, maana ni kainchi kadogo ila kenye watu wenye akili sana, kuna siku hiyo miungu yenu ilijaribu kukachangia mataifa sita ila walichokutana nacho ni historia.
Akili ipi wakati vifaa na pesa ya bajeti anachukua US na ulaya , wenye akili ni hao wanao mfadhili
 
Back
Top Bottom