๐๐๐๐๐๐Aisee dalili ya kuishiwa hoja hii.Maswali ya kitoto kabisa!! Mimi si mtoto wenzako!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐๐Aisee dalili ya kuishiwa hoja hii.Maswali ya kitoto kabisa!! Mimi si mtoto wenzako!!!
Mimi si mwanasiasa hivi kutokupendwa Benjamin Netanyahu wewe kunakuhusu nini? Au kumesaidia nini? Wewe ni mpiga kura Israel? Wamtoe wasimtoe wewe inakuhusu nini? Nimekuambia mapema kabisa siasa za Israel huzijui achana na mambo yao ya ndani tuzungumzie huku nje wanawanyooshaje magaidi wa Hamas na Hezboullah?Mimi ni zaidi ya ujuavyo wewe.
Tuliza akili embu acha kujidhihirisha ujinga wako.
Hapa nazungumzia raia kutokumpenda Netanyahu.
Na nilishakuambia wapo wakubwa ambao wana maslahi naye ndio maana amebaki madarakani.
Hamas sio magaidi bali wanajulikana kama Freedom fighters,fuatilia vikao takriban vyote vya UNGA husikii Hamas wala Hizbollah wakiitwa magaidi.
Wanaowaita magaidi ni Israel,USA na washirika wake.
Hata vikao vya UNGA hufuatil
Najaribu kumuelewesha mtu kichwa ngumu aisee.Mimi si mwanasiasa hivi kutokupendwa Benjamin Netanyahu wewe kunakuhusu nini? Au kumesaidia nini? Wewe ni mpiga kura Israel? Wamtoe wasimtoe wewe inakuhusu nini? Nimekuambia mapema kabisa siasa za Israel huzijui achana na mambo yao ya ndani tuzungumzie huku nje wanawanyooshaje magaidi wa Hamas na Hezboullah?