Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

Kama unataka siasa nenda jukwaa la siasa mimi niko hapa kuweka sawa mambo siyo bla!! Bla!! Tu.
 
Mimi si mwanasiasa hivi kutokupendwa Benjamin Netanyahu wewe kunakuhusu nini? Au kumesaidia nini? Wewe ni mpiga kura Israel? Wamtoe wasimtoe wewe inakuhusu nini? Nimekuambia mapema kabisa siasa za Israel huzijui achana na mambo yao ya ndani tuzungumzie huku nje wanawanyooshaje magaidi wa Hamas na Hezboullah?
 
Najaribu kumuelewesha mtu kichwa ngumu aisee.
Embu endeleza mjadala na watu wengine,sitaki nipoteze muda wangu bure.
Maana kama ni hivyo hujui athari za raia kumkataa kiongozi wao basi ni shida.
Pia kama kutokupendwa kwa Netanyahu haituhusu basi hata kujadili mapigano yao na Hizbollah hayatuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…