Isreal Kakacha Baada ya US kumuambia Hawezi Kupigana na Iran

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
7,681
Reaction score
9,892
Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu
Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop the response.
 
Waoga sana Israel. Anapigana na vikundi vya wanamgambo anajiita mbabe.

Haya kajitokeza mbabe wa kweli kamshambulia mara mbili nyumbani kwake bila majibu.

Iran ni taifa kubwa lenye silaha hatari zisizozuilika na mfumo wowote wa anga ndiyo maana karusha makombora lakini hayajazuiliwa na nchi kadhaa licha ya jitihada za kuyazuia.
 
NETANYAHU AKBAR

qyhltea30vq41.jpg
 
Halafu pia, hakuna tija yeyote, Iran siyo tishio kwa Israel, kwa namna yeyote ile.

Ni bora wakite tu kuwamaliza Hamas na Hezbolla, oparesheni wanayoitekeleza kwa ufanisi mkubwa.
😂😂 Israel, Marekani na Ulaya hawalali kwasababu ya tishio la Iran wewe mtu wa Ngudu unasemaje?😂😂

Laiti Israel na Marekani wangekuwa na uwezo wa kuifuta Iran na kuweka vibaraka wao wasingethubutu kupoteza fursa adimu kama hiyo.

Wanajeshi wa Israel walijaribu kunusa tu mpaka wa Lebanon wamekutana na chinja chinja wamevunwa kama samaki.
 
Attachments

  • 5843176-e920977f0c09bca8cb3074b2b9b1c23.mov
    12.2 MB
Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu
Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop the response.
Kwahiyo Israel hana vifaa hivyo? Huo ni ujinga!
 
Waoga sana Israel. Anapigana na vikundi vya wanamgambo anajiita mbabe.

Haya kajitokeza mbabe wa kweli kamshambulia mara mbili nyumbani kwake bila majibu.

Iran ni taifa kubwa lenye silaha hatari zisizozuilika na mfumo wowote wa anga ndiyo maana karusha makombora lakini hayajazuiliwa na nchi kadhaa licha ya jitihada za kuyazuia.
Unaishi Ulimwengu wa wapi? Eti mashambulizi mara 2 bila majibu!! Wakati shambulio la kwanza lilijibiwa kwa kombora la ndege, likatekeza mtambo wa kurushia makombora wa Iran, na Iran hakuendelea tena.

Na hata hili shambulio la sasa, Marekani ameisihi Israel kutojibu mashambulizi, lakini Israel imegoma, na kusema ni lazima ijibu kwa mashambulio ya kuangamiza binu vya nuklia na visima vya mafuta vya Iran.
 
😂😂 Israel, Marekani na Ulaya hawalali kwasababu ya tishio la Iran wewe mtu wa Ngudu unasemaje?😂😂

Laiti Israel na Marekani wangekuwa na uwezo wa kuifuta Iran na kuweka vibaraka wao wasingethubutu kupoteza fursa adimu kama hiyo.

Wanajeshi wa Israel walijaribu kunusa tu mpaka wa Lebanon wamekutana na chinja chinja wamevunwa kama samaki.
Ukiwa punguani ndiyo unaweza kuandika hivi ulivyoandika. Hezbollah wameteketezwa wengi kwa muda mfupi, na kama vita itachukua muda mrefu kama ilivyo Gaza, madhara kwa hezbollah yatakuwa makubwa kupindukia, afadhali waliyoyapata Hamas.
 
Halafu pia, hakuna tija yeyote, Iran siyo tishio kwa Israel, kwa namna yeyote ile.

Ni bora wajikite tu kuwamaliza Hamas na Hezbolla, oparesheni wanayoitekeleza kwa ufanisi mkubwa.
Iran sio tishio kwa Israel kwa namna yoyote ile.

Tetea hoja yako kwa vielelezo kuwa Iran sio tishio kwa Magaidi wa Israel, co unaropoka tu, kama mabwana zake US wanamtaadhirisha asithubutu kupambana na Iran, we nani?
 
Unaishi Ulimwengu wa wapi? Eti mashambulizi mara 2 bila majibu!! Wakati shambulio la kwanza lilijibiwa kwa kombora la ndege, likatekeza mtambo wa kurushia makombora wa Iran, na Iran hakuendelea tena.

Na hata hili shambulio la sasa, Marekani ameisihi Israel kutojibu mashambulizi, lakini Israel imegoma, na kusema ni lazima ijibu kwa mashambulio ya kuangamiza binu vya nuklia na visima vya mafuta vya Iran.
Suala la kushambulia vinu vya Nyuklia na visima vya mafuta siyo jambo jepesi. Siku Israel akifanya huo ujinga hadi wakazi wa bonyokwa mtatembea kwa miguu kwa crisis ya mafuta itakayotokea duniani.
 
Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu
Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop the response.
Ndio ubaya wa uhasama huu, hapo Iran yupo roho juu juu maana hajui adui wake atashambulia wapi.
 
Back
Top Bottom