kuna kitu watu hawakijui, iran alishambulia ile majuzi ili kuwadivert wayahudi kutoka kuipiga hezbollah kwa sababu wanajua israel akiingia lebanon lazima aichakaze iwe kama gaza na atauwa miundombinu na zana nyingi alizozipeleka kwa hezbollah.
kipindi israel hajavamia gaza, hezbollah walirusha rocket nyingi sana ili kuwadivert wayahudi wasiingie Gaza, alichofanya myahudi ni kuwaacha tu, kupiga hadi kumaliza kazi pale Gaza ndipo ageukie kwa Hezbollah.
anachofanya netanyahu hataki kupigana vita vingi kwa pamoja, mtego huo wamemkosa. akimaliza na hezbollah ataigeukia iran, na wameahidi iran itakuwa kama gaza. iran hajui atapigwa lini, jamaa kaconsentrate kwa lebanon hadi amalize kazi.
uturuki walitishia ati myahudi akiingia lebanon basi wataisaidia lebanon, myahudi ameshaingiza vifaru na uturuki kanyamaza kama hajawahi kusema chochote. Iran alimtishia myahudi kuwa akiingia Gaza yatakuwa makaburi ya wayahudi, alijihakikishia hilo kwa sababu alikuwa amepeleka silaha nyingi sana kule na aliwapa pesa wakachimba mahandaki mengi sana, na alitrain Hamas wengi sana, alijihakikishia wayahudi wengi wangekufa. kilichotokea, mahandaki karibia yote yamefumuliwa, hata rocket toka gaza ni za kutafuta.
amejihakikishia pia kuwa amewapa hezbollah silaha nyingi, leo tu wamerusha rocket zaidi ya 100 lakini hazina madhara makubwa kwa Israel. as long as wameshaingia, wataishiwa silaha na watakamatwa kama panya kwa sababu lebanon hakuna mahandaki meingi kama Gaza.
sipendi vita ila hakuna adui wa kumshinda israel hapo middle east.