Isreal Kakacha Baada ya US kumuambia Hawezi Kupigana na Iran

Isreal Kakacha Baada ya US kumuambia Hawezi Kupigana na Iran

Waoga sana Israel. Anapigana na vikundi vya wanamgambo anajiita mbabe.

Haya kajitokeza mbabe wa kweli kamshambulia mara mbili nyumbani kwake bila majibu.

Iran ni taifa kubwa lenye silaha hatari zisizozuilika na mfumo wowote wa anga ndiyo maana karusha makombora lakini hayajazuiliwa na nchi kadhaa licha ya jitihada za kuyazuia.
Msije mkaanza kulialia kikianza kuum1na
 
Mkuu hujui huko lebanon mambo siyo mambo, hadi sasa wanapokea miili tu ya marehemu, na walionywa hawakusikia
In the coming weeks hizbullah wataanza kupiga miji katikati lengo itakuwa kuwalazimisha israel kuacha vita na mara nyingi katikati maana yake ni both military na civillian target sasa hivi utaanza kuona maandamano ya raia na sasa hivibutamuona usa akianza kupigia kelele ya cease fire wait and see.
 
Iran sio tishio kwa Israel kwa namna yoyote ile.

Tetea hoja yako kwa vielelezo kuwa Iran sio tishio kwa Magaidi wa Israel, co unaropoka tu, kama mabwana zake US wanamtaadhirisha asithubutu kupambana na Iran, we nani?
Leo Mike pompeo anasema iran can destroy israel mara 2500 kwa kuwa ina heavy missile power around laki 5,hapo usizungumziie nukes just ordinary missile
 
Kwani hamas si Iran pia au ujui Kama ni kundi lake alilolipandikiza palestina
Nasikia bunge la iran linadraft ushirikiano kijeshi kama vile nato itainclude syria ,yemen ,hizbullah na hamas halafu akishambuliwa mmoja basi wote wanaingia mzigoni.
 
Hamas na Hezbollah ndio tishio kwa usalama wa Israel. Madhara waliyoyasababisha Hezbolla na Hamas kwa Israel, Iran hajafikia hata robo.

Na kama ulikuwa hujui, Hezbollah was the top paramilitary group in the arab world, kwa kiswahili, Hezbollah ndio kilikuwa kikundi chenye nguvu zaidi za kijeshi katika ulimwengu wa kiarabu...

Na ndio lilikuwa tegemeo la Iran kuwadhuru wayahudi.
Ukitaka mti usitoe tena unatoa na mizizi ambayo ndio Iran 🇮🇷 ila kukata matawi ambayo hizbullah na hamas sio dawa
 
Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu
Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop the response.
Hii vita ya Erael na Palestine haina kichwa wala migu ni kwaajiri kulinda urasi wa Netanyau. Nentanyau hajari maisha ya wa Esrael wala mtu yoyote zaidi ya yeye mwenyewe na familia yake.
 
Alipigana na warabu wote na alishinda labda unajisahaulisha,waarabu na waislamu walivyo wabaguzi Israeli ungekuwa dhaifu ingeshafutwa,Hakuna nchi ya kiarabu inaweza pigana na wayahudi never .....Huwa sipati picha nchi ya kiarabu ingekuwa super powe kama USA , UK and etc wote tungelazimishwa ku slimu...
Kama papa anavyo walazimisha kufirana watu wajinsia moja na kusagana
 
Marekani imetumia $22.76bn kusaidia vita vya Israel dhidi ya Gaza na operesheni dhidi ya Houthis nchini Yemen, kulingana na ripoti ya Taasisi ya Watson ya Chuo Kikuu cha Brown.

Msaada wa kijeshi wa dola bilioni 17.9 kwa Israeli tangu vita vya Gaza kuanza mwaka mmoja uliopita ni jumla ya juu zaidi ya mwaka kuwahi kutokea, kulingana na ripoti hiyo.
 
Ssometimes najizuiaga sana kuandika habari za mashariki ya kati cause kila nikisoma michango ya watu kuhusu middle east crisis naona watu wana andika kwa mahaba sana, Wakristo watatetea Israel na Waislam wata tetra Iran, yaani ushabiki kama wa Yanga na Simba or CCM Vs Chadema. Ukienda mashariki ya kati kwenyewe kule hasa Saudia, Kuwait, Qatar nk hawasemi kama tunavyo sema huku regardless dini zao; anyway hivi ni kweli kabisa mtu unaweza kuongea kutoka moyoni mwako na akili mwako useme kwa Israeli anaihofia Iran? Real? Huyu huyu kaua wataalamu wengi wa nuclear nchini Iran, kaua kiongozi mkubwa wa Hezbollah jijini Tehran, kaua hadi rais wao kitaalamu kabisa then mbele za watu useme eti anaiogopa Iran? Hata kama ni mahaba let's be frankly on the issues. It is true, Iran karusha makombora like 2 times Israeli but madhara ya hayo mashambulizi? Vita ni hesabu, vita ni timing. Sometimes wengine huaga hawapugani kwasababu ya kuogopana, unaweza kushinda vita lakini madhara ya vita yatakurudisha nyuma miaka 50, nani anapenda hiyo?
Kama hata harusi watu wanapata hasara za kugharamika kutumia pesa na kupata madeni ila unataka kwenye vita watu wapate faida ila wasirudi miaka 50 nyuma ukiingia kwenye vita ujue Kuna hasara israhell kama anaweza kweli waingie tu au unadhani Iran 🇮🇷 hawakujua kama kuna hasara na kurudi nyuma kabla ya kurusha makombora
 
WHERE ARE YOU ALLAH?
UPO WAPI ALLAH?View attachment 3117734
Umeshawahi kusoma bible zilizoandikwa Kiarabu? au kusikiliza Misa zinazotolewa kwa lugha hiyo?
Kama bado fanya moja wapo utajua maana ya ALLAH.
yaani hata wakipigana hawatusaidii chochote, zaidi sana wataongeza ugumu wa ,maisha baada ya mafuta kupanda. Iran amekuwa gentleman sana kwenye suala hili, baada ya kupiga, ilikuwa ni kama watoto wawili walikuwa wamechokozana akajirudishia akampigia marekani kumwambia nimejirudishia na sina nia ya kuendelea na ugomvi, marekani hakupokea simu, kaenda Qatar ambaye akipiga simu tu marekani anapokea kwa sababu kuna base yake pale, akamwambia naomba mwambie marekani mimi nimeshajirudishia sitaki ugomvi uendelee, of course quatar inaonekana alifikisha meseji, Iran hakuishia hapo, akatuma watu India, ambayo ni rafiki wa Israel akawaambia waishauri israel isijirudishie kwa sababu yeye amejirudishia na hataki waendelee kupigana.

ukweli ni kwamba, nchi zote mbili ni imara sana. iran amechimbia chini ya mahandaki silaha zake nyingi ambazo myahudi anaweza asizilipue hadi aende ground invasion jambo ambalo ni baadaye sana. pia iran alishajipanga kwa mahandaki mengi kupigana na marekani hivyo israel akienda miundombinu ile waliandaa kupigana na marekani itatumika kupigana na israel, na israel itapata shida kumpiga, kwa sababu silaha anazo nyingi. hata vitu vya nuclear vipo ardhini.

iran anaogopa sana kulipuliwa kwa visima vyake vya mafuta, mitambo yake ya kufua umeme na radar zake ambavyo vitambarimu sana, kwa sababu Iran sio taifa tajiri, ni middle income, bado anajikokota hata kama ana mafuta mengi na gas lakini bado sio nchi ya ulimwengu wa kwanza. hivyo hataki kurudishwa nyuma. ila kama wakiingia vita akaamua kujitoa mhanga, ataisumbua sana israel, na hayupo tayari kujitoa mhanga kwa sababu ana uhakika with time israel atampiga tu.

Marekani ana mabom makubwa sana hata ya bunker za kupiga kitu kikiwa chini ya ardhi, na ameweka base nyingi kuizunguka iran, hataiacha salama. labda vita visianze, vikianza tu havitaisha hadi iran iwe Gaza, ndio hofu ya iran. ikianza tu uso kwa uso havita isha hadi iran iwe gaza kwasababu UK, Ufaransa, Ujerumani, NATO yote, Israel, Marekani wataungana na kupigana bila uchumi wao kuteketea ila uchumi wa irani utakuwa unateketea and with time atashindwa hata kuhudumia wanajeshi wake mishahara. ndicho anachoogopa.

kama ni vita ya siku moja au miezi sita, iran anaweza kustahimili, ila vita vya muda mrefu, uchumi wake hauruhusu.
Labda kama tunadanganywa. Lakini kama IRAN aliweza kuzichakaza base za ISRAEL ambayo iko mbali huku Tena zikipata Kila msaada wa US na NATO na MAJIRANI vibaraka, direct war ijianza atashindwa vipi kuanza kuziangamiza base za ADUI zilizomzunguuka?
 
Umeshawahi kusoma bible zilizoandikwa Kiarabu? au kusikiliza Misa zinazotolewa kwa lugha hiyo?
Kama bado fanya moja wapo utajua maana ya ALLAH.

Labda kama tunadanganywa. Lakini kama IRAN aliweza kuzichakaza base za ISRAEL ambayo iko mbali huku Tena zikipata Kila msaada wa US na NATO na MAJIRANI vibaraka, direct war ijianza atashindwa vipi kuanza kuziangamiza base za ADUI zilizomzunguuka?
Je kwenye hizo Biblia za kiarabu Yesu anaitwa Issa wewe mbwiga?

NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR
 
Allah limungu lakiarabu lioga kama nini. Limewaingiza mkenge likala kona na kuzama chaka limewaacha Solemba mmebakia kubweka allah akbar allah akbar huku mmebana mikundunamarinda mkiwa na uchungu mkali.
 
Watu mna papara sana. Hamna subira hata kidogo.

Israel naamini inafuata timetable yake yenyewe. Haifuati timetables za watu wa mitandaoni.

Naamini itajibu kwa kufuata muda wake yenyewe.

Just watch this space….
Watu wanacho argue ni kuona hiyo timetable yake mwenye skiibadilisha Kila mara.
Siku ya kichapo " oo nitalipiza Leo leo"- kaufyata mkia.
Sunday. "Usiku wa Leo nitalipiza. Nitavishambulia vituo vya nuclear" -akaambiwa na IRAN " Jaribu .hujui tulichokuandalia" - Kaufyata.
Baada ya kusomewa mchezo na basha wake." Tume postpone mpaka Jumatatu" - Jumatatu kimya. Kaufyata
ISRAEL iazimie kukushambulia hafu ikwambie muda au siku- wao ni full kuvizia na kushtukiza hata kama wataua raia elfu Moja wao haiwagusi, wao watajitetea wameua Magaidi.
Hii nitalipiza Leo, kesho, mchana, jioni usiku ni kujitoa kimasomaso asionekane mnyonge mbele ya IRAN baada kuaminisha watu kua yeye ni bwana wa mabwana.
 
Lini Israel ilisema italipiza leo leo?
 
NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR
 
Je kwenye hizo Biblia za kiarabu Yesu anaitwa Issa wewe mbwiga?

NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR
Umeelewa point yanngu lakini? Kama hujaielewa niulize nilikua namsanisha nini nikueleweshe.
Kuhusu swali lako hata kama ni slightly irrelevant ni kwamba kwenye hizo bible za Kiarabu YESU anaitwa MASSIH - maana yake mkombozi. Na kwenye Qur ani majina yote mawili Issa (linaandikwa na kutamkwa IISAA")na MASSIH yote yanatumika.
 
Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu
Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop the response.
Bora wafanye mazungumzo ya amani kuliko kutupiana makomvora.

Israel akimjibu Iran basi itakuwa vita ingine ya muda mrefu
 
Sema hawa nyambizi wa jerusalem wameyakanyaga kwa iran asee kikubwa utulivu tu wakitaka mbaya wacha iwe mbaya kama wao ni wanaume kweli na sio wanapigana na kigroup kifua mbele asee sa mnyama kaingia kama wakiweza kutunisha upepo miluzi itakuwa kwao pamoja me salamu za rambirambi tu
 
Back
Top Bottom