Isreal Kakacha Baada ya US kumuambia Hawezi Kupigana na Iran

Umeelewa point yanngu lakini? Kama hujaielewa niulize nilikua namsanisha nini nikueleweshe.
Kuhusu swali lako hata kama ni slightly irrelevant ni kwamba kwenye hizo bible za Kiarabu YESU anaitwa MASSIH - maana yake mkombozi. Na kwenye Qur ani majina yote mawili Issa (linaandikwa na kutamkwa IISAA")na MASSIH yote yanatumika.
NETANYAHU AKBAR
 
Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu
Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop the response.
Israel anamalizana kwanza na Hamas na hezbolla
 
Hata Iran ilikuwa hivyo hivyo wakati ilipotoa tamko la kuishambulia Israel! Watu walisema ooh! Iran haiwezi,ikithubutu itaangamizwa! Iran ikarusha mzigo.
Sasa kwa Israel ambaye sera yake ni Jino kwa Jino lazima itaishambulia Iran! Huendi inapanga kufanya Preemptive Strikes ambayo itaishangaza Iran na dunia nzima! Ni swala la muda tu.
 
Watu mna papara sana. Hamna subira hata kidogo.

Israel naamini inafuata timetable yake yenyewe. Haifuati timetables za watu wa mitandaoni.

Naamini itajibu kwa kufuata muda wake yenyewe.

Just watch this space….
Punguza mahaba na ujuaji, hapa hakuna cha timetable wala ushuzi ni uoga tu, hivi chukulia yale makombora ndio kama angepiga Syria au hamas hiyo reaction yake ingekuwaje? Israel bila marekani na NATO ni sawa tu na genge la ukabaji mbwa mwitu wa kule msasani.
 
Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu
Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop the response.
Huko madrasa mnadanganyana sana pumbafuuu
 
Punguza mahaba na ujuaji, hapa hakuna cha timetable wala ushuzi ni uoga tu, hivi chukulia yale makombora ndio kama angepiga Syria au hamas hiyo reaction yake ingekuwaje? Israel bila marekani na NATO ni sawa tu na genge la ukabaji mbwa mwitu wa kule msasani.
We kweli nyani Kwa akili Yako hao mabwana zako waarabu unafikili wanaweza mziki wa Israel tayari huko vinu vya nyukilia vimetekenywa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Halafu pia, hakuna tija yeyote, Iran siyo tishio kwa Israel, kwa namna yeyote ile.

Ni bora wajikite tu kuwamaliza Hamas na Hezbolla, oparesheni wanayoitekeleza kwa ufanisi mkubwa.
Hahahahahahaha jamn taifa teule si linaeza piga mashariki ya Kati yote
Kama 6 days war tulivoambiwa
 
Tuliambiwa huku kua Israel inasubir Iran ijichanganye tu ili ifutwe .
Saiv naona kauli zimebadilika kua wadil na hamas Iran sio tishio
Wakristo mna vituko kama dini yenu
 
Naona Waisrael na Wairan wa Mafinga mnabishana hapa kuhusu siraha nzito nzito wengine hata kufungua kisu cha mkunjo tu hamjui mnachoweza ni ku download na kutudanganya hapa...
 
Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu
Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop the response.
Wao Israel wanajua, Iran sio hamas
 
Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu
Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop the response.
Huwa nawaambia siku zote ukiona maneno meengi ujue hamna kitu hapo.

Mikwara ilikuwa Mingi sana Kwa Israel 😁😁
 
Israel anamalizana kwanza na Hamas na hezbolla
Israel hawezi kumalizana na wale jamaa yuko topeni mule hatoki, imagine watu wanasherekea mwaka wa majonzi ya kupigwa kwa vita na as long mbishi wa dunia houth yumo kiukweli Israel hata toka bila makubaliano
 
Halafu pia, hakuna tija yeyote, Iran siyo tishio kwa Israel, kwa namna yeyote ile.

Ni bora wajikite tu kuwamaliza Hamas na Hezbolla, oparesheni wanayoitekeleza kwa ufanisi mkubwa.
Makundi hayo yote yameanzishwa na yanafadhiliwa na Iran unasemaje sio tishio , Israel imeona imepata nafasi nzuri ya kuipoteza inchi tishio kwa kushirikiana na washirika wake lakini kaufyata baada kugomewa kuungwa mkono na US,UK, FRANC. Tuliwmbiwa Jana tarehe 7 Israel itajibu mashambulizi kama kumbukizi ya October 7th
 
Nasikia bunge la iran linadraft ushirikiano kijeshi kama vile nato itainclude syria ,yemen ,hizbullah na hamas halafu akishambuliwa mmoja basi wote wanaingia mzigoni.
Mkuu hayo yote yameanzishwa na iran
 
We kweli nyani Kwa akili Yako hao mabwana zako waarabu unafikili wanaweza mziki wa Israel tayari huko vinu vya nyukilia vimetekenywa🤣🤣🤣🤣🤣
Labda vinu vya kutwangia kisamvu kwenu mbwinde,, hivi vinu vya nyukilia vipigwe mabomu iran asitangaze netapaka uje useme wewe muuza supu uwanja wa fisi
 
Naona umejibu Kwa uchungu sanaaaa hahahahaha na bado dozi inaeendeleaa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Labda vinu vya kutwangia kisamvu kwenu mbwinde,, hivi vinu vya nyukilia vipigwe mabomu iran asitangaze netapaka uje useme wewe muuza supu uwanja wa fisi
Kule Iran wanatabia za kusherekea harusi kwa kupiga fataki jamaa wakadhani Israel kagusa Iran 😄

Afu pia Iran kisha fanya underground nuclear test, inawezekana wamesikia hio sauti inetokea kwenye underground huko ndipo walipotest hio Nuclear yao.

View: https://youtube.com/shorts/whqqItCLJjM?si=_6E0sCdnED3-ShRn
 
Back
Top Bottom