Isreal Kakacha Baada ya US kumuambia Hawezi Kupigana na Iran

Isreal Kakacha Baada ya US kumuambia Hawezi Kupigana na Iran

Wakati ule Israel imeelekeza nguvu zake Gaza huku Hizbollah akishambuliwa Kaskazini mwa Israel na Israel akamuweka Muliro mlisema Israel anamuogopa. Leo anashughilikwa mko kimya.

Ngoja wamalizane na Hizbollah, uone hao Waajemi watakavyopelekewa moto.
Nani yuko kimya? Hivi wewe huoni Hezbullah anavyo mchakaza Israel kule Israel serekali inazuia media wasitoe aibu zao. Jana Hezbullah kaingia ndani ya Israel kawachakaza sawa sawa we kula mabogo. Leo mwezi mzima kuingiza boots zao Lebanon hawawezi wakingia kama meter 100 wanachukua video afu wanakimbia 😄 Hezbullah kila siku anashambulia.

View: https://youtu.be/l-o8ehE8Eus?si=KrPT3yqltPrtQtLc

LEO HAMAS kawasukumizia Missiles nyingi Tela Aviv afu mnajidai mmemshinda Hamas. Tatizo Israel haruhusu media watoe aibu anazo pata

View: https://youtu.be/nI3xmrIQcsc?si=BO6k1fxNmnnTMMem
 
Nani yuko kimya? Hivi wewe huoni Hezbullah anavyo mchakaza Israel jule Israel serekali inazuia media wasitoe aibu zao. Jana Hezbullah kaingia ndani ya Israel kawachakaza sawa sawa we kula mabogo. Leo mwezi mzima kuingiza boots zao Lebanon hawawezi wakingia kama meter 100 wanachukua video afu wanakimbia 😄 Hezbullah kila siku anashambulia.

View: https://youtu.be/l-o8ehE8Eus?si=KrPT3yqltPrtQtLc

LEO HAMAS kawasukumizia Missiles nyingi Tela Aviv afu mnajidai mmemshinda Hamas. Tatizo Israel haruhusu media watoe aibu anazo pata

View: https://youtu.be/nI3xmrIQcsc?si=BO6k1fxNmnnTMMem

Hamna kitu hapo wewe Israel ndio jeshi Bora na linatoa kisago Kwa magaidi Kila siku
 
Halafu pia, hakuna tija yeyote, Iran siyo tishio kwa Israel, kwa namna yeyote ile.

Ni bora wajikite tu kuwamaliza Hamas na Hezbolla, oparesheni wanayoitekeleza kwa ufanisi mkubwa.
Hamas na hezbollar siyo tishio..hao ni proxies tu. Wanapigana kwa niaba ya iran na wanafadhiliwa na Iran. Hivyo ni vema kudili na mmiliki wa mbwa badala ya mbwa mwenyewe.. ukimmaliza mmiliki wa mbwa automatically umewamaliza mbwa wenyewe kwa kukosa chakula na mahitaji mbalimbali.
 
Americans wapo makini sana, hawafanyi vitu kwa mihemko na emotions hili nazungumza mara kadhaa kuwaambia watu, na moja ya vitu inawafanya wale jamaa kupata maendeleo ni kutumia akili zaidi kuliko hisia.

Israel viongozi wapo too emotional.

Iran viongozi wao pia hawapo emotional. Wanafanya maamuzi sahihi kwa muda sahihi.

Israel inajitutumua kwa juhudi zote kupambana na Iran lakini hawawezi huo ndio ukweli.

US kapima maji kaona kina ni kirefu.
 
Bahati nzuri Iran haongei sana akiongea mara moja amemaliza kinachofata ni vitendo
 
Americans wapo makini sana, hawafanyi vitu kwa mihemko na emotions hili nazungumza mara kadhaa kuwaambia watu, na moja ya vitu inawafanya wale jamaa kupata maendeleo ni kutumia akili zaidi kuliko hisia.

Israel viongozi wapo too emotional.

Iran viongozi wao pia hawapo emotional. Wanafanya maamuzi sahihi kwa muda sahihi.

Israel inajitutumua kwa juhudi zote kupambana na Iran lakini hawawezi huo ndio ukweli.

US kapima maji kaona kina ni kirefu.
Pia ni lazima kwenye swala la uchumi ..itafanya uchumia wa dunia ucolapse kwa muda na missaada ya kwenda isreli yenyewe itspungua amna mtu atakayeitenge mabillion kupeleka kwa wayahudi ili hali kwwo maisha ni tia maji tia maji ..kwa hoyo tata athari zitamfikia yeye isreli maana gharma za kuendesha vita zitapanda mara dufu
 
Pia ni lazima kwenye swala la uchumi ..itafsnys uchumia wa dunia ucolapse kww muda na missaada ya kww isreli yenyewe itspungua amna mtu atakayeitenge mabillion kupeleka kwa wayahudi ili hali kwwo maisha ni tia maji tia maji ..kwa hoyo tata athari zitamfikia yeye isreli maana gharma za kuendesha vita zitapanda mara dufu
Israel ingepigwa, Iran ana proxies kama hao Hezbollah, Hamas, Houthi bado Syria ana wapiganaji na Iraq pia.

Israel Air force umbali kutoka Israel hadi Iran ni mbali, lazima watatafuta kambi ya karibu kuishambulia Iran, nani atakubali pale ME Israel aweke kambi? Atakuwa hajipendi na kujiingiza kwenye matatizo.

Ukisema Israel watumie missiles kupigana na Iran, bado Israel itaumia.

Proxies wa Iran inakuwa rahisi zaidi kuikabili Israel kuliko IDF kuikabili Iran

Israel hawezi hio vita.
 
Waoga sana Israel. Anapigana na vikundi vya wanamgambo anajiita mbabe.

Haya kajitokeza mbabe wa kweli kamshambulia mara mbili nyumbani kwake bila majibu.

Iran ni taifa kubwa lenye silaha hatari zisizozuilika na mfumo wowote wa anga ndiyo maana karusha makombora lakini hayajazuiliwa na nchi kadhaa licha ya jitihada za kuyazuia.
Na Jordan kibaraka huyu mtoto wa Hayati King Hussein alisema wakati ule kuwa Iran ikipiga makombora atayatungua yako wapi
US anajua sio tu mziki wa iran bali ni mboni ya mashariki ya kati kwani Strait of Hormuz ndio meli zote zinapita hapo
Hata akisema tu meli yeyote naoangamiza basi na huko mafuta mtayatafuta sana
 
Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu
Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop the response.
naupenda sana huu uzi lakini hauna chanzo kizuri sanaa
 
Nani yuko kimya? Hivi wewe huoni Hezbullah anavyo mchakaza Israel kule Israel serekali inazuia media wasitoe aibu zao. Jana Hezbullah kaingia ndani ya Israel kawachakaza sawa sawa we kula mabogo. Leo mwezi mzima kuingiza boots zao Lebanon hawawezi wakingia kama meter 100 wanachukua video afu wanakimbia 😄 Hezbullah kila siku anashambulia.

View: https://youtu.be/l-o8ehE8Eus?si=KrPT3yqltPrtQtLc

LEO HAMAS kawasukumizia Missiles nyingi Tela Aviv afu mnajidai mmemshinda Hamas. Tatizo Israel haruhusu media watoe aibu anazo pata

View: https://youtu.be/nI3xmrIQcsc?si=BO6k1fxNmnnTMMem

Ahahahahaha!!!
 
Israel aliona amepata fursa ya kumconvince USA ampige Iran baada ya tukio la juzi. Ila USA naona kaanza kupata akili kaona hapa maslahi yangu yapo hatarini. Usisahau USA ina military bases karibu nchi zote hapo Middle East wanalinda mafuta utadhani yao.

Sasa USA ameona kama Iran inaweza kuipiga Israel kwa masafa yale basi kwa hakika inaweza kuzipiga USA military bases zake zote zilizopo Middle East na USA kaona hii ngoma siiwezi.

Sasa Israel kwa hasira anawatukana wafazili wake hao ameanza na Macron soon atafuatia Biden.

Israel haina nguvu yeyote bila misaada ya west
 
Back
Top Bottom