Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
NETANYAHU AKBARIsrael kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu
Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop the response.
We utasubiri sana kama mnavyo msubiri Yesu π Israel hawezi kugusa Iran.Time will tell. Letβs wait and see
Mkuu hujui huko lebanon mambo siyo mambo, hadi sasa wanapokea miili tu ya marehemu, na walionywa hawakusikiaHalafu pia, hakuna tija yeyote, Iran siyo tishio kwa Israel, kwa namna yeyote ile.
Ni bora wajikite tu kuwamaliza Hamas na Hezbolla, oparesheni wanayoitekeleza kwa ufanisi mkubwa.
ππ Israel, Marekani na Ulaya hawalali kwasababu ya tishio la Iran wewe mtu wa Ngudu unasemaje?ππHalafu pia, hakuna tija yeyote, Iran siyo tishio kwa Israel, kwa namna yeyote ile.
Ni bora wakite tu kuwamaliza Hamas na Hezbolla, oparesheni wanayoitekeleza kwa ufanisi mkubwa.
Kwahiyo Israel hana vifaa hivyo? Huo ni ujinga!Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu
Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop the response.
Unaishi Ulimwengu wa wapi? Eti mashambulizi mara 2 bila majibu!! Wakati shambulio la kwanza lilijibiwa kwa kombora la ndege, likatekeza mtambo wa kurushia makombora wa Iran, na Iran hakuendelea tena.Waoga sana Israel. Anapigana na vikundi vya wanamgambo anajiita mbabe.
Haya kajitokeza mbabe wa kweli kamshambulia mara mbili nyumbani kwake bila majibu.
Iran ni taifa kubwa lenye silaha hatari zisizozuilika na mfumo wowote wa anga ndiyo maana karusha makombora lakini hayajazuiliwa na nchi kadhaa licha ya jitihada za kuyazuia.
Ukiwa punguani ndiyo unaweza kuandika hivi ulivyoandika. Hezbollah wameteketezwa wengi kwa muda mfupi, na kama vita itachukua muda mrefu kama ilivyo Gaza, madhara kwa hezbollah yatakuwa makubwa kupindukia, afadhali waliyoyapata Hamas.ππ Israel, Marekani na Ulaya hawalali kwasababu ya tishio la Iran wewe mtu wa Ngudu unasemaje?ππ
Laiti Israel na Marekani wangekuwa na uwezo wa kuifuta Iran na kuweka vibaraka wao wasingethubutu kupoteza fursa adimu kama hiyo.
Wanajeshi wa Israel walijaribu kunusa tu mpaka wa Lebanon wamekutana na chinja chinja wamevunwa kama samaki.
NETANYAHU AKBARMkuu hujui huko lebanon mambo siyo mambo, hadi sasa wanapokea miili tu ya marehemu, na walionywa hawakusikia
Haya nyie subirini tuAmesema ni lazima wataipiga Iran, ni suala la muda. Tusubiri tuone.
Iran sio tishio kwa Israel kwa namna yoyote ile.Halafu pia, hakuna tija yeyote, Iran siyo tishio kwa Israel, kwa namna yeyote ile.
Ni bora wajikite tu kuwamaliza Hamas na Hezbolla, oparesheni wanayoitekeleza kwa ufanisi mkubwa.
Israel hana za kushuka Teheran?tuone Missiles zinavyo shuka huko Tela Aviv
Suala la kushambulia vinu vya Nyuklia na visima vya mafuta siyo jambo jepesi. Siku Israel akifanya huo ujinga hadi wakazi wa bonyokwa mtatembea kwa miguu kwa crisis ya mafuta itakayotokea duniani.Unaishi Ulimwengu wa wapi? Eti mashambulizi mara 2 bila majibu!! Wakati shambulio la kwanza lilijibiwa kwa kombora la ndege, likatekeza mtambo wa kurushia makombora wa Iran, na Iran hakuendelea tena.
Na hata hili shambulio la sasa, Marekani ameisihi Israel kutojibu mashambulizi, lakini Israel imegoma, na kusema ni lazima ijibu kwa mashambulio ya kuangamiza binu vya nuklia na visima vya mafuta vya Iran.
Tuseme USA wameogopa, ndio wanaopiga sio Israel.Mkuu hujui huko lebanon mambo siyo mambo, hadi sasa wanapokea miili tu ya marehemu, na walionywa hawakusikia
Ndio ubaya wa uhasama huu, hapo Iran yupo roho juu juu maana hajui adui wake atashambulia wapi.Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu
Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop the response.