Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Yatasemwa mengi na mtasikia mengi, ila issue kubwa ni watu kuutaka urais wa nchi hii mwaka 2025.
Wakati Magu yuko hai, walikosa ujasiri wa kuonyesha hadharani mtatamani yao na kwa Mama, bado hawajaanza, ila ili wapate hiyo fursa(waanze) ni lazima Mama asigombee (bahati mbaya alishasema atagombea), hivyo wamebaki na option moja tu ya kumpinga au kutafuta sababu aonekane hatoshi.
No wonder hata waandamizi ndani ya chama na serikali wako kimya ingawa walipaswa wamtetea Boss wao kulingana na utamaduni wao.
Kwa maneno mengine,waandamizi nao wanautaka urais wa 2025 na ndio maana wametulia kama maji kwenye mtungi.
Kwa sasa, wanaweza kuungana kwa hoja ya Utanganyika dhidi ya Uzanzibari, na wakishatimiza azima yao, hawa watanganyika wataingia tena katika vita ya makundi huku kila kundi likiwa na Mgombea/Mtia nia wao na hapo ndipo ile dhambi ya ubaguzi aliyoiongelea Baba wa Taifa itapoanza kuwatafuna.
2025 patakuwa hapatoshi na si ajabu yale ya JK na EL yakajirudia na safari wanaweza wasivuke salama.