Issue kubwa ni watu kutaka kutimiza ndoto zao za urais 2025 baada ya Mwendazake kuondoka

Uzuri mama ndio mwenyekiti na fomu ya mgombea tutachapisha moja tu kama tulivyofanya kwa mwendakuzimu.
Hamna maana kama unakuwa Rais/mwenyekiti mwoga. Leo wameanza CCM wenzake, mwakani upinzani wataanza kuingia barabarani. Nchi hii itamshinda kama asipokuwa Iron lady na kupunguza Uzanzibari. shauri yake.
 
Mama wakambo atake asitake 2025 hagombei

Kama anapenda uongozi basi akaongoze kwao Zenji

2025 ni mtanganyika atakayeongoza nchi ya Tanganyika, na ikiwezekana presidaa mwanaume (jembe)
Natamani RAIS Samia aone hii
 
Naomba wasiwepo wale walioshiriki kutufikisha hapa walioharibu uchaguzi wa local government na uchaguzi mkuu. Tupate wapya kabisa kama wapo
Mimi ningemshauri mama kwasabu wenye kuutaka urais wamesha anza kukunjua makucha ... aruhusu katiba mpya ipatikane ili watu wapambanie kombe ili yeye sasa apate popularity kupitia katiba na ikiwezekana apite ..
 
Huyu Mama kufika 2025 kila mtu atakuwa amemgeuka,Kwa ujumla kama Chadema wakijipanga,plus huruma za wananchi na kupitia Viongozi wa Dini na Asas Zisizokuwa za kiserikali wanachukua inchi kiulaini.Maana mpaluano ulioko huko CCM sio wa kitoto,hata mda wa kuiba kura watakosa
Brother kabisa uko serious?Chadema wachukue nchi?Kwa tume ipi?Kwa uchaguzi upi?
 
Hapa ni njia nyeupe kwa wapinzani kama huyu mama atataka kulazimisha kupita bila kupingwa ndani ya chama chake....
 
Kwa hyo CHADEMA nyie ni wasindikizaji tu?? Hamna malengo ya kuongoza nchi?
 
Brother kabisa uko serious?Chadema wachukue nchi?Kwa tume ipi?Kwa uchaguzi upi?
Tume ni CCM, vyombo vya dola ni CCM,nyenzo zote za ushindi, kukimbia na masanduku ya kura, kujaza kura fake ndani ya masanduku ya kura, kupora form za wapinzani, kuteka wapinzani na kila aina ya takataka ni njia zinazotumika na CCM kupora haki za wananchi.

Wapinzani wakiendelea kuchochea kuni moto ulioanza kuwaka ukiendelea kukolea CCM ikageuka kuwa masizi na moshi,pamoja na takataka zake zote,kitu ambachokinaweza kutoa mwanya kwa wapinzani kutinga magogoni kwa kuwa CCM hawatakuwa na ubavu tena wakufanya uharamia wao.
 
Bado sana. TANU ilifanikiwa sana kupandikiza mbegu flan ya woga wa mabadiliko vichwani mwa Watanzania. CCM ikarithi na matokeo yake yake sasa inahama kutoka kizazi hadi kizazi. Hili ndilo eneo ambalo Mwalimu pengine alifanikiwa kuliko maeneo yote. CCM ilitikiswa na Mrema sote tukaamini kwamba Kachero Lyatonga anatinga Ikulu. Wakati huo Mrema alitokea kuwa kati ya watu 5 maarufu nchini asingekosekana.Ikaja enzi ya CUF ngangari.Unakumbuka amshaamsha ya wafuasi wa Lipumba kipindi kile wakisafiri huku na kule kwa kutumia malori.Unakumbuka mafuriko ya Lowasa?Jiulize kwa nini kote huko upinzani ulidondokea pua. Nitajie chama kimoja tofauti na CCM barani Africa kilichoasisi Uhuru na bado kiko na uhakika wa kubaki mamlakani kwa asilimia 100?Nitajie kimoja tu.Mwalimu alipiga msumari mbaya sana.
 
Wakati Mrema wakioneshana kazi na Mkapa mwaka 1995,baadhi ya watu walikuwa wanakejeli kwamba Mchezaji wa safu ya ulinzi ya Yanga Keneth Pius Mkapa alikuwa maarufu kuliko Mkapa wa CCM.Na ni kweli ilikuwa hivyo.Lakini wapi
 
Bado sana. TANU ilifanikiwa sana kupandikiza mbegu flan ya woga wa mabadiliko vichwani mwa Watanzania. CCM ikarithi na matokeo yake yake sasa inahama kutoka kizazi hadi kizazi. Hili ndilo eneo ambalo Mwalimu pengine alifanikiwa kuliko maeneo yote. CCM ilitikiswa na Mrema sote tukaamini kwamba Kachero Lyatonga anatinga Ikulu. Wakati huo Mrema alitokea kuwa kati ya watu 5 maarufu nchini asingekosekana.Ikaja enzi ya CUF ngangari.Unakumbuka amshaamsha ya wafuasi wa Lipumba kipindi kile wakisafiri huku na kule kwa kutumia malori.Unakumbuka mafuriko ya Lowasa?Jiulize kwa nini kote huko upinzani ulidondokea pua. Nitajie chama kimoja tofauti na CCM barani Africa kilichoasisi Uhuru na bado kiko na uhakika wa kubaki mamlakani kwa asilimia 100?Nitajie kimoja tu.Mwalimu alipiga msumari mbaya sana.
Nafasi ya wapinzani kushika dola itatokana na CCM yenyewe kwa kujikaanga na mafuta yake yenyewe.
 
Mama wakambo atake asitake 2025 hagombei

Kama anapenda uongozi basi akaongoze kwao Zenji

2025 ni mtanganyika atakayeongoza nchi ya Tanganyika, na ikiwezekana presidaa mwanaume (jembe)
Kwamfano ni nan president material wakusimama hyo 2025
 
Back
Top Bottom