lugonopanja98
JF-Expert Member
- Dec 16, 2020
- 270
- 158
Subiri uone Ccm watakavyoungana ktk uchaguzi huwa wanasambalatika kabla na baada ya uchaguzi waleHuyu Mama kufika 2025 kila mtu atakuwa amemgeuka,Kwa ujumla kama Chadema wakijipanga,plus huruma za wananchi na kupitia Viongozi wa Dini na Asas Zisizokuwa za kiserikali wanachukua inchi kiulaini.Maana mpaluano ulioko huko CCM sio wa kitoto,hata mda wa kuiba kura watakosa
Ni hekima kwenda kujifunza kusoma na kuandika kiswahili kwanzaNaomba kuuliza kwa nini mtanganyika haruhusiwi kwenda kugombea urahisi zanzibar. Ila mzanzibari anaruhusiwa kugombea urahisi akiwa tanganyika.
Kwa kusubiri loose ball watakuwa pending mpaka sisi sote tutaondoka dunianiNafasi ya wapinzani kushika dola itatokana na CCM yenyewe kwa kujikaanga na mafuta yake yenyewe.
Bado sana. TANU ilifanikiwa sana kupandikiza mbegu flan ya woga wa mabadiliko vichwani mwa Watanzania. CCM ikarithi na matokeo yake yake sasa inahama kutoka kizazi hadi kizazi. Hili ndilo eneo ambalo Mwalimu pengine alifanikiwa kuliko maeneo yote. CCM ilitikiswa na Mrema sote tukaamini kwamba Kachero Lyatonga anatinga Ikulu. Wakati huo Mrema alitokea kuwa kati ya watu 5 maarufu nchini asingekosekana.Ikaja enzi ya CUF ngangari.Unakumbuka amshaamsha ya wafuasi wa Lipumba kipindi kile wakisafiri huku na kule kwa kutumia malori.Unakumbuka mafuriko ya Lowasa?Jiulize kwa nini kote huko upinzani ulidondokea pua. Nitajie chama kimoja tofauti na CCM barani Africa kilichoasisi Uhuru na bado kiko na uhakika wa kubaki mamlakani kwa asilimia 100?Nitajie kimoja tu.Mwalimu alipiga msumari mbaya sana.
Ndo tunaingia 2022, Mungu atunusuru. Tuna a full 2023 na 2024, na miezi 10 almost ya 2025. In between yatakokea mengi, misimamo itabadilika, watajitokeza ambao hatutegemei. TusubiriYatasemwa mengi na mtasikia mengi, ila issue kubwa ni watu kuutaka urais wa nchi hii mwaka 2025.
Wakati Magu yuko hai, walikosa ujasiri wa kuonyesha hadharani mtatamani yao na kwa Mama, bado hawajaanza, ila ili wapate hiyo fursa(waanze) ni lazima Mama asigombee (bahati mbaya alishasema atagombea), hivyo wamebaki na option moja tu ya kumpinga au kutafuta sababu aonekane hatoshi.
No wonder hata waandamizi ndani ya chama na serikali wako kimya ingawa walipaswa wamtetea Boss wao kulingana na utamaduni wao.
Kwa maneno mengine,waandamizi nao wanautaka urais wa 2025 na ndio maana wametulia kama maji kwenye mtungi.
Kwa sasa, wanaweza kuungana kwa hoja ya uzanzibari na utanganyika, na wakishatimiza azima yao, hawa watanganyika wataingia tena katika vita ya makundi huku kila kundi likiwa na mgombea/Mtia nia wao na hapo ndio ile dhambi ya ubaguzi aliyoiongelea Baba wa Taifa itapoanza kuwatafuna.
2025 patakuwa hapatoshi na si ajabu yale ya JK na EL yakajirudia na safari wanaweza wasivuke salama.
Hawana nia ya kuwasaidia watanzania. Wangekuwa na nia wangeishaleta msukosuko wa maana. Wakati mwingine huwa nawaza kuwa Chadema na wengine ni mpango wa kuwahadaa washirika wetu wa maendeleo.Kwa kusubiri loose ball watakuwa pending mpaka sisi sote tutaondoka duniani
unajidanganya, ccm itoke madarakani kwa Sanduku la kura?Huyu Mama kufika 2025 kila mtu atakuwa amemgeuka,Kwa ujumla kama Chadema wakijipanga,plus huruma za wananchi na kupitia Viongozi wa Dini na Asas Zisizokuwa za kiserikali wanachukua inchi kiulaini.Maana mpaluano ulioko huko CCM sio wa kitoto,hata mda wa kuiba kura watakosa
Nadhani leo Mama amethibitisha maneno yangu. Bado huamini kuwa issue ni uraisi wa 2025?Kwa hyo CHADEMA nyie ni wasindikizaji tu?? Hamna malengo ya kuongoza nchi?
Mkuu,hukujibu swali langu lakini.Nadhani leo Mama amethibitisha maneno yangu. Bado huamini kuwa issue ni uraisi wa 2025?
Mungu alitengeneza haya mazingira ili watanganyika tushtuke.Kwa hali ilivyo sasa ni aibu, inauma, na kuchukiza: Tanganyika kuongozwa na raia wa kigeni, then she