Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Hapa nchini tuna jumuia kubwa ya wananchi wenzetu ambao wana Asili ya India, miongoni mwao huwa wanasafiri kwenda na kurudi Ibdia kwa shughuli za kijamii, kibiashara na Kidini.
Na tunajua kuwa hali ya India kwa sasa kutokana na Janga la Covid 19 kuwa ni kubwa Naishauri serikali kufunga mara moja safari zote za kuingia na kutoka India.
Serikali izuie kuingia nchini wageni/watu wote waliokuwa India wakati wowote wa mwezi mzima wa April
Mpaka sasa tumeshapoteza Watanzania wawili kwa Covid huko India, Mwanafunzi anayesoma PhD huko na Mwambata wa Kijeshi wa ubalozi wa Tanzania India.
Huu ni muda wa Samia kuonyesha uongozi katika suala la kudhibiti wageni kuingia nchini linapokuja suala la Covid.
Hata ile Covid iliyotuchapa mwezi December mwaka jana hadi February mwaka huu tungethibiti wageni kutoka Uingereza na South Africa hali isingekuwa mbaya sana.