#COVID19 Issue ya Covid-19, Serikali izuie safari za India Mara moja

#COVID19 Issue ya Covid-19, Serikali izuie safari za India Mara moja

Mimi watu wote wanaokaaga wanaiwaza Corona Kama sio wazee huwa nahisi wanaishi kwa shemeji zao au ni watoto wa masaki. Mpambanaji wa Kariakoo na mtaani kukaa unahofia Corona ni dalili za utaahira.
 
Sawa, but this is too little kwa sababu aliyepata covid siku chache kabla ya safari au kwenye ndege au airport ukimpima leo au hata kesho hutaona virusi, Ila ataanza kuambukiza watu wengine akishaingia nchini baada ya siku chache tu.

Serikali iache kucheza na maisha ya Watanzania

Serikali izuie wasafiri wanaotoka India kuingia nchini full stop!
Unamaanisha siku chache au nyingi, hueleweki... au unadhani india ni hapo tu... hata hivo hizo conditions unadhani wao wameziandik tu bila kuzingatia utaalamu... mjitunze kuridhika... kila mkifanyiwa kitu... unapanua domo bado haitoshi.... jichimbie kbur bas ukajfche kidikufuate huko...
 
Mimi watu wote wanaokaaga wanaiwaza Corona Kama sio wazee huwa nahisi wanaishi kwa shemeji zao au ni watoto wa masaki. Mpambanaji wa Kariakoo na mtaani kukaa unahofia Corona ni dalili za utaahira.
Sawa mjuaji, sisi mataahira wacha tuendelee kusisitiza umuhimu wa serikali kuchukua hatua za kunusuru maisha ya watanzania.
Nyie wenye akili Corona haiwapati
 
Sawa mjuaji, sisi mataahira wacha tuendelee kusisitiza umuhimu wa serikali kuchukua hatua za kunusuru maisha ya watanzania.
Nyie wenye akili Corona haiwapati
Mara yako ya mwisho kuvaa barakoa ilikuwa lini ndugu...??? Chsnjo vipi hujachoma? Msalimie dada, naona anakutunza vizuri pamoja na shemeji yako.... ukikua tafufa chumba upange
 
Mara yako ya mwisho kuvaa barakoa ilikuwa lini ndugu...??? Chsnjo vipi hujachoma? Msalimie dada, naona anakutunza vizuri pamoja na shemeji yako.... ukikua tafufa chumba upange
Dada nitamfikishia salamu na nikikua nitapanga chumba!

Hata hivyo nadhani hujaelewa mada, serikali inapaswa ichukue hatua zote kudhibiti kirusi hiki kutoka India, hii version inaonekana ni kali sana
 
Kuna maswali najiuliza hivi kuna tunatofauti kati ya kufa kwa corona na kufa ukiwa na vifurusi vya corona? mfano nakumbuka kipindi kile Ummy mwalimu alipokuwa anatangaza vifo vya corona alikuwa anasema marehemu alikuwa na maradhi mengine pia, sasa nashindwa kuelewa huyo Marehemu kafa na hayo maradhi mengine ndio chanzo cha kifo au corona ndio chanzo cha kifo?

Ndio maana nikauliza kama kuna tofauti kati ya kufa kwa corona na kufa ukiwa na vifurusi vya corona au ndio kwamba hata kama hata kama ukifa kwa maradhi ya moyo ila kwa kuwa ulikuwa na hivyo virusi inahesabika ni kifo cha corona tu?
 
Back
Top Bottom